DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Sawa MkuuMfumo unaruhusu kuomba wewe kalili tangazo watu wanachangamkia fulsa.
Kaombe mfumo unaruhusuNakaa hapa na geography yangu
Kivumbi leoHGK
KULA CHUMA HIKO
Tuma maombi mkuu....hayo ya kipaumbele waachie wahusika.Nimesoma PDF ya Tamisemi nimeona watu wa arts wamepigwa k.O
Na K.T.O
Sasa hii imekaaje naona English ndo wamepewa nafasi tu.