Katika jambo kubwa ninalojivunia, ni kutambua kuwa hakunaga UCHAWI

Naona mtoto ushashiba nyonyo ya mama unakuja kuandika ujinga hapa JF. Kama uchawi haupo kaa zako kimya usitake kila mtu aamini huo upuuzi.
 
Sijalewa mkuu ninajiamini tu kila siku.. Kama ni jinamizi tayari Lina jibu lake kwamba ni sleep paralysis.. Sasa tukio gani la ajabu laweza kutokea maishani tukasema uchawi au kufilisika?? Au kukosa wateja dukani yaani kipi Kwa mfano kitaje
Ila nna swali hapa,

Hii sleep paralysis kwanini haimtokei kila mtu ?

Na inayemtokea kwanini haimtokei siku zote au kila siku ? Naomba majibu ya kisayansi nahitaji kujifunza jambo hapa
 
Kama Uchawi haupo na shetani hayupo naasi kama shetani hayupo na Mungu hayupo. Kama Mungu yupo na shetani yupo kama shetani yupo na uchawi upo. Mungu ana nguvu kuliko sheitwani. Asiyeamini Mungu hayupo amelaaniwa.
 
Wamechelewa. Waonee huruma sana wanaendekeza uchawi na ushirikina
 
Ila unaamini kuna mungu wa Yakobo na IbrahimπŸ€”
 
Usijivunie,! Wewe upo upo tu, hujui kinachoendelea katika ulimwengu wa roho. Sana sana umefunikwa na huu utamaduni wa kizungu unaojulikana kama ukristu!
 
acha usenge ungejua watu wanavyohangaika na uchawi usingeongea upuzi kama huo.we mwenyewe unaonekana mchawi tu
 
acha usenge ungejua watu wanavyohangaika na uchawi usingeongea upuzi kama huo.we mwenyewe unaonekana mchawi tu
Ukiita wa kumi uwaulize wakutajie shida zao kubwa mbili wote watataja hela na afya njema.. Yaani means shida kubwa ya binadamu ni umaskini na maradhi... Kuhusu maradhi karibia yote yanatambuliwa visababishi vyake, dalili na tiba..
 
Usijivunie,! Wewe upo upo tu, hujui kinachoendelea katika ulimwengu wa roho. Sana sana umefunikwa na huu utamaduni wa kizungu unaojulikana kama ukristu!
Ukiita wa kumi uwaulize wakutajie shida zao kubwa mbili wote watataja hela na afya njema.. Yaani means shida kubwa ya binadamu ni umaskini na maradhi hakuna hata mmoja ambaye atakwambia anasumbuliwa na wachawi kwamba hataki hela ye anataka umuondelee wachawi kwenye maisha yake. ... Kuhusu maradhi karibia yote yanatambuliwa visababishi vyake, dalili na tiba..
 
Hahaha sababu wewe uliwaona live wakikuchezea singeli na kiduku...

Alafu wana style yao ya kucheza kama wale wa kanga moko...
Singeli πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!
Smart wee ni chizi ujue hahaha

Kanga moko ndo wanachezaje kwani ???

Naombapo mwongozo pulllllllliiiiiiiiizzzzz 😊!
 
Uchawi haupo? Nyie kenge kweli?

Angekuwepo Hayati Magufuli tungemwuliza kuhusu ule moshi ulipotokea alipokuwa ziarani kule mikoa ya Kusini.

Mnafikiri ule moshi ulitoka wapi? Kama ulikuwa Moshi wa kawaida, mnafikiri Vyombo vya usalama vingeruhusu mwanakijiji awashe moto jirani na alipo Mhe.Rais? Mna akili kweli?
 
Ukiita wa kumi uwaulize wakutajie shida zao kubwa mbili wote watataja hela na afya njema.. Yaani means shida kubwa ya binadamu ni umaskini na maradhi... Kuhusu maradhi karibia yote yanatambuliwa visababishi vyake, dalili na tiba..
umeongea kibusara ila siambao tumekumbana na uchawi hatuwezi kukuelewa.
 
Wewe hujitambui!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…