Katika historia hakujawahi kuwa na himaya, falme wala tawala ya Palestina, hata taifa la Palestina la sasa ni kwa huruma ya Israel

Unawajua wayahudi wewe?
Wale wazungu waliopelekwa Palestina na uingereza na marekani mwaka 1947 ndio unawaita wayahudi?!!
hii ndo sababu ya wafia dini wa mudi,wanafanya yote hii ili mashariki ya kati itawaliwe na magaidi ya kislam,na waisrael hwawezi kubali hilo,hapo gaza mtapigwa mchakae.
 
Yaani watetezi wa Wapelistina mmeshindwa Kujustify historia halisi ya Wapalestina mnasema ni Wakaanani,

Unaweza kutaja makabila ya Wakaanani, na kama Wafilisti walipotea na makabila 10 ya Waisrael yalipotea, how on Earth hao Wakaanani wasipotee na hawakuwa na Nchi wala City state for 3000 years, na wala hakuna mtu aayeongea lugha yao leo
 
wacha uongo waislam ndo walimshawishi Hitler awaue ili wasirudi kwenye nchi yao ya asili.
Wasirudi? Mbona walishaanza kurudi miaka ya 1890? Muwe mnasoma kwanza historia kabla ya kuongea mambo msiokua na elimu nayo.

In fact the Jewish question imeanza jadiliwa tokea Vienna Congress ya 1800s huko. Muda huo wayahudi walikua wanachinjwa na wakristo wenzao huko ulaya. Sasa waislam wanaingia wapi?

Acheni kulishwa propaganda in fact hao wayahudi ni zao la wasyria ambao ni waarabu pia sasa kipi cha ajabu mpaka wawazuie kurudi?

Msome Martin Luther alikwisha hamasisha mauaji ya wayahudi hapo ujerumani miaka kibao, so Hitler alikuja kumalizia kazi
 
hii ndo sababu ya wafia dini wa mudi,wanafanya yote hii ili mashariki ya kati itawaliwe na magaidi ya kislam,na waisrael hwawezi kubali hilo,hapo gaza mtapigwa mchakae.
Mbona Syria walifeli licha ya support ya USA? Israel inaonea watoto hapo Gaza ila toe to toe na majeshi serious kama Iran au Turkey haiwezi kitu.
 
Ina maana kwa miaka kadhaa,wapalestina wa leo hawakuwepo,walivamia(kuhamia) katika arshi isiyo yao? Na HAMAS hapo inapambana kujimilikisha? Je, Israel kipindi hicho ilikuwepo? Maana ukiangalia kwenye ramani inayoonyeshwa, kama Palestine imezingirwa na Israel
 
Ni sahihi kwa kujibu wa historia kuwa hakujawahi kuwa na taifa huru ama ufalme mmoja uliofahamika ama unaofahamika kama "Palestine", bali ni eneo la kijiografia lililokuwa chini ya mamlaka ya falme kuu mbalimbali za kale.

Pia, katika historia, eneo hilo kwa ujumla wake limekuwa likikaliwa na watu wa jamii nyingi, hivyo hakuna jamii moja yenye uhalali wa kudai kwamba eneo hilo kwa ujumla wake ni makazi yake pekeyake ya asili.

Ni sawa tu na eneo lililokuwa likiitwa "Tanganyika". Wengi tunafahamu kuwa eneo la Tanganyika kwa maana ya 'territory' pamoja na mipaka yake inayotambulika viliundwa na wakoloni. Kabla ya ukoloni, hakukuwa na uwepo wa eneo huru lenye kujitawala lililofahamika kama Tanganyika.

Pamoja na kuwa eneo la Tanganyika lilikuwa na wakazi wa kihistoria kabla ya kuundwa kwa mipaka yake, hakuna jamii moja ama kabila moja lililokuwa na uhalali hapo kabla na hata sasa wa kudai ama wa kusema kuwa eneo la Tanganyika kwa ujumla wake ni makazi yake pekeyake ya asili.
 
"Palestines ni descendants wa makabila yaliyoishi hapo canaan hata hao Israel walikuta makabila 13 ya canaan so sio kwamba walikuta nchi iko wazi. Na paternally hao wayahudi wa biblia na palestinians wote ni descendants wa canaan tribes na wana share DNA kuliko hata wayahudi kama Sephards na Ashkenazi".

waisrael walikuta wafilist(palestine) eneo ilo ila wafilist walishapotea.
Canan ilikuwa ikijumlisha Israel, the West Bank and Gaza, Jordan, and the southern portions of Syria and Lebanon.
Na Scholars wengi wanakili kuwa walifisti asili yao ni wagiriki.

Kusema hawa Waarabu wenye asili ya Jordan, Misri, Lebanon, Syria ndiyo walifisti ni uwongo mkubwa.
Wagiriki ndiyo wana haki ya kwenda claim hiyo ardhi si hawa Waarabu maana wao ndiyo wamekutwa hapo na Abraham.
Hawa wanaoijiita wapalestina wamehamia hapo kwa wingi toka Jordan, Syria, Lebanon na Misri baada ya tawala za kiislam ku-Conquer eneo ilo.

Waarabu na wayahudi(Israel) wote ni semitic, kushare vinasaba ni jambo lenye uhalali mkubwa.. Ila Ili listumike kama hoja kupoteza uhalali wa wayahudi kwenye hiyo ardhi.
 
Hii ndiyo sababu iliyokuwa ikiimbwa sana na almost kila mtu Ila kuna hii aliyoiibua Netanyahu ndiyo ina make sense zaidi.
 
40,650 wounded
7,500 under rubble
15,207 murdered
  • 6,387 children
  • 75 journalists
  • 280 medical staff
  • 0 Hamas

Punguani kweli wee eti wana huruma waeleze wajinga wenzako huo upuuzi wako.
Aisee wana muqawama wa Hamas hawajauliwa hata mmoja.Kweli huu ni muujiza wa allah
 
Shida yetu sisi waswahili tunajadili hoja kwa kuegemea milengo yetu ya kiimani. Hebu leteni hoja bila kuweka ushabiki wa kiimani. Chakusikitisha. Kuna waswahili wenzetu wanafikiri Kila mparestina ni muislam. Kuna waparestina wakristo,. navita Ile sio ya kidini Bali ni vita ya kugombea ardhi.
 
Kusema hawa Waarabu wenye asili ya Jordan, Misri, Lebanon, Syria ndiyo walifisti ni uwongo mkubwa.
Wapi nimesema ni wafilisti? Nimekutajia makabila kama Jebusites, Gilgashites, Amorites, Hittites, Hivites n.k hao ni purely semitic tribes hao philistines ndio nmekwambia ni descendants wa makabila ya Caphtorites, casluh ambao ni asili ya ugiriki ambao ni Caucasians. So usichanganye canaanites na Philistines.
Hawa wanaoijiita wapalestina wamehamia hapo kwa wingi toka Jordan, Syria, Lebanon na Misri baada ya tawala za kiislam ku-Conquer eneo ilo.
Hata Israel walihamia hapo kutoka Syria na Iraq.... kila mtu alihamia but canaanites walikua wa kwanza kuliko israelites. Hata Abraham unayemtaja alikutana na wafalme wa Jerusalem means kulikua na tawala rasmi. Why wajimilikishe whilst ni wahamiaji pia?
Waarabu na wayahudi(Israel) wote ni semitic, kushare vinasaba ni jambo lenye uhalali mkubwa.. Ila Ili listumike kama hoja kupoteza uhalali wa wayahudi kwenye hiyo ardhi.
Kasome vizuri nimekwambia original Jews kama Sephards au Falahasha are more intertwined with palestinians and druze kuliko how the same Jews relate with Ashkenazi Jews? Umeelewa tofauti. Means they are more original kuliko hao wazungu wanaojiita Jews.
waisrael walikuta wafilist(palestine) eneo ilo ila wafilist walishapotea.
Uongo walikuta wa canaan kina mfalme Rapha, Sihon, Og etc
 
Akija Nationalist atawatimua wote miaka ijayo so sio guaranteed solution.
Mkuu Jordan ni creation ya British colonialist. Hapakuwepo na nchi inaitwa Jordan hapo kabla ya Sykes -Picot agreement mwaka 1916.

Jordan ilikuwa extension ya Palestine/Israel na British walipoitengeneza Jordan wakamchukua mwana wa Hashimite ambaye alitumiliwa na Wasaudi huko Hejaz wakampa atawale Jordan so hata mfalme wa Jordan alitakiwa atawale Hejaz ilipo Mekkah na Madina na siyo Jordan.

Tunarudi; kwa sababu Jordan ni extension ya Palestine hakuna shida Wapalestina wote wakahamia huko. Israel imekuwa nchi ya Wayahudi kwa miaka zaidi ya 5 na hata Quran na Bible na vitabu vya historia vinakiri hivyo
 
Tunarudi; kwa sababu Jordan ni extension ya Palestine hakuna shida Wapalestina wote wakahamia huko. Israel imekuwa nchi ya Wayahudi kwa miaka zaidi ya 5 na hata Quran na Bible na vitabu vya historia vinakiri hivyo
Biblically unajua hata Jordan na Syria na Iraq ni part ya "promised Land"? Its a matter of time watawafuata huko pia.

Pia hapa lawama wapewe wakoloni why do they partition land without consensus za wakazi wa hapo? Hii shida ilitokea hata kwa Kurds wanatangatanga. It's so sickening how colonialists wameharibu amani maeneo mengi sana kwa kutoangalia demographics kabla ya kufanya maamuzi.
 
Waarabu wawasaidie makazi waarabu wenzao maana wanateseka mno
 
Waarabu wawasaidie makazi waarabu wenzao maana wanateseka mno
Wao kwa wao wamefungiana mipaka wanajuana vizuri na ndio maana kiongozi wa falme za kiarabu anayaonya sana mataifa ya Ulaya wasipokee maharamia.
 
Wao kwa wao wamefungiana mipaka wanajuana vizuri na ndio maana kiongozi wa falme za kiarabu anayaonya sana mataifa ya Ulaya wasipokee maharamia.
Vipi ata iraq amefunga vioo? 😳😳😳
 
Vipi ata iraq amefunga vioo? 😳😳😳
Syria, Iraq, Afghanistan

Hizi nchi zina matatizo mazito hakukaliki, nchi za waarabu wenzao hawawataki, Ni mpaka waturuki wa ulaya hawawataki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…