Katika historia hakujawahi kuwa na himaya, falme wala tawala ya Palestina, hata taifa la Palestina la sasa ni kwa huruma ya Israel

Syria, Iraq, Afghanistan

Hizi nchi zina matatizo mazito hakukaliki, nchi za waarabu wenzao hawawataki, Ni mpaka waturuki wa ulaya hawawataki.
Mimi nina wazo,

Urusi ndiyo nchi inayoongoza kwa ukubwa duniani na ina maeneo mengi ya wazi raia hawaishi, licha ya kuwa na tamaa ya kuwanyang'anya wa Ukraine ardhi yao ila wana maeneo makubwa yanayoweza kuzalisha vinchi vidogo zaidi ya kumi na kubakia Urusi nyingine.

Ni muda sasa wa dunia kuliona hili na tugawane hii zawadi ya ardhi tuliyopewa bure.
 
Hawa watu hata ukiwapeleka mbinguni watauanzisha mtiti.Waarabu wenzao wamegoma kuwakaribisha wanawajua
 
Unakili kuwa wote ni wahamiaji ila unashangaa Israel kutaka kujimilikisha ilo eneo dhidi ya muhamiaji mwenzake anaetaka kumtoa hapo kwa hila at the same time unasapot upande muhamiaji mwingine ..hii ni ndiyo nini sasa?.


Kwanini usiwashangae hao waarabu wanaotaka kumtoa muhamiaji mwenzao ilhali wanamaeneo yao?.

Kwanini hao wahamiaji wenzake wasitosheke na maneno yao ya Jordan,Lebanon na Misri etc?

Mimi sijawai sikia Israel ikataka kuichukua misri, Lebanon ama Jordan, wao wanataka chao kile kile kidogo ambacho wao na wahamiaji wenzao walikipata wakati wanahamia hapo kwenye hayo maeneo.
Hawajawai taka chukua mali ya muhamiaji mwenzao, sasa katika hali hiyo shida inaanza wapi?.

". Walipokuwa wanauliwa na Hitler walikuwa ni Wayahudi ila walipo kuwa-organised kurudi mashariki ya kati wakawa ni Wayahudi fake."
HUU NI ZAID YA UNAFIKI
 
Kwa hiyo wapalestina waende wapi? Wafe tu?
nan kawafukuza ? mnaish nyumba moja ww unataka mwenzio aondoke au umuue , yeye kaona asikuue ila akutoe ndan ya nyumba mpk ukibadili mawazo , je hajakutendea wema?
 
Kwani kabla ya ujio wa Muingereza hapa kwenu kulikuwa na Tanganyika?
 
huelew na hutoelewa sababu dini imekutia uchizi , hakukuwa kuwepp na falme au tawala ya kipalestina , mataifa ya afrika mengi yameunda national identity baada ya uhuru , ni kituko kufananisha au kutumia km mf , Israel imewai kuwepp je Wafalastin wamewai kuwa na tawala hapo?
 
Hivi Goliathi alikuwa muisrael?
 
Kwani wakina Goliathi walikuwa wakaa wapi?
 
kwahiyo wa israel ndo waliotengeneza kitu kinaitwa palestine km ndio wal;iwatoa wapi hawa wapalestine waje kukaa pale
 
Wakuu tukubali kuwa Wapalestina Wana DNA za karibu sana na Waisrael,

Kanini wasijiite Waisrael?
Lini waligeuka kuwa waarabu badala ya Waisrael? Yaani kama DNA zao zipo karibu na Waisrael basi ilitarajiwa wajitambue kuwa Waisrael lakini imekuwa kinyume chake, why?

Ni lini waliachana na dini ya kiyahudi na kugeukia Uslamu? Kwanini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…