Wakati Nyerere anapigania uhuru kwenda UN alichangia kiasi gani kupata ticket kwenda NY?
Wakati kina Mbowe wanakaribia kufungwa March 2020 , zile milion 70 kwa ajili ya Mbowe alijichangia kutoka kwenye account zake binafsi kiasi gani?
Na katika zile Milioni 300 na zaidi Mbowe alijichangia kiasi gani kuwasaidia wenzake wasifungwe?