Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
- Thread starter
-
- #21
Sasa kwanini hakukaa na viongozi wenzake wakajadiliana kuhusu mambo hayo, badala ya kuanza kuzunguka nchi nzima kuyananga maridhiano hayo...Lissu hapingi maridhiano.
..Lissu anatetea maridhiano yenye tija.
..Hoja za Lissu ndizo zitakazompa nguvu Mbowe anapojadiliana na CCM.
Mbowe kakomaa kiakili na kisiasa. Sio mtu wa kukurupuka na kuanza kujibiza na watu aina ya kina Lisu mikutanoni.Kwani Mbowe mwenyewe anasemaje?
Majukwaani ndio pazuri ili na Wananchi wasikie HATUTAKI SERIKALI YA NUSU MKATE.Lisu anatakiwa akae na viongozi wenzake wa chama awambie kile kinachohitajika kufanywa katika maridhiano hayo, badala ya kuanza kuzunguka nchi nzima kupinga wazi wazi kile kinachofanywa na chama katika maridhiano yao.
😂😂😂😂 aisee.....!Umeusoma huu mchezo vizuri,ni wachache wamilielewa.hili
Sasa kwanini hakukaa na viongozi wenzake wakajadiliana kuhusu mambo hayo, badala ya kuanza kuzunguka nchi nzima kuyananga maridhiano hayo.
Inamaana huwa hawasiliani na Mbowe na kuongea juu ya maswala hayo hadi aje ayaongelea yeye mwenyewe tu kwenye public?
Mbowe anafanya siasa kisayansi zaidi. Tofauti na Lisu ambae anachukulia siasa kiharakati matokeo yake atakosa vyote.Tuna imani na Lisu na sio hayo maridhiano ya kitapeli ya Mbowe.
Lisu anatakiwa akae na viongozi wenzake wa chama awambie kile kinachohitajika kufanywa katika maridhiano hayo, badala ya kuanza kuzunguka nchi nzima kupinga wazi wazi kile kinachofanywa na chama katika maridhiano yao.
Akifanya ziara zake kwa kuelezea sera za chama chake, akielezea namna atakavyoleta ahueni ya maisha pindi atakapochaguliwa, hapo hakuna atakaetofautiana nae...Nadhani kinachoendelea ni over-reaction ya ziara alizoanza Tundu Lissu.
..Lissu angejikalia nyumbani kwake usingesikia makelele haya dhidi yake.
..Majuzi tu kulianzishwa mada hapa ikihoji alipo Tundu Lissu kwa namna ya kumbeza.
..Leo Lissu yuko barabarani yameibuka makundi ya kila aina kumshambulia.
Lisu anatakiwa akae na viongozi wenzake wa chama awambie kile kinachohitajika kufanywa katika maridhiano hayo, badala ya kuanza kuzunguka nchi nzima kupinga wazi wazi kile kinachofanywa na chama katika maridhiano yao.
Tatizo Lisu anafikiri kwamba sikio linaweza kuzidi kichwa, kumbe anajidanganya.Lissu yupo kwa vile Mbowe yupo and not the other way round
So who cares?..Ujumbe wa Lissu umewafikia viongozi na Watz kwa ujumla.
Hakuna sayansi kwenye siasa, kwenye siasa ni kufanya lile wanataka wafuasi wako. Hiyo kusema siasa ni sayansi ni maneno ya kitapeli ya CCM.Mbowe anafanya siasa kisayansi zaidi. Tofauti na Lisu ambae anachukulia siasa kiharakati matokeo yake atakosa vyote.
Sipingani na wewe katika hili, lkn kwanini Lisu hakutumia njia nyingine za kichama kuelezea madai yake, na badala yake kaamua kuyazungumzia zungumzia hovyo kwenye public?Hakuna haja ya kuendekeza maridhiano ya kupotezeana muda. Lisu anaweka msisitizo kuwa hayo maridhiano yana walakini, hilo sio jambo la kufichaficha. Na kwa taarifa yako tunamuelewa Lisu zaidi kuliko hao viongozi wa chama chake.
Slaa na Zito ajifunze nini kupitia kwao?Tatizo Lisu anafikiri kwamba sikio linaweza kuzidi kichwa, kumbe anajidanganya.
Ajifunze kupitia kwa Dr Slaa na Zito Kabwe.
Ok mkuu nimekuelewa.Majukwaani ndio pazuri ili na Wananchi wasikie HATUTAKI SERIKALI YA NUSU MKATE.
TUNATAKA KATIBA MPYA HALAFU TUINGIE KWENYE UCHAGUZI.
Sipingani na wewe katika hili, lkn kwanini Lisu hakutumia njia nyingine za kichama kuelezea madai yake, na badala yake kaamua kuyazungumzia zungumzia hovyo kwenye public?
Je wakitokea wanachama wengine na kuanza kupingana na maamuzi ya chama hadharani kama anavyofanya yeye hali uko mbele itakuaje?
Akifanya ziara zake kwa kuelezea sera za chama chake, akielezea namna atakavyoleta ahueni ya maisha pindi atakapochaguliwa, hapo hakuna atakaetofautiana nae.
Ila kuanza kulaumu maridhiano ambayo bado yapo kwenye hatua ya kufanyiwa kazi ni sawa sawa na kuturudisha kulekule kwenye siasa za chuki ambazo huwafaidisha wao wanasiasa na kutuacha sisi wananchi wa kawaida tukichukiana wenyewe kwa wenyewe.
Raisi wa sasa ni mtu anaependa siasa za maelewano, kwahiyo nina imani kila lililopangwa katika maridhiano yao litafanyika, japo kila moja litafanywa kwa muda wake.Hakuna sayansi kwenye siasa, kwenye siasa ni kufanya lile wanataka wafuasi wako. Hiyo kusema siasa ni sayansi ni maneno ya kitapeli ya CCM.
Anayozungumza Lissu yana baraka zote za chama.Sasa kwanini hakukaa na viongozi wenzake wakajadiliana kuhusu mambo hayo, badala ya kuanza kuzunguka nchi nzima kuyananga maridhiano hayo.
Inamaana huwa hawasiliani na Mbowe na kuongea juu ya maswala hayo hadi aje ayaongelea yeye mwenyewe tu kwenye public?
Walijiona kwamba wao wako juu ya chama kwa kuongea, na kufanya maamuzi kinyume na yale yalioamuliwa na chama.Slaa na Zito ajifunze nini kupitia kwao?