Katika hali gani unaweza kulazimika kuoa mwanamke mwenye mtoto?

Inawezekana pale tu nikiona nakuthibisha pasi na shaka kuwa baba wa huyo mtoto keisha kufa na kabuli lake nipelekwe na majirani waojiwe wathibitishe ilo. Muhimu single mother kwangu ni lazima awe na mtoto mmoja tu akizidi mmoja ata nikiona kabuli la mzazi mwenzie siwezi katu kuoa hapo.
 
1. Mzazi mwenzie kama kafariki
2. Kama ana maadili mazuri na mtiifu
3. Kama nimefilisika wasio na watoto hawanitaki
4. Kama na mimi ninao watoto wa kwenye ndondo
5. Kama nimezeeka na yeye ni kigori
6. Kama nimezidiwa na hisia nimependa kupitiliza na uzuri wake miksa mlima lushoto umenichanganya
 
1. Mzazi mwenzie kama kafariki
2. Kama ana maadili mazuri na mtiifu
3. Kama nimefilisika wasio na watoto hawanitaki
4. Kama na mimi ninao watoto wa kwenye ndondo
5. Kama nimezeeka na yeye ni kigori
6. Kama nimezidiwa na hisia nimependa kupitiliza
Uonevu uliokithiri dhidi ya wanawake, eti society ina ruhusu kuwa mwanaume anaewza kuwa na watoto nje kabla na wakati akiwa ktk ndoa😇 ndyo maana tunapigwa matukio, ndani ya ndoa, mama anakuzalia species za baba tofauti na huwezi jua🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…