Mjomba Fujo
JF-Expert Member
- Oct 27, 2012
- 2,438
- 6,313
Watajuana wenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nina wazo,Syria, Iraq, Afghanistan
Hizi nchi zina matatizo mazito hakukaliki, nchi za waarabu wenzao hawawataki, Ni mpaka waturuki wa ulaya hawawataki.
Hawa watu hata ukiwapeleka mbinguni watauanzisha mtiti.Waarabu wenzao wamegoma kuwakaribisha wanawajuaMimi nina wazo,
Urusi ndiyo nchi inayoongoza kwa ukubwa duniani na ina maeneo mengi ya wazi raia hawaishi, licha ya kuwa na tamaa ya kuwanyang'anya wa Ukraine ardhi yao ila wana maeneo makubwa yanayoweza kuzalisha vinchi vidogo zaidi ya kumi na kubakia Urusi nyingine.
Ni muda sasa wa dunia kuliona hili na tugawane hii zawadi ya ardhi tuliyopewa bure.
Unakili kuwa wote ni wahamiaji ila unashangaa Israel kutaka kujimilikisha ilo eneo dhidi ya muhamiaji mwenzake anaetaka kumtoa hapo kwa hila at the same time unasapot upande muhamiaji mwingine ..hii ni ndiyo nini sasa?.Wapi nimesema ni wafilisti? Nimekutajia makabila kama Jebusites, Gilgashites, Amorites, Hittites, Hivites n.k hao ni purely semitic tribes hao philistines ndio nmekwambia ni descendants wa makabila ya Caphtorites, casluh ambao ni asili ya ugiriki ambao ni Caucasians. So usichanganye canaanites na Philistines.
Hata Israel walihamia hapo kutoka Syria na Iraq.... kila mtu alihamia but canaanites walikua wa kwanza kuliko israelites. Hata Abraham unayemtaja alikutana na wafalme wa Jerusalem means kulikua na tawala rasmi. Why wajimilikishe whilst ni wahamiaji pia?
Kasome vizuri nimekwambia original Jews kama Sephards au Falahasha are more intertwined with palestinians and druze kuliko how the same Jews relate with Ashkenazi Jews? Umeelewa tofauti. Means they are more original kuliko hao wazungu wanaojiita Jews.
Uongo walikuta wa canaan kina mfalme Rapha, Sihon, Og etc
nan kawafukuza ? mnaish nyumba moja ww unataka mwenzio aondoke au umuue , yeye kaona asikuue ila akutoe ndan ya nyumba mpk ukibadili mawazo , je hajakutendea wema?Kwa hiyo wapalestina waende wapi? Wafe tu?
Kwani kabla ya ujio wa Muingereza hapa kwenu kulikuwa na Tanganyika?1. Hapo kabla eneo lote lilikuwa koloni la Uingereza baada ya himaya ya Ottoman kushindwa vita ya dunia, ndipo uingereza akachora mipaka kuwe na Israel na Palestine, upande wa Israel hawakuona shida lakini hao wa kuitwa wapalestina walikataa mpango huu kwa kutaka ardhi yote iwe yao na ndio kinachofanya kuwe na vita mpaka leo hii, wapalestina wana kauli mbiu ya "from the river to the sea" ikimaanisha wanaotaka ardhi yote kutoka mto Yordan mpaka kwenye bahari iwe yao na kuwaua wa israel wote asibaki hata moja.
2. Kabla ya the Uingereza, kulikuwepo Himaya ya Ottoman, Hakukuwahi kuwa na Palestina.
3. Kabla ya the Himaya ya Ottoman, kulikuwepo Tawala ya kiisalmu ya Mamluk wa Misri, Hakukuwahi kuwa na Palestina.
4. Kabla ya the Tawala ya kiislam ya Mamluk wa Misri, kulikuwepo himaya ya Ayubid Arab-Kurdish, Hakukuwahi kuwa na Palestina.
5. Kabla ya himaya ya Ayubid Arab-Kurdish, kulikuwepo falme ya kikristo ya Jerusalem, Hakukuwahi kuwa na Palestina.
6. Kabla ya the falme ya kikristo ya Jerusalem, kulikuwepo himaya za Umayyad na Fatimid, Hakukuwahi kuwa na Palestina.
7. Kabla ya the himaya za Umayyad na Fatimid, kulikuwepo himaya ya Byzantine, Hakukuwahi kuwa na Palestina.
8. Kabla ya himaya ya Byzantine, kulikuwepo himaya ya Sassanid, Hakukuwahi kuwa na Palestina.
9. Kabla ya the himaya ya Sassanid, kulikuwepo himaya ya Byzantine, Hakukuwahi kuwa na Palestina.
10. Kabla ya the himaya ya Byzantine, kulikuwepo himaya ya waroma, Hakukuwahi kuwa na Palestina.
11. Kabla ya the himaya ya waroma, kulikuwepo tawala ya Hasmonean, Hakukuwahi kuwa na Palestina.
12. Kabla ya the tawala ya Hasmonean, kulikuwepo himaya ya Seleucid, Hakukuwahi kuwa na Palestina.
13. Kabla himaya ya Seleucid, kulikuwepo himaya ya Alexander wa Mcedonia, Hakukuwahi kuwa na Palestina.
14. Kabla ya the himaya ya Alexander wa Mcedonia, kulikuwepo himaya ya Persia, Hakukuwahi kuwa na Palestina.
15. Kabla ya the himaya ya Persia, kulikuwepo himaya ya Babiloni, Hakukuwahi kuwa na Palestina.
16. Kabla ya the himaya ya Babiloni, kulikuwepo falme za Israel na Judah, Hakukuwahi kuwa na Palestina.
17. Kabla ya falme za Israel na Judah, kulikuwepo ufalme wa Israel, Hakukuwahi kuwa na Palestina.
18. Kabla ya the ufalme wa Israel, ulikuwepo Muungano wa watoto 12 ya Yakobo ambao kila moja alikuwa na eneo lake na kuanzisha kabila lake, Hakukuwahi kuwa na Palestina.
19. Kabla ya hapo kulikuwa na himaya ya Caanan iliyoanzishwa na Hamu aliekuwa mtoto wa Noah, Yakobo aliishi moja ya eneo ambalo likarithiwa na watoto wake 12 na baadae wakaungana kuwa nchi moja ya Israel,
NI HURUMA TU YA ISRAEL! Ndilo neno fupi linaloweza kuhitimisha uwepo wa Palestine hii ya sasa, hata pale nchi 5 za Kiarabu pamoja na Wapalestina walipoungana kumpiga Israel ili ardhi yote iwe ya Palestina. Israel aliwapiga wote ndani ya siku 6 na alikuwa na uwezo wa kuwatimua wapalestina ila ni huruma tu.
Waondoke waende wapi mkuu?Israeli yuko fair sana kwenye, vile anatoa ishara za watu kuondoka kabla ya kushambulia, kuonesha njia salama za kupita etc. Hii ni SMO na siyo vita.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
huelew na hutoelewa sababu dini imekutia uchizi , hakukuwa kuwepp na falme au tawala ya kipalestina , mataifa ya afrika mengi yameunda national identity baada ya uhuru , ni kituko kufananisha au kutumia km mf , Israel imewai kuwepp je Wafalastin wamewai kuwa na tawala hapo?Ni sawa na kusema hakukua na Tanganyika kabla ya mjerumani,utawala wa ottoman..walitawala nini!?..utakua mkoloni pahala pasipo nchi!?..kwa kiarabu Palestine ni falastin, wapalestine ni wafalastini,kiswahili kikatohoa na kuita wafilisti,Jordan ya Leo huko nyuma ilikua nchi gani!?
Hivi Goliathi alikuwa muisrael?1. Hapo kabla eneo lote lilikuwa koloni la Uingereza baada ya himaya ya Ottoman kushindwa vita ya dunia, ndipo uingereza akachora mipaka kuwe na Israel na Palestine, upande wa Israel hawakuona shida lakini hao wa kuitwa wapalestina walikataa mpango huu kwa kutaka ardhi yote iwe yao na ndio kinachofanya kuwe na vita mpaka leo hii, wapalestina wana kauli mbiu ya "from the river to the sea" ikimaanisha wanaotaka ardhi yote kutoka mto Yordan mpaka kwenye bahari iwe yao na kuwaua wa israel wote asibaki hata moja.
2. Kabla ya the Uingereza, kulikuwepo Himaya ya Ottoman, Hakukuwahi kuwa na Palestina.
3. Kabla ya the Himaya ya Ottoman, kulikuwepo Tawala ya kiisalmu ya Mamluk wa Misri, Hakukuwahi kuwa na Palestina.
4. Kabla ya the Tawala ya kiislam ya Mamluk wa Misri, kulikuwepo himaya ya Ayubid Arab-Kurdish, Hakukuwahi kuwa na Palestina.
5. Kabla ya himaya ya Ayubid Arab-Kurdish, kulikuwepo falme ya kikristo ya Jerusalem, Hakukuwahi kuwa na Palestina.
6. Kabla ya the falme ya kikristo ya Jerusalem, kulikuwepo himaya za Umayyad na Fatimid, Hakukuwahi kuwa na Palestina.
7. Kabla ya the himaya za Umayyad na Fatimid, kulikuwepo himaya ya Byzantine, Hakukuwahi kuwa na Palestina.
8. Kabla ya himaya ya Byzantine, kulikuwepo himaya ya Sassanid, Hakukuwahi kuwa na Palestina.
9. Kabla ya the himaya ya Sassanid, kulikuwepo himaya ya Byzantine, Hakukuwahi kuwa na Palestina.
10. Kabla ya the himaya ya Byzantine, kulikuwepo himaya ya waroma, Hakukuwahi kuwa na Palestina.
11. Kabla ya the himaya ya waroma, kulikuwepo tawala ya Hasmonean, Hakukuwahi kuwa na Palestina.
12. Kabla ya the tawala ya Hasmonean, kulikuwepo himaya ya Seleucid, Hakukuwahi kuwa na Palestina.
13. Kabla himaya ya Seleucid, kulikuwepo himaya ya Alexander wa Mcedonia, Hakukuwahi kuwa na Palestina.
14. Kabla ya the himaya ya Alexander wa Mcedonia, kulikuwepo himaya ya Persia, Hakukuwahi kuwa na Palestina.
15. Kabla ya the himaya ya Persia, kulikuwepo himaya ya Babiloni, Hakukuwahi kuwa na Palestina.
16. Kabla ya the himaya ya Babiloni, kulikuwepo falme za Israel na Judah, Hakukuwahi kuwa na Palestina.
17. Kabla ya falme za Israel na Judah, kulikuwepo ufalme wa Israel, Hakukuwahi kuwa na Palestina.
18. Kabla ya the ufalme wa Israel, ulikuwepo Muungano wa watoto 12 ya Yakobo ambao kila moja alikuwa na eneo lake na kuanzisha kabila lake, Hakukuwahi kuwa na Palestina.
19. Kabla ya hapo kulikuwa na himaya ya Caanan iliyoanzishwa na Hamu aliekuwa mtoto wa Noah, Yakobo aliishi moja ya eneo ambalo likarithiwa na watoto wake 12 na baadae wakaungana kuwa nchi moja ya Israel,
NI HURUMA TU YA ISRAEL! Ndilo neno fupi linaloweza kuhitimisha uwepo wa Palestine hii ya sasa, hata pale nchi 5 za Kiarabu pamoja na Wapalestina walipoungana kumpiga Israel ili ardhi yote iwe ya Palestina. Israel aliwapiga wote ndani ya siku 6 na alikuwa na uwezo wa kuwatimua wapalestina ila ni huruma tu.
Kwani wakina Goliathi walikuwa wakaa wapi?huelew na hutoelewa sababu dini imekutia uchizi , hakukuwa kuwepp na falme au tawala ya kipalestina , mataifa ya afrika mengi yameunda national identity baada ya uhuru , ni kituko kufananisha au kutumia km mf , Israel imewai kuwepp je Wafalastin wamewai kuwa na tawala hapo?