Katika jambo kubwa ninalojivunia, ni kutambua kuwa hakunaga UCHAWI

Katika jambo kubwa ninalojivunia, ni kutambua kuwa hakunaga UCHAWI

Nawasikitia sana watu ambao wamebaki kuamini kwamba hapa duniani kuna kitu kinachoitwa uchawi aisee hakuna kitu kama hicho binadamu mnyama tu ana limit zake kuamini uchawi ni ujinga ni uoga mimi nimeshapita mazingira mengi sana sijawahi kuona badiliko lolote nikalihusisha na eti mbinu za kishetani huo ni uongo. Maisha yapo tu the waya yapo magonjwa yapo ya Kuua so hata Ukifa ghafla hujalogwa tu nakupima tunajua ulikuwa na ugonjwa gani. Uchawi upo Kwa dhana kwamba una fanywa (Wana upractice ila hautendi(hakuna outcome yoyote). Yaani mimi daima napenda mtu ninayefanya naye mijadala awe haamini kama hakuna uchawi mbona simple tu MUNGU YUPO, UKICHAA UPO, MAARIFA YAPO, NGUVU ZIPO ILA UCHAWI HAUPO LABDA UCHAWA.
Hongera sana. Wewe ni Shujaa wa fikra. Katika jambo linarudisha nyuma maendeleo na ustawi wa jamii ni hizi fikra za kubebeshana hii Imani na kuishi kuwa na hofu miaka yote na kusababisha majanga kwenye jamii.

Nakuunga mkono, tafadhali nipeni ushirikiano natafuta watu jasiri ambao hawakujengwa kwenye hii fikra tuandae mijadala ya wazo tukomboe fikra za wengi.

Mimi mwenyewe siyo muumini wa hizi fikra haya sms tafadhali kwenye 0765345777 turatibu wengine twendeni kwenye ukombozi jamani. Nilianza huu mjadala juzi Instagram pia, yaani kumbe watu wanaweza kukombolewa. Ahsante Sana.

Nasubiri sms yako na ya yeyote anayependa tushirikiane tafadhali anitumie ujumbe nawaomba Sana sana mashujaa🙏🏽
 
Nawasikitia sana watu ambao wamebaki kuamini kwamba hapa duniani kuna kitu kinachoitwa uchawi aisee hakuna kitu kama hicho binadamu mnyama tu ana limit zake kuamini uchawi ni ujinga ni uoga mimi nimeshapita mazingira mengi sana sijawahi kuona badiliko lolote nikalihusisha na eti mbinu za kishetani huo ni uongo. Maisha yapo tu the waya yapo magonjwa yapo ya Kuua so hata Ukifa ghafla hujalogwa tu nakupima tunajua ulikuwa na ugonjwa gani. Uchawi upo Kwa dhana kwamba una fanywa (Wana upractice ila hautendi(hakuna outcome yoyote). Yaani mimi daima napenda mtu ninayefanya naye mijadala awe haamini kama hakuna uchawi mbona simple tu MUNGU YUPO, UKICHAA UPO, MAARIFA YAPO, NGUVU ZIPO ILA UCHAWI HAUPO LABDA UCHAWA.

Vitabu vitakatifu vimetaja uchawi zaidi ya mara 100 alafu wewe unapinga? Biblia inaweza kutaja kitu ambacho hakipo?
 
haupo hakuna mtu anaweza kupaa na ungo ni ujinga sana kuamini hivyo halafu na darasani umesoma physics na English na geograph sasa si ulisomeshwa ujue ukweli dhana potofu ziondoke
So bwana wewe unaona uchawi ni kupata na ungo tu
 
Usipoamini huo ujinga unakuwa na amani sana kichwani. Pia fikra zako zinafunguka. Zamani babu zetu "Wajinga" walikuwa wanaamini wazungu ni mabingwa wa uchawi wa karatasi. Ilikuwa inatokea mtu anapewa barua ampelekee mzungu, labda anatoka Dar anapeleka barua Dodoma. Ndani ya barua kunaeleza mambo yanavyoendelea huko Dar. Anapoifikisha ile barua na kumkabidhi mzungu wa Dodoma anashangaa yule mzungu anaanza kumuuliza kwa undani maswala ya Dar ambayo si rahisi kwa mtu wa Dodoma kuyafahamu. Mzee wetu anabaki kujiuliza huyu mzungu kajuaje haya mambo!!? Mwisho anafikia mkataa kuwa wazungu wanafanya uchawi wa karatasi.
 
Biblia iliyokujuza Mungu yupo inatambua uchawi upo . Wewe shukuru Mungu hujakutana na hilo jaribu sio kujitapa eti hakuna uchawi. Kitakuramba

Uchawi upo, tena kwasasa ni sehemu ya burudani unaitwa mazingaombwe na watoto wetu wanapata hiyo burudani mashuleni na mitaani.
 
haupo hakuna mtu anaweza kupaa na ungo ni ujinga sana kuamini hivyo halafu na darasani umesoma physics na English na geograph sasa si ulisomeshwa ujue ukweli dhana potofu ziondoke
Au sio Kwa taarifa yako hao waliokufundisha kwenye physics hiyo ndege ni maboresho kutokea kwenye ungo.

Unaonekana ndege John hujawahi kutembea mikoa tofaut njoo Tanga upigwe zongo. Au nenda kigoma kawaulize walimu wanaojifanya wanoko Kwa kuchapa Huwa kinawakuta Nini.
Bila shaka ushawahi kusikia watu wamepika pilau gafla kwenye sufulia wakakuta kinyesi au wamelala ndani wakajikuta wamelala nje uwanjani.

Kama upo dar safiri kidogo dar hakuna wachawi Kuna washirikina tu njoo Katavi Huku au nenda mtwara kaanzishe biashara mbele ya wenyeji bila kujipanga utafurahi
 
Hakuna uchawi ila Kuna ujanjaujanja au mazingaumbwe yanayofanywa na watu wenye uwezo wa kufanya au kuonesha mimi au wewe tutakachoshindwa kutambua katika Hali ya kawaida.

Uchawi ni jina tu ila haupo Dunia hii. au upo Kwa wajinga na wapumbavu tu kama waafrika
Unaelewa kweli unachokisema? Kafatilie mazingaombwe ni nini, yanafanyikaje, na yanahitaji vifaa gani kutekeleza.

Babu yangu alikuwa mwanamazingaombwe aliwahi kunambia ule ni uchawi na hatothubutu kumfundisha mwanae yeyote
 
haupo hakuna mtu anaweza kupaa na ungo ni ujinga sana kuamini hivyo halafu na darasani umesoma physics na English na geograph sasa si ulisomeshwa ujue ukweli dhana potofu ziondoke
Wale waliobadilisha fimbo kuwa nyoka wakati wa Musa na unaamini walifanya hivyo hujasoma physics na English? Unaweza kutusaidia walitumia njia zipi kuwafyatua hao nyoka?

Na usikute wewe uliyesoma physics unaamini ipo siku tutapaa kwenda mbinguni, unaamini Yesu alipaa kwenda minguni, unaamini njiwa alipaa kutoka mbinguni. Mbona hayo hujiulizi kisayansi yalifanyikaje.
 
Geno
Inabidi usithibitishe kwamba kuna watu wanatumia uongo kama usafiri. Kinyume na hapo hayo yatakuwa mawazo yako binafsi.
Ushawahi kuuona upepo? Oxygen je? Bila shaka unasikia tunavuta oxygen lakn hujawah kuishika kwamba ndio hii ila si unafaham kama wapo wanaoweza kuichukua na kuiweka had kwenye mtungi?

Narudia watu wanapaa na ungo na sio nadharia ni uhalisia.
 
Uchawi haupo ni short cut ya jamii za wajinga wasio na elimu hivyo mambo yao yasiyo na majawabu ya kisayansi huusingizia uchawi mfano sehemu zenye huduma duni za afya watakuambia ugonjwa hauonekani ila wanaona mtu anadhoofu ila hospital kaenda na hawajaona ugonjwa watasingizia uchawi kumbe wameenda zahanati mtu huyo ukimpeleka muhimbili au John Hopkins wataona ugonjwa na atatibiwa.
 
Nawasikitia sana watu ambao wamebaki kuamini kwamba hapa duniani kuna kitu kinachoitwa uchawi aisee hakuna kitu kama hicho binadamu mnyama tu ana limit zake kuamini uchawi ni ujinga ni uoga mimi nimeshapita mazingira mengi sana sijawahi kuona badiliko lolote nikalihusisha na eti mbinu za kishetani huo ni uongo. Maisha yapo tu the waya yapo magonjwa yapo ya Kuua so hata Ukifa ghafla hujalogwa tu nakupima tunajua ulikuwa na ugonjwa gani. Uchawi upo Kwa dhana kwamba una fanywa (Wana upractice ila hautendi(hakuna outcome yoyote). Yaani mimi daima napenda mtu ninayefanya naye mijadala awe haamini kama hakuna uchawi mbona simple tu MUNGU YUPO, UKICHAA UPO, MAARIFA YAPO, NGUVU ZIPO ILA UCHAWI HAUPO LABDA UCHAWA.

TAFUTA MAMBO YA MAANA YA KUJIVUNIA. HILO MBONA SIYO ISSUE?
 
Back
Top Bottom