Katika hali gani unaweza kulazimika kuoa mwanamke mwenye mtoto?

Katika hali gani unaweza kulazimika kuoa mwanamke mwenye mtoto?

Mkuu, Single mother ukimpenda usijibane bane, kama una wasiwasi na baba mtoto na wewe mpe mimba kama nne au tano hivi halafu tulia mtazame. Vita ni vita.
Zote hizo zinaweza zisiwe za kwako pia.
 
vijana mnataka ndoa,ila single maza ndo wametapakaa sokoni[emoji23][emoji23] mbona mtajutaaaa na bado
Hivi unajua wanawake ni wengi kuliko wanaume duniani ? Na unatambua ambao hawajazaa kabisa ni wengi tu ? [emoji28].


Hakuna single mother anakataa mwanaume soko ni gumu kwao . Hata ndoa za Mitala wanakubali
 
Mwanaume yoyote makini huwa haoi mwanamke aliyezalishwa

Ni wanaume wapumbavu tu ndio huoa wanawake waliozalishwa
 
Single mother anaolewa na muoaji wa kuanzia miaka tisini na kuendelea
 
Back
Top Bottom