chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Lissu ameanza kutoa milio.
Anasema bajeti ya wajumbe kulala, hizo hela wajumbe wasipewe, walipiwe hotel, Lissu anataka hata hela ya safari wajumbe wasipewe, wakodiwe magari, hela ya kula wasipewe, walipiwe kwa mama ntilie.
Yaani mjumbe hata kama ana ndugu yake asifikie huko ili kuokoa gharama walau arudi nyumbani na nguo za watoto na kanga ya mama yoyooo!? Hii ni roho mbaya kiasi gani kwa wajumbe hawa?
Anayasema hayo akiwa hajafikia lengo alilopewa na chama kukusanya milioni 30 kusaidia gharama za mkutano.
Hii ni dalili ya mwanzo tu kwamba chama kitapigwa ukata mkubwa endapo atakiongoza hata kwa wiki moja.
Kuna genge kubwa liko JF na Twitter linatuna kwamba liko naye, kwa nini hawachangi?
Anadhani chama kitaendeshwa kwa maneno tu na tuvifungu twake twa sheria?.
Ukiona vyaelea......