Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila nna swali hapa,Sijalewa mkuu ninajiamini tu kila siku.. Kama ni jinamizi tayari Lina jibu lake kwamba ni sleep paralysis.. Sasa tukio gani la ajabu laweza kutokea maishani tukasema uchawi au kufilisika?? Au kukosa wateja dukani yaani kipi Kwa mfano kitaje
Unamiaka mingapNiko lindi mkuu mtanda karibu na kwa mama Salma
Nawasikitia sana watu ambao wamebaki kuamini kwamba hapa duniani kuna kitu kinachoitwa uchawi na kinafanya kazi. aisee hakuna kitu kama hicho binadamu ni mnyama tu ana limit zake yako miujiza hawezi tu kufanya mfano kupotea na kwenda kutokea sehemu nyingine au eti kujibadilisha umbo..
kuamini uchawi ni ujinga naini uoga uliopitiliza mimi nimeshapita mazingira mengi sana tu kuanzia makaburini, mabaharini, misituni usiku Kwa usiku na sijawahi kuona badiliko lolote nikalihusisha na eti ni mbinu za kishetani. Maisha yapo tu the way yapo magonjwa yapo ya Kuua so hata Ukifa ghafla hujalogwa tunakupima tunajua ulikuwa na ugonjwa gani..
Zamani kweli mambo mengi yalikuwa hayajagunduliwa maswali yasiyo na majibu yalikuwa mengi.. Pressure, kisukari, kifafa na magonjwa ya akili haya kujulikana hivyo watu akili zao ilibidi ziishie kwenye kuamini uchawi kwamba Ukifa na ugonjwa wasioujua basi umelogwa..
Uchawi upo Kwa dhana kwamba una fanywa (Wana upractice Kwa mazoea yao ila hautendi lolote yaani huwezi ukawa tabora eti umuue mtu yupo dar (hakuna outcome yoyote).
Ndo maana mimi daima napenda mtu ninayefanya naye mijadala awe haamini hakuna uchawi nitamkubali sana nitaona kichwa chake kinaweza ku solve mysterious mbalimbali.. mbona simple tu MUNGU YUPO, UKICHAA UPO, MAARIFA YAPO, NGUVU ZIPO ILA UCHAWI HAUPO LABDA UCHAWA.mwingine unakuta eti kisa tu ana kidonda kilichokataa kupona basi wanaelekeza fikra kwamba ni cha kulogwa cha kichawi mbona ishu kama hiyo ni nyepesi kwamba akili yako haitaki kuamini kama kidonda hakiwezi tu kupona Kwa sababu nyingine za afya au mazingira Mpaka utuhumu uchawi?
Ila unaamini kuna mungu wa Yakobo na Ibrahim🤔Nawasikitia sana watu ambao wamebaki kuamini kwamba hapa duniani kuna kitu kinachoitwa uchawi na kinafanya kazi. aisee hakuna kitu kama hicho binadamu ni mnyama tu ana limit zake yako miujiza hawezi tu kufanya mfano kupotea na kwenda kutokea sehemu nyingine au eti kujibadilisha umbo..
kuamini uchawi ni ujinga naini uoga uliopitiliza mimi nimeshapita mazingira mengi sana tu kuanzia makaburini, mabaharini, misituni usiku Kwa usiku na sijawahi kuona badiliko lolote nikalihusisha na eti ni mbinu za kishetani. Maisha yapo tu the way yapo magonjwa yapo ya Kuua so hata Ukifa ghafla hujalogwa tunakupima tunajua ulikuwa na ugonjwa gani..
Zamani kweli mambo mengi yalikuwa hayajagunduliwa maswali yasiyo na majibu yalikuwa mengi.. Pressure, kisukari, kifafa na magonjwa ya akili haya kujulikana hivyo watu akili zao ilibidi ziishie kwenye kuamini uchawi kwamba Ukifa na ugonjwa wasioujua basi umelogwa..
Uchawi upo Kwa dhana kwamba una fanywa (Wana upractice Kwa mazoea yao ila hautendi lolote yaani huwezi ukawa tabora eti umuue mtu yupo dar (hakuna outcome yoyote).
Ndo maana mimi daima napenda mtu ninayefanya naye mijadala awe haamini hakuna uchawi nitamkubali sana nitaona kichwa chake kinaweza ku solve mysterious mbalimbali.. mbona simple tu MUNGU YUPO, UKICHAA UPO, MAARIFA YAPO, NGUVU ZIPO ILA UCHAWI HAUPO LABDA UCHAWA.mwingine unakuta eti kisa tu ana kidonda kilichokataa kupona basi wanaelekeza fikra kwamba ni cha kulogwa cha kichawi mbona ishu kama hiyo ni nyepesi kwamba akili yako haitaki kuamini kama kidonda hakiwezi tu kupona Kwa sababu nyingine za afya au mazingira Mpaka utuhumu uchawi?
Sawa Mh nimekuelewaMwache aseme watu wafunguliwe, wasije maliza watu kwa kuagizana viungo vyao
Ukiita wa kumi uwaulize wakutajie shida zao kubwa mbili wote watataja hela na afya njema.. Yaani means shida kubwa ya binadamu ni umaskini na maradhi... Kuhusu maradhi karibia yote yanatambuliwa visababishi vyake, dalili na tiba..acha usenge ungejua watu wanavyohangaika na uchawi usingeongea upuzi kama huo.we mwenyewe unaonekana mchawi tu
Ukiita wa kumi uwaulize wakutajie shida zao kubwa mbili wote watataja hela na afya njema.. Yaani means shida kubwa ya binadamu ni umaskini na maradhi hakuna hata mmoja ambaye atakwambia anasumbuliwa na wachawi kwamba hataki hela ye anataka umuondelee wachawi kwenye maisha yake. ... Kuhusu maradhi karibia yote yanatambuliwa visababishi vyake, dalili na tiba..Usijivunie,! Wewe upo upo tu, hujui kinachoendelea katika ulimwengu wa roho. Sana sana umefunikwa na huu utamaduni wa kizungu unaojulikana kama ukristu!
Una ushahidi?We hujui tu au umezaliwa sehemu nzuri
Singeli 😂😂😂😂!Hahaha sababu wewe uliwaona live wakikuchezea singeli na kiduku...
Alafu wana style yao ya kucheza kama wale wa kanga moko...
Unaamini viungo vya albino vinaweza kukusaidia kupata mafanikio kwa njia za kichawi?Usijivunie ujinga
umeongea kibusara ila siambao tumekumbana na uchawi hatuwezi kukuelewa.Ukiita wa kumi uwaulize wakutajie shida zao kubwa mbili wote watataja hela na afya njema.. Yaani means shida kubwa ya binadamu ni umaskini na maradhi... Kuhusu maradhi karibia yote yanatambuliwa visababishi vyake, dalili na tiba..
Wewe hujitambui!Nawasikitia sana watu ambao wamebaki kuamini kwamba hapa duniani kuna kitu kinachoitwa uchawi na kinafanya kazi. aisee hakuna kitu kama hicho binadamu ni mnyama tu ana limit zake yako miujiza hawezi tu kufanya mfano kupotea na kwenda kutokea sehemu nyingine au eti kujibadilisha umbo..
kuamini uchawi ni ujinga naini uoga uliopitiliza mimi nimeshapita mazingira mengi sana tu kuanzia makaburini, mabaharini, misituni usiku Kwa usiku na sijawahi kuona badiliko lolote nikalihusisha na eti ni mbinu za kishetani. Maisha yapo tu the way yapo magonjwa yapo ya Kuua so hata Ukifa ghafla hujalogwa tunakupima tunajua ulikuwa na ugonjwa gani..
Zamani kweli mambo mengi yalikuwa hayajagunduliwa maswali yasiyo na majibu yalikuwa mengi.. Pressure, kisukari, kifafa na magonjwa ya akili haya kujulikana hivyo watu akili zao ilibidi ziishie kwenye kuamini uchawi kwamba Ukifa na ugonjwa wasioujua basi umelogwa..
Uchawi upo Kwa dhana kwamba una fanywa (Wana upractice Kwa mazoea yao ila hautendi lolote yaani huwezi ukawa tabora eti umuue mtu yupo dar (hakuna outcome yoyote).
Ndo maana mimi daima napenda mtu ninayefanya naye mijadala awe haamini hakuna uchawi nitamkubali sana nitaona kichwa chake kinaweza ku solve mysterious mbalimbali.. mbona simple tu MUNGU YUPO, UKICHAA UPO, MAARIFA YAPO, NGUVU ZIPO ILA UCHAWI HAUPO LABDA UCHAWA.mwingine unakuta eti kisa tu ana kidonda kilichokataa kupona basi wanaelekeza fikra kwamba ni cha kulogwa cha kichawi mbona ishu kama hiyo ni nyepesi kwamba akili yako haitaki kuamini kama kidonda hakiwezi tu kupona Kwa sababu nyingine za afya au mazingira Mpaka utuhumu uchawi.
Ukiita wa kumi uwaulize wakutajie shida zao kubwa mbili wote watataja hela na afya njema.. Yaani means shida kubwa ya binadamu ni umaskini na maradhi hakuna hata mmoja ambaye atakwambia anasumbuliwa na wachawi kwamba hataki hela ye anataka umuondelee wachawi kwenye maisha yake. ... Kuhusu maradhi karibia yote yanatambuliwa visababishi vyake, dalili na tiba..