Katika harakati za uhuru wa Palestine Wakristo wa kipalestina kazi yao nini? Mbona Waislam wa kipalestina wamechachamaa zaidi ?

Mto Songwe

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2023
Posts
6,683
Reaction score
14,060
Katika harakati za uhuru wa Palestine ukisoma zaidi taarifa mbalimbali utaona mchango mkubwa wa waislam wa Kipalestina katika kupambana dhidi ya manyang'au wakoloni wa kiyahudi.

Hata vikosi mbalimbali vinavyo ongoza mashambulizi dhidi ya wakoloni wa kiyahudi ni vikosi vya waislam wa Kipalestina zaidi.

Sasa binafsi nilikuwa nauliza Je, mchango wa wakristo wa Kipalestina katika harakati za mapambano ya uhuru wao toka mikononi mwa wakoloni wa kiyahudi ni upi mpaka sasa naomba kujuzwa?
 
Hao wakristu wapo kiasi gani/asilimia ngapi huko Palestina?Wanashirikishwa au hutengwa tu?Wapalestina wa kiislamu wanauhitji mchango wao?Kwamba wakristu wa Palestina hawana mchango wowote ni hisia au kuna utafiti wa kurejea?
 
Hao wakristu wapo kiasi gani/asilimia ngapi huko Palestina?Wanashirikishwa au hutengwa tu?Wapalestina wa kiislamu wanauhitji mchango wao?Kwamba wakristu wa Palestina hawana mchango wowote ni hisia au kuna utafiti wa kurejea?
Unajua kusoma ?
 
Ujinga ni kama tabia sio rahisi kuuondoa. Unasikitisha sana kama una familia
Tumia akili unapotafuta majawabu.Unapewa maelekezo halafu unajibu kijuha unategemea ununuliwe peremende?Usije na majibu yako na majibu au maswali ya kebehi JF kama unataka mijadala hai na yenye afya kwako.Au unavuta bangi wewe?
 
ASILI YA WAPALESTINA KUTOUNGWA MKONO, PIA KUOGOPWA SANA NA MATAIFA YA KIARABU

Dr Edward SAID professor wa chuo cha The College de France jijini Paris Ufaransa, mpalestina aliyewasili miaka ya 1950 katika jiji hili tajwa la ulaya Magharibi


View: https://m.youtube.com/watch?v=7g1ooTNkMQ4
Akiwa na kiu ya kujiendeleza kimasomo baada ya kuwasili akiwa kijana asiye na certificate wala diploma yoyote amezaliwa 1935 katika familia tajiri hivyo kusomeshwa shule nzuri na baadaye kwenda ngambo kusoma katika vyuo tajwa duniani nchini Marekani vya Princeton na Harvard kisha kuwa professor University of Columbia New York US.

Akiwa ngambo masomoni alizungukwa na marafiki wengi wa karibu wa kimagharibi na kiyahudi pia ingawa nje ya kundi hilo alionekana kama adui mkubwa kwa kukumbatia ugaidi wa wapalestina.

Wazazi wake Prof. Edward Said yaani mama yake alizaliwa Nazareth huku baba mzaliwa wa Jerusalem. Baadaye wazazi wake walihamia Lebanon na kuwa raia wa huko Lebanon ingawa vyeti vyao vinaonesha walizaliwa Palestine nchini Israel.

Prof. Edward Said mpalestina mkristo anaendelea kuelezea uaina wa watu waliozaliwa eneo hilo la Mashariki ya Kati wenye mchanganyiko mwingi wa kihistoria, kijamii na muingiliano wa mataifa mengi kutokana na mambo mengi yaliyojitokeza.

Prof. Edward Said katika maandiko yake kuhusu mtizamo wa Magharibi kuhusu Mashariki uwe katika vitabu, michoro, picha, simulizi, aina ya fikra za Mashariki kuwa yanafanana na kuweza kuiva katika chungu kimoja bila kutibua ladha ni mtizamo usio onesha hali halisi.

Prof. Edward Said anasema mwenyeji wa Egypt ana tabia tofauti na sema mwenyeji wa Syria vile vile wa kutoka Jordan wana mtizamo tofauti na wa kutoka Tunisia au Saudia.

Prof. Edward Said katika mihadhara yake na uandishi umeleta malumbano mengi moto na kuvutia wengi kusikiliza pia kusoma.

Prof. Edward Said kuhusu kuwepo vitabu vingi vya jiografia na historia vipya ambavyo vimejaribu kufuta ya zamani na kuandika vitu vingi vipya kwa sababu maalumu zenye manufaa kwa ....

Prof. Edward Said anaikumbuka Beirut ya miaka 1970s na 1980s iliyowakaribisha kwa mikono miwili siyo wapalestina tu bali waarabu kutoka nchi za Egypt, Syria, Jordan, Iraq, Sudan n.k wote walikimbilia Beirut Lebanon lakini baadaye wote walifurushwa kutokana na majeshi ya mgambo ya wenyeji wa KiShiite na Kikristo kuwazunguka na kuwatimua

Na baada ya hapo hasahasa wapalestina hawatakiwi tena katika mataifa ya kiarabu kufuatia nchi zilizowapa ukimbizi kwa wingi kama Jordan na Lebanon kuwaona wapalestina ni wakorofi na wakiwa wakimbizi huamua kujiingiza ktk siasa za wenyeji wao.

Mataifa ya kiarabu kuingia woga kwa imani ya Wapalestina kwenda mbali zaidi kuchukua upande wa moja wa wenyeji wao na kushiriki kwa kutumia silaha kujaribu kupindua serikali za wenyeji wao.

Kwa wapalestina kuamini itapatikana serikali mpya ya kiarabu iliyo majimuni Pan Arabian itakayounga mkono, harakati ya umoja mpya wa Kiarabu kuishambilia Israel, na ifutike ili wapalestina warudi ktk nchi wanayoamini yakwao pekee siyo ya mataifa mawili ya Palestine na Israel yanayoishi sambamba kwa kutambua uwepo wa mataifa mawili kiasili ....

Prof. Edward Said anaikumbuka Beirut ya miaka 1970s na 1980s iliyowakaribisha kwa mikono miwili siyo wapalestina tu bali waarabu kutoka nchi za Egypt, Syria, Jordan, Iraq, Sudan n.k wote walikimbilia Beirut Lebanon lakini baadaye wote walifurushwa kutokana na majeshi ya mgambo ya wenyeji wa KiShiite na Kikristo kuwazunguka na kuwatimua

Na baada ya hapo hasahasa wapalestina hawatakiwi tena katika mataifa ya kiarabu kufuatia nchi zilizowapa ukimbizi kwa wingi kama Jordan na Lebanon kuwaona wapalestina ni wakorofi na wakiwa wakimbizi huamua kujiingiza ktk siasa za wenyeji wao.

Mataifa ya kiarabu kuingia woga kwa imani ya Wapalestina kwenda mbali zaidi kuchukua upande wa moja wa wenyeji wao na kushiriki kwa kutumia silaha kujaribu kupindua serikali za wenyeji wao.

Kwa wapalestina kuamini itapatikana serikali mpya ya kiarabu iliyo majimuni Pan Arabian itakayounga mkono, harakati ya umoja mpya wa Kiarabu kuishambilia Israel, na ifutike ili wapalestina warudi ktk nchi wanayoamini yakwao pekee siyo ya mataifa mawili ya Palestine na Israel yanayoishi sambamba kwa kutambua uwepo wa mataifa mawili kiasili ....

CHAMA CHA POPULAR FRONT FOR THE LIBERATION OF PALESTINE -PFLP

Mkuu wa kitego cha mawasiliano na tamaduni wa Chama cha PFLP (Popular Front for the Liberation of Palestine) katika mazungumzo exclusive. Akielezea tofauti ya kundi lao lililoasisiwa na kiongozi wao George Habash akishirikiana vijana wengine miaka ya mwanzo ya 1970s ...

October 2023
Beirut, Lebanon

View: https://m.youtube.com/watch?v=EqQUOYcJzdsBT's Rania Khalek sat down with Marwan Abdul Al, a member of the Political Bureau of The Popular Front for the Liberation of Palestine (PFLP) and head of the group’s Cultural Department. Initially born out of the Arab nationalist movement, the PFLP adopted Marxism-Leninism and distinguished itself as one of the leading organizations in the resistance to occupation. The interview was filmed in a refugee camp in Beirut, prior to recent events. They discussed the current state of Palestinian resistance in the face of the occupation, the changing world situation, how the PFLP views religion, the strategic tasks of uniting the left, international solidarity and more.
 
Fuatilia vizuri historia ya mapambano ya kipalestina hasa kupitia njia zisizo rasmi (terrorism etc.). Wapo akina George Habash na wengine.
Sawa nitafuatilia kwa kuanza na huyo George Habash
 
Vaetan / AP
George Habash attacks a U.S.-sponsored Israeli-Palestinian peace plan during a speech in Beirut, March 11, 1979

You could call George Habash, a Palestinian leader who died in Amman on Saturday at the age of 82, the godfather of Middle East terrorism. If you assumed that Palestinian or Arab extremism somehow sprung entirely from Islam — from the puritanical Wahabbi intolerance and so forth — take a close look at Habash's first name. He was a Greek Orthodox Christian, who sang in his church choir as a boy back in the Palestinian town of Lydda. Habash's life tells us a lot about the long Israeli-Palestinian conflict, which seems as intractable as ever, and prompts reflection on the Middle East's seemingly unstoppable whirlwind of violence.

Habash's group, the Popular Front for the Liberation of Palestine (PFLP), pioneered the hijacking of airplanes as a Middle East terror tactic — one eventually employed by the al-Qaeda hijackers on 9/11 — way back in 1968 when three PFLP armed operatives commandeered an Israeli El Al airliner enroute from Rome to Tel Aviv. Checking in for a flight has never been the same since.

Many PFLP operations remain etched into history as some of the most infamous acts of terrorism. In 1970, PFLP terrorists hijacked four airliners at one time, flew three of them to Jordan, blew them up, and triggered the Black September civil war between Jordan's Hashemite monarchy and Palestinian guerrillas. In 1972, Japanese Red Army terrorists working with the PFLP massacred 24 people at Israel's Lod International Airport (now called Ben Gurion International Airport).

In 1976, the PFLP's last hijacking ended in the daring rescue by Israeli counter-terrorism commandos in Entebbe, Uganda. By then, the actions of Habash's small but radical faction had propelled the Middle East into cycles of violence that were ever more extreme. They have yet to subside. Besides multiplying in number and intensity, Palestinian terrorism prompted reciprocal Israeli counter-attacks on neighboring countries that in some instances led to the outbreak of war. But compared to the terrorists behind today's nihilistic suicide bombings and mass atrocities such as 9/11, Habash's commandos were almost softies. Before they blew up the three planes in Jordan in a spectacular, televised moment that was the 9/11 of its day, all of the 300 or so passengers were evacuated and quickly freed.

To what exact extent Habash inspired the likes of Osama bin Laden is a matter of conjecture. While the al-Qaeda leader seeks to avenge Palestinians and surely was aware of Habash's exploits, he would not be impressed by Habash's Christianity, Marxist-Leninist politics or connections to the ex-Soviet Union. It is clear, however, that the PFLP's audacious actions prompted other Palestinian factions to launch international terror campaigns of their own. Admirers of the PFLP's headline-making attacks within Yasser Arafat's mainstream Fatah group went on to plan an attack on the Olympic Games in 1972 — ending in the Munich Massacre of 11 Israeli athletes and six others.

What led Habash, a Christian physician — hence his nickname al-Hakim or the doctor — into such a life, of revolution, of killing? The son of a well-to-do merchant, he was trained at the American University of Beirut, the most liberal university in the Middle East then as now. His background was almost identical to that of his best friend, Wadia Haddad, the No. 2 in the PFLP and the operational genius and passionate proponent of the group's terrorist acts. When I asked Habash that question during a series of interviews many years ago, he simply told me about his personal experiences when his family lost its home during Israel's 1948 War of Independence, what the Palestinians call the Catastrophe.

Habash's mother insisted he stay in Lebanon for his studies. He told me he "respected her very much. She was praying all the time. She influenced me to be merciful, kind to people, to love people, etc." When war broke out in 1948, he returned to Lydda. In July, Israeli forces led by Moshe Dayan entered Lydda and its population emptied. Israeli accounts long portrayed the Palestinians as having "fled." But Israeli historian Benny Morris wrote in 1999 that Israeli forces killed at least 250 townspeople, including young men massacred in a mosque. "Immediately after this, with [Israeli Prime Minister] Ben Gurion's authorization, the troops expelled the inhabitants of Lydda and Ramle and drove them toward the [Arab] Legion lines to the east," according to Morris.

That was the horror Habash recollected as well, compounded for him by a personal tragedy: the same night, one of his sisters died in the town. Although she succumbed to typhoid, the clan blamed the Israeli onslaught for preventing her from receiving proper care. He buried the sister in the backyard, took her small children by the hand and followed the orders of the Israeli soldiers to leave. "The soldiers would say, 'All of you, out! In this direction!'" Habash recalled. "I remember asking one of the soldiers where we were supposed to go." Habash told me he rejected Christianity then. "I was all the time imagining myself as a good Christian, serving the poor. When my land was occupied, I had no time to think about religion."

Habash never returned to Lydda, which, renamed Lod, became part of the State of Israel. He and Haddad spent their time volunteering medical services in the newly established Palestinian refugee camps and later formed the Arab Nationalist Movement in solidarity with Egypt's revolutionary leader, Gamal Abdul Nasser. After Nasser's humiliating defeat in the 1967 war with Israel, Palestinians broke off from the group and formed the PFLP. Habash initially sought to use terrorism to instigate a Palestinian uprising against Israel and popular revolts in Arab countries like Jordan ruled by pro-Western leaders.

When I told Habash, "You were a medical doctor, yet you killed and assassinated and used volence," he did not flinch from responding. "All the time I was believing from the bottom of my heart and brain that I am fighting for a righteous cause," he said. "The Israelis took our country because they are powerful, and that is why we have to attain power, because justice without power means nothing. Certain [terrorist] operations would make Palestinians themselves feel that they can do something, which would make all the world stop and say, 'Oh, what is this?'"

Four decades after Habash introduced the world to airplane hijacking, that question continues to be asked about the violent actions of Palestinians. Habash succeeded in raising awareness of their cause, yet his extreme, vengeful methods also helped drench it in blood, and likely brought Palestinians no closer to freedom and dignity
 
03 March 2024

Wadi Haddad, Palestinian Hijacking Strategist, Dies​


By Raymond H. Anderson


Dr. Wadi Haddad, the strategist behind the Palestinian guerrilla movement's hijacking of airliners and a shadowy figure linked to international terrorist groups, has died of cancer in a hospital in East Germany, the Popular Front for the Liberation of Palestine announced in Lebanon yesterday.
The Popular Front, which Dr. Haddad founded in 1967 along with Dr. George Habash, said that he “died as a hero” on Tuesday.
The body of the 49‐year‐old physician was flown yesterday to Baghdad, Iraq, one of the Arab cities where the underground leader had been living out of public view in recent years. Palestinians in Beirut, Lebanon, said he would be brought there for burial at the Palestinians’ “Martyr's Cemetery.”
Dr. Haddad was at the head of Israel's list of wanted terrorists. He went underground after rockets were fired into his Beirut apartment in July 1970.

Directed First Hijacking
The guerrilla leader directed the first airliner hijacking by Palestinians involving the seizure of an Israeli plane, an El Al airliner, in July 1968 and its diversion to AIgeria.

Last October, already confined by his illness, he was the strategist behind the most recent major hijacking, the takeover of a Lufthansa airliner that was ultimately stormed in Somalia by West German commandos.
One of the most dramatic terrorist actions that Dr. Haddad planned was the hijacking of four airliners in September 1970 and the blowing up of three of them in the desert of Jordan and of the fourth at the Cairo airport.

That gesture of defiance by the Palestinians to Egypt's acceptance of a ceasefire with Israel backfired and led to Jordanian suppression of the guerrilla movement in Jordan.
In 1972 Dr. Haddad split with the Marxist‐oriented Popular Front for the Liberation of Palestine in a dispute over airliner hijackings.

In 1976 he and other supporters of hijackings were formally ousted by the Popular Movement, whose leader, Dr. Habash, had come to regard the seizure of airliners as more damaging than beneficial to the Palestinian fight against Israel.

Dr. Haddad was born in Palestine into a Grzek Orthodox family. His father was a teacher. A refugee after the creation of Israel in 1948, he studied in Beirut, where one of his closest classmates in the American University Medical School was Dr. Habash.
After graduation, Dr. Haddad did social work in Palestinian refugee camps, and he and Dr. Habash formed a group called the Arab Nationalist Movement, intended for struggle against Israel. This developed’ into the Popular Front for the Liberation of Palestine.

As a guerrilla leader, Dr. Haddad shunned the spotlight. A guerrilla in Lebanon was quoted yesterday as having said of him: “He was a real revolutionary. He did what he thought was best for the Palestinian cause, without publicizing himself.”
Dr. Haddad had close ties with some of the most notorious international ter‐, rorist groups, including the Baader‐Meinhof gang in West Germany and the Red Army in Japan. He was also linked to the Venezuelan terrorist known as Carlos.

Dr. Haddad was reported to have been the planner of the Tel Aviv airport attack by the Japanese Red Army in May 1972, in which the attackers pulled submachine guns and grenades from suitcases in the airport terminal and opened fire, killing nearly 30 people and wounding dozens.
He was also said to have been involved in planning the hijacking of an Air France plane to Uganda in July 1976, which ended with an assault by Israeli commandos to free the hostages.
Uncertainty Over Effect
Dr. Haddad's terrorist ventures were said to have been financed by Arab sectors opposed to any peaceful settlement with Israel, among them the Libyans.
There was uncertainty among Palestinians in Beirut yesterday over the effect of Dr. Haddad's death on guerrilla tactics and international terrorism in general.
No certain successor was in sight to command the splinter group headed by Dr. Haddad, called the P.F.L.P—Foreign Operations Branch. But analysts in Beirut said they thought a guerrilla with the code name of Abu Nidal, who operates from Iraq, might take over.
Some Palestinians reported that Dr. Haddad had hoped before his death to create a terrorist network in the United States.
Source: TheNewYorkTimes
 

Wadie Haddad​


Personal Info​

  • Country of residence: Palestine
  • Gender: Male
  • Born in: 1927

Information​

Wadie Haddad (1927 – 28 March 1978), also known as Abu Hani, was a Palestinian leader of the Popular Front for the Liberation of Palestine's armed wing. He was responsible for organizing several civilian airplane hijackings in support of the Palestinian cause in the 1960s and 1970s.


Haddad was born to Palestinian Christian (Greek Orthodox) parents in Safed, Palestine, in 1927. During the 1948 Arab–Israeli War his family's home was destroyed and his family fled to Lebanon. He studied medicine at the American University of Beirut, where he met fellow Palestinian refugee, George Habash, who was also a medical student. Together they helped found the Arab Nationalist Movement (ANM), a pan-Arabist and Arab socialist grouping aiming to create the State of Palestine and unite the Arab countries.

After graduating, he relocated with Habash (a pediatrician) to Amman, Jordan, where they established a clinic. He worked with the United Nations Relief and Works Agency for Palestine Refugees (UNRWA) in 1956, but due to his Palestinian nationalist activism he was arrested by the Jordanian authorities in 1957. In 1961, he managed to escape to Syria. Haddad argued for armed struggle against Israel from 1963 onwards, and succeeded in militarizing the ANM.

According to Vasili Mitrokhin, a senior KGB archivist who defected to the UK in 1992, in early 1970 Haddad was recruited by the KGB as an agent, codenamed NATSIONALIST. Thereafter, in deep secrecy the Soviets helped to fund and arm the PFLP. The KGB had warning of its major operations and almost certainly sanctioned the most significant, such as the September 1970 hijackings. Haddad remained a highly valued agent till his death in 1978.

A letter by Yuri Andropov allegedly confirming Haddad's role as an agent was independently discovered in Soviet archives by Vladimir Bukovsky and has since been published.

Haddad died on 28 March 1978, in the German Democratic Republic supposedly from leukemia. According to the book Striking Back, published by Aaron J. Klein in 2006, Haddad was eliminated by the Mossad, which had sent the chocolate-loving Haddad Belgian chocolates coated with a slow-acting and undetectable poison which caused him to die severals months later. "It took him a few long months to die", Klein said in the book.

What remained of the PFLP-EO dissolved after his death, but in the process augured the May 15 Organization and the PFLP-SC
 
Hotuba ya kiongozi wa PLO injinia Yasser Arafat ikionesha maono yao ni tofauti na ya sasa ya HAMAS kujificha nyuma ya imani moja. PLO ilikusanya wote bila kujali imani za dini zao na kutaka umajinuhi / umoja wa nchi za Kiarabu (Pan Arabian nations / Arabian Unity ) kumbuka kuna wakristo Egypt, Lebanon, Syria, Palestine n.k


HOTUBA YA BW. YASSER ARAFAT ILIYOBATIZWA (KAMA ISHARA YA AMANI) TAWI LA MZEITUNI

Hotuba ya kiongozi wa PLO mwaka 1974 mbele ya Umoja wa Mataifa mwezi November 1974 mara baada ya Palestine kukaribishwa kuwa na mwanachama katika Umoja wa Mataifa

View: https://m.youtube.com/watch?v=SQrbPhrPJ7I(interpretation from Arabic) :
 

MICHEL AFLAQ​


MICHEL AFLAQ​

Michel Aflaq (Arabic: ميشيل عفلق, romanized: Mīšīl ʿAflaq‎, Arabic pronunciation: [miˈʃel ˈʕaflaq]; 9 January 1910 – 23 June 1989) was a Syrian philosopher, sociologist and Arab nationalist. His ideas played a significant role in the development of Ba'athism and its political movement; he is considered by several Ba'athists to be the principal founder of Ba'athist thought.

Since 2007, the English Wikipedia page of Michel Aflaq has received more than 1,005,250 page views. His biography is available in 33 different languages on Wikipedia (up from 32 in 2019).

Michel Aflaq is the 3,352nd most popular politician (down from 2,967th in 2019), the 42nd most popular biography from Syria (down from 35th in 2019) and the 19th most popular Syrian Politician.

Michel Aflaq was a Syrian philosopher and Arab nationalist. He is most famous for co-founding the Ba'ath Party
 
Lebanon

Lebanese outgoing President Michel addresses his supporters as he leaves the presidential palace a day before his six-year term officially ends, in Baabda, Lebanon October 30, 2022 [Mohamed Azakir/Reuters]
Published On 30 Oct 202230 Oct 2022


Lebanon’s President Michel Aoun has vacated the presidential palace with no successor in line to replace him as the divided country struggles to recover from a years-long financial crisis.

Addressing his supporters outside the Baabda presidential palace in Beirut on Sunday, the 89-year-old Christian leader, who took office in 2016, said the Middle East country was entering a new “chapter which requires huge efforts”.

“Without these efforts, we cannot put an end to our suffering. We cannot bring our country back on its feet. We cannot salvage Lebanon out of this deep pit,” he said in front of cheering supporters, leaving a day earlier than when his mandate ends.

Source : aljazeera
 

Egypt names first-ever Christian head of country’s top court​


1 of 2 |
In this photo provided by Egypt’s presidency media office, Egyptian President Abdel-Fattah el-Sissi, right, meets with Judge Boulos Fahmy, after he was sworn in as the first-ever Coptic Christian to head the country’s highest court, in Cairo, Egypt, Wednesday, Feb. 9, 2022.

The 65-year-old is the 19th person to preside over the Supreme Constitutional Court since it was established in 1969. (Egyptian Presidency Media Office via AP)
Read More

2 of 2 |
In this photo provided by Egypt’s presidency media office, Egyptian President Abdel-Fattah el-Sissi, right, swears in Judge Boulos Fahmy, as the first-ever Coptic Christian to head the country’s highest court, in Cairo, Egypt, Wednesday, Feb. 9, 2022. The 65-year-old is the 19th person to preside over the Supreme Constitutional Court since it was established in 1969. (Egyptian Presidency Media Office via AP)

Read More

BY SAMY MAGDY
Published 12:22 PM GMT, February 9, 2022

CAIRO (AP) — Egypt’s president on Wednesday swore in the first-ever Coptic Christian to head the country’s highest court.

Judge Boulos Fahmy is the 19th person to preside over the Supreme Constitutional Court since it was established in 1969. President Abdel Fattah el-Sissi picked the 65-year-old Fahmy from among the court’s five oldest of 15 sitting judges, as is prescribed by law.

Fahmy succeeded Judge Saeed Marei, who retired over health reasons, according to Mohammed Bassal, a respected expert in Egypt’s judicial affairs and editorial manager of the Shorouk daily.
 
Monir Fakhry Abdel Nour
Minister of Industry, Trade and Investment
Abdel Nour was born into a Coptic Christian family on 21 August 1945. His father, Amin Fakhry Abdel Nour (1912 – 2012), was a Wafdist politician.

He graduated from a French high school in Cairo. He received a bachelor's degree from Cairo University's Faculty of Economics and Political Science. He holds a master's degree from the American University in Cairo (AUC) with a thesis entitled "private foreign investment as a source of economic development."
 

Boutros Boutros-Ghali​


Mr. Boutros Boutros-Ghali

became the sixth Secretary-General of the United Nations on 1 January 1992, when he began a five-year term.
 

Iconic activist George Isaac passes away at age 85​

Ahram Online , Saturday 10 Jun 2023​

George Isaac, a prominent activist and dedicated advocate for change, passed away peacefully on Friday at the age of 85, after battling health issues.​



Politician and activist George Isaac protecting Muslim worshippers in Tahrir Square during Egypt s 2011 revolution.

The leader of the Justice Party, Abdelmonem Emam, announced the news on Facebook, describing Isaac as "the saint of national work."

Isaac carved out a notable place in Egypt's political landscape, particularly as a founding member of the Civil Democratic Movement in 2014. This liberal political alliance comprised parties such as the Social Democratic Party and the Bread and Freedom Party.

He also served as general coordinator of the Kefaya (Enough) Movement, officially known as the Egyptian Movement for Change. Formed in 2004, the movement was as a vocal critic of former President Hosni Mubarak's regime and vehemently opposed the notion of dynastic succession within the presidency, particularly after the 2005 presidential elections.

George Isaac's unwavering commitment to social justice was evident during the transformative events of the January Revolution in 2011. His active participation in the protests, notably as a Christian safeguarding Muslim worshippers in Tahrir Square, demonstrated his dedication to national unity and protecting the rights of all citizens.

The official page of the Civil Democratic Movement mourned his passing, celebrating him as “a rare embodiment of the authentic Egyptian character” and a symbol for “toughness, benevolence and optimism.”

The National Council for Human Rights (NCHR), of which Isaac was a respected member until his passing, acknowledged his impact in inspiring Egyptians across different affiliations, a man who left behind a "great human legacy" and a “bright page in political history.”

Isaac’s funeral will be held on Sunday at the Coptic Orthodox Cathedral in Abbassiya.

Remembering George Isaac: A Political Figure and Advocate for Change​

by 9 months ago


This week, we bid farewell to a visionary leader, an advocate for change, and a true patriot – George Isaac.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…