1. Hapo kabla eneo lote lilikuwa koloni la Uingereza baada ya himaya ya Ottoman kushindwa vita ya dunia, ndipo uingereza akachora mipaka kuwe na Israel na Palestine, upande wa Israel hawakuona shida lakini hao wa kuitwa wapalestina walikataa mpango huu kwa kutaka ardhi yote iwe yao na ndio kinachofanya kuwe na vita mpaka leo hii, wapalestina wana kauli mbiu ya "from the river to the sea" ikimaanisha wanaotaka ardhi yote kutoka mto Yordan mpaka kwenye bahari iwe yao na kuwaua wa israel wote asibaki hata moja.
2. Kabla ya the Uingereza, kulikuwepo Himaya ya Ottoman, Hakukuwahi kuwa na Palestina.
3. Kabla ya the Himaya ya Ottoman, kulikuwepo Tawala ya kiisalmu ya Mamluk wa Misri, Hakukuwahi kuwa na Palestina.
4. Kabla ya the Tawala ya kiislam ya Mamluk wa Misri, kulikuwepo himaya ya Ayubid Arab-Kurdish, Hakukuwahi kuwa na Palestina.
5. Kabla ya himaya ya Ayubid Arab-Kurdish, kulikuwepo falme ya kikristo ya Jerusalem, Hakukuwahi kuwa na Palestina.
6. Kabla ya the falme ya kikristo ya Jerusalem, kulikuwepo himaya za Umayyad na Fatimid, Hakukuwahi kuwa na Palestina.
7. Kabla ya the himaya za Umayyad na Fatimid, kulikuwepo himaya ya Byzantine, Hakukuwahi kuwa na Palestina.
8. Kabla ya himaya ya Byzantine, kulikuwepo himaya ya Sassanid, Hakukuwahi kuwa na Palestina.
9. Kabla ya the himaya ya Sassanid, kulikuwepo himaya ya Byzantine, Hakukuwahi kuwa na Palestina.
10. Kabla ya the himaya ya Byzantine, kulikuwepo himaya ya waroma, Hakukuwahi kuwa na Palestina.
11. Kabla ya the himaya ya waroma, kulikuwepo tawala ya Hasmonean, Hakukuwahi kuwa na Palestina.
12. Kabla ya the tawala ya Hasmonean, kulikuwepo himaya ya Seleucid, Hakukuwahi kuwa na Palestina.
13. Kabla himaya ya Seleucid, kulikuwepo himaya ya Alexander wa Mcedonia, Hakukuwahi kuwa na Palestina.
14. Kabla ya the himaya ya Alexander wa Mcedonia, kulikuwepo himaya ya Persia, Hakukuwahi kuwa na Palestina.
15. Kabla ya the himaya ya Persia, kulikuwepo himaya ya Babiloni, Hakukuwahi kuwa na Palestina.
16. Kabla ya the himaya ya Babiloni, kulikuwepo falme za Israel na Judah, Hakukuwahi kuwa na Palestina.
17. Kabla ya falme za Israel na Judah, kulikuwepo ufalme wa Israel, Hakukuwahi kuwa na Palestina.
18. Kabla ya the ufalme wa Israel, kulikuwepo Muungano wa makabila 12 ya wayahudi, Hakukuwahi kuwa na Palestina.
NI HURUMA TU YA ISRAEL! Ndilo neno fupi linaloweza kuhitimisha uwepo wa Palestine hii ya sasa, hata pale nchi 5 za Kiarabu pamoja na Wapalestina walipoungana kumpiga Israel ili ardhi yote iwe ya Palestina.
Israel aliwapiga wote ndani ya siku 6 na alikuwa na uwezo wa kuwatimua wapalestina ila ni huruma tu.