Ms R JF-Expert Member Joined Jan 19, 2023 Posts 8,853 Reaction score 19,587 Feb 10, 2025 #61 Kunguru wa Manzese said: Hivi unajua wanawake ni wengi kuliko wanaume duniani ? Na unatambua ambao hawajazaa kabisa ni wengi tu ? [emoji28]. Hakuna single mother anakataa mwanaume soko ni gumu kwao . Hata ndoa za Mitala wanakubali Click to expand... ni kwel kwa mujibu wako sikupingi
Kunguru wa Manzese said: Hivi unajua wanawake ni wengi kuliko wanaume duniani ? Na unatambua ambao hawajazaa kabisa ni wengi tu ? [emoji28]. Hakuna single mother anakataa mwanaume soko ni gumu kwao . Hata ndoa za Mitala wanakubali Click to expand... ni kwel kwa mujibu wako sikupingi
Ms R JF-Expert Member Joined Jan 19, 2023 Posts 8,853 Reaction score 19,587 Feb 10, 2025 #62 Wagumu Tunadumu said: Na nzur kabisa,wanawake wazuri na wenye akili kichwani wengi sahv ni singo maza,hapo ndo patamu Click to expand... na ndo kinachowasumbua vijana kwasasa hawajui wachague nini
Wagumu Tunadumu said: Na nzur kabisa,wanawake wazuri na wenye akili kichwani wengi sahv ni singo maza,hapo ndo patamu Click to expand... na ndo kinachowasumbua vijana kwasasa hawajui wachague nini
Ms R JF-Expert Member Joined Jan 19, 2023 Posts 8,853 Reaction score 19,587 Feb 10, 2025 #63 Half american said: Kwamba dunia inayo ke waliozalishwa tu? Click to expand... kam ndo ulivoelewa shikilia hapo hapo usipindishe.
Half american said: Kwamba dunia inayo ke waliozalishwa tu? Click to expand... kam ndo ulivoelewa shikilia hapo hapo usipindishe.
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 20,419 Reaction score 39,217 Feb 10, 2025 #64 Davidmmarista said: Je unaweza kuoa mwanamke mwenye mtoto. Click to expand... Lazima huyo mwanamke awe asset,kuanzia kiuchumi,kiumbo,kistatus
Davidmmarista said: Je unaweza kuoa mwanamke mwenye mtoto. Click to expand... Lazima huyo mwanamke awe asset,kuanzia kiuchumi,kiumbo,kistatus
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 38,283 Reaction score 97,793 Feb 10, 2025 #65 Ms R said: kam ndo ulivoelewa shikilia hapo hapo usipindishe. Click to expand... Sawa
Kunguru wa Manzese JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 12,729 Reaction score 18,119 Feb 12, 2025 #66 Ms R said: ni kwel kwa mujibu wako sikupingi Click to expand... Kwa mujibu wa world Bank data ya 2024 ambayo unakuwa recorded katika kila census ya nchi .mpo wengi
Ms R said: ni kwel kwa mujibu wako sikupingi Click to expand... Kwa mujibu wa world Bank data ya 2024 ambayo unakuwa recorded katika kila census ya nchi .mpo wengi
jaap JF-Expert Member Joined Dec 25, 2018 Posts 4,888 Reaction score 6,459 Feb 13, 2025 #67 Ms R said: vijana mnataka ndoa,ila single maza ndo wametapakaa sokoni😂😂 mbona mtajutaaaa na bado Click to expand... Tunachagua mpaka tutawapata wasio zaa.
Ms R said: vijana mnataka ndoa,ila single maza ndo wametapakaa sokoni😂😂 mbona mtajutaaaa na bado Click to expand... Tunachagua mpaka tutawapata wasio zaa.