Katika jambo kubwa ninalojivunia, ni kutambua kuwa hakunaga UCHAWI

Biblia na Quran zenyewe zinasema upo, na hata concept ya shetani, sub component ni uchawi na wachawi. Bahati mbaya wachawi wanalindwa na serikali wasiumbuliwe tangu enzi za witchcraft ordinace ya mkoloni
Nikueleweshe Tena uchawi upo Kwa maana ya kufanywa yaani matendo yake mfano

Kukamata mkia wa mnyama kuanza kuzunguka nao mbuyu ukiamini fulani kitatokea au kwenda njiapanda kuoga uchi n. K matendo hayo yanafanyika ila hautendi lolote kama ni hela utazipatia kwenye kazi utalipwa na sio eti uloge uende chumbani ukute mahela yamejaa
 
Generally speaking,
Mpaka leo Nina confusions juu ya baadhi ya vitu..

RAMLI Ni Nini ? Inafanyaje kazi ? MTU anaweza kukutazama na kumwambia your past, present, future.. Tena kwa usahihi bila kukosea..

Kuna siku tulikua mashambani porini mtoto wa shangazi angu akasema ANASIKIA HARUFU YA JINI Mimi nilim crash zaidi ya Mara tatu..

Tulikua tumeingia shambani kwa MTU bila idhini na tunajichumia majani ya SUNGURA gafla mzee akatokea tusijue alikotokea akauliza MMEOMBA tukajib hapana Akasema MNAJUA KWENYE HILI SHAMBA KUNA NINI? Baada ya kumbembeleza Sana mzee alisema TUPENI majani yoteee na msigeuke nyuma..

Hii dunia Ina mengi Sana yanayo onekana na yasiyo onekana na nawashangaa wote wanao jipa upofu kua hakuna uchawi it's just matter of time...

All in all,
Kama Kuna nguvu ya MUNGU Basi Kuna shetani pia ambae ndie mwovu na ibilisi mwalibifu wa hii dunia
 
Mimi kwenye uchawi nabaki na doubt either A or B
Naamini uchawi na uungu vinatofautishwa na msitari mwembamba sana

Spiritually unaweza ukaufikia Uungu (umungu) kutokana na usafi wa mwili na matendo yako

Vilevile unaweza kuwa mchawi kutokana na involvements zako kwenye upande wa pili

Psychology ukifanya jambo na kulirudia rudia kila siku unaweza likawa kweli kutoka kwenye imagination

Mfano mimi hapa nikianza kujiambia nataka nigundue dawa ya ukimwi then I practice it,naenda msituni kila siku nachimba mizizi nakuja kufanya majaribio kwa watu wenye HIV

Kila ninanaye mfanyia majaribio nampa jina la huo mti

Kutokana na imani yangu na involvements zangu lazima at last, results lazima iwe positive

Kwa sababu kwanza sub conscious itakuelekeza mti wa kuchimba dawa then katika wagonjwa wako unaowahudumia lazima kuna mmoja utamtilia maanani zaidi

Kwangu mimi uchawi ni kufanya yale mambo ambayo watu wakawaida hawawezi kufanya

Uungu hapa anaingia Yesu kristo ( kufanya yale mambo ambao binadamu hawezi kufanya)
 
Nawasikitia sana watu ambao wamebaki kuamini kwamba hapa duniani kuna kitu kinachoitwa uchawi na kinafanya kazi. aisee hakuna kitu kama hicho binadamu ni mnyama tu ana limit zake yako miujiza hawezi tu kufanya mfano kupotea na kwenda kutokea sehemu nyingine au eti kujibadilisha umbo..

kuamini uchawi ni ujinga naini uoga uliopitiliza mimi nimeshapita mazingira mengi sana tu kuanzia makaburini, mabaharini, misituni usiku Kwa usiku na sijawahi kuona badiliko lolote nikalihusisha na eti ni mbinu za kishetani. Maisha yapo tu the way yapo magonjwa yapo ya Kuua so hata Ukifa ghafla hujalogwa tunakupima tunajua ulikuwa na ugonjwa gani..

Zamani kweli mambo mengi yalikuwa hayajagunduliwa maswali yasiyo na majibu yalikuwa mengi.. Pressure, kisukari, kifafa na magonjwa ya akili haya kujulikana hivyo watu akili zao ilibidi ziishie kwenye kuamini uchawi kwamba Ukifa na ugonjwa wasioujua basi umelogwa..

Uchawi upo Kwa dhana kwamba una fanywa (Wana upractice Kwa mazoea yao ila hautendi lolote yaani huwezi ukawa tabora eti umuue mtu yupo dar (hakuna outcome yoyote).

Ndo maana mimi daima napenda mtu ninayefanya naye mijadala awe haamini hakuna uchawi nitamkubali sana nitaona kichwa chake kinaweza ku solve mysterious mbalimbali.. mbona simple tu MUNGU YUPO, UKICHAA UPO, MAARIFA YAPO, NGUVU ZIPO ILA UCHAWI HAUPO LABDA UCHAWA.mwingine unakuta eti kisa tu ana kidonda kilichokataa kupona basi wanaelekeza fikra kwamba ni cha kulogwa cha kichawi mbona ishu kama hiyo ni nyepesi kwamba akili yako haitaki kuamini kama kidonda hakiwezi tu kupona Kwa sababu nyingine za afya au mazingira Mpaka utuhumu uchawi?
Hongera mkuu. Jambo lolote lile linalohusisha imani haliko mbali na ujinga.(Namaanisha Imani na ujinga ni mapacha).

Nimejaribu kusoma comment za watu wanaosema uchawi unafanya kazi na si nadharia za watu wajinga ila bado sijang'amua chochote zaidi ya kuona wanaleta hadithi za watoto.
 
Kwanini wewe ndege JOHN Huwa unaanzisha thread ukilewa?
 
Generally speaking,
Mpaka leo Nina confusions juu ya baadhi ya vitu..

RAMLI Ni Nini ? Inafanyaje kazi ? MTU anaweza kukutazama na kumwambia your past, present, future.. Tena kwa usahihi bila kukosea..

Kuna siku tulikua mashambani porini mtoto wa shangazi angu akasema ANASIKIA HARUFU YA JINI Mimi nilim crash zaidi ya Mara tatu..

Tulikua tumeingia shambani kwa MTU bila idhini na tunajichumia majani ya SUNGURA gafla mzee akatokea tusijue alikotokea akauliza MMEOMBA tukajib hapana Akasema MNAJUA KWENYE HILI SHAMBA KUNA NINI? Baada ya kumbembeleza Sana mzee alisema TUPENI majani yoteee na msigeuke nyuma..

Hii dunia Ina mengi Sana yanayo onekana na yasiyo onekana na nawashangaa wote wanao jipa upofu kua hakuna uchawi it's just matter of time...

All in all,
Kama Kuna nguvu ya MUNGU Basi Kuna shetani pia ambae ndie mwovu na ibilisi mwalibifu wa hii dunia
Kwa hiyo hapo ushahidi wa kuonekana uchawi upo ni kitu gani? Je ni mzee kutokea msijue alikotokea au ni inayosemekana harufu ya jini? Au ni kitendo cha kuambiwa mtupe na muondoke bila kugeuka?
 
Kwanini wewe ndege JOHN Huwa unaanzisha thread ukilewa?
Sijalewa mkuu ninajiamini tu kila siku.. Kama ni jinamizi tayari Lina jibu lake kwamba ni sleep paralysis.. Sasa tukio gani la ajabu laweza kutokea maishani tukasema uchawi au kufilisika?? Au kukosa wateja dukani yaani kipi Kwa mfano kitaje
 
Hongera mkuu. Jambo lolote lile linalohusisha imani haliko mbali na ujinga.(Namaanisha Imani na ujinga ni mapacha).

Nimejaribu kusoma comment za watu wanaosema uchawi unafanya kazi na si nadharia za watu wajinga ila bado sijang'amua chochote zaidi ya kuona wanaleta hadithi za watoto.
Yaani wao eti Kwa sababu wanaonaga nazi njiapanda ndo wanasema uchawi upo wanasahau kwamba zimevunjwa na watu wajinga waliodanganywa na watu wajinga ila wajanja kidogo (waganga) wameendelea kufanya mazoea wakiamini yanatenda kazi so wataendelea tu kufanya masharti yoyote bila kuchoka
 
Ni mwaka wa nane namtafuta mtu wa kunifundisha uchawi na pia natamani nimpate mtu mchawi walau anipe ABC za vile anafanya Ila nimegonga mwamba .

Nimezunguka vijiji vingi hapa bongo Ila bado nimegonga mwamba zaidi naishia kutajiwa Fulani ni mchawi waweza kumface akusaidie nikienda kwa muhisika natimuliwa baru Kama mbuzi kwenye shamba la mahindi .

Finally naanza kuamini uchawi unaweza kuwepo au usiwepo lakini asilimia nyingi zinadondokea kwenye kutokuwepo .

Mkuu Mshana Jr wako kwa utiifu mkuu naomba Kama yawezekana nikutafute unifundishe hata njia za uchawi ili practical nikafanye mwenyewe maana nahitaji walau mada fikirishi Kama hizi zikija kwenye jamii au jamvini nisimame kuonesha umma kuwa uchawi upo na ni huu hapa .

Ahsante
 
UCHAWI UPO, SWALA LAKUUFANYA HUO UCHAWI AU MADHARA YAKE NI JAMBO LENGINE. KUSEMA HAUPO NI KUJIZIMA DATA.
 
Nawasikitia sana watu ambao wamebaki kuamini kwamba hapa duniani kuna kitu kinachoitwa uchawi na kinafanya kazi. aisee hakuna kitu kama hicho binadamu ni mnyama tu ana limit zake yako miujiza hawezi tu kufanya mfano kupotea na kwenda kutokea sehemu nyingine au eti kujibadilisha umbo..

kuamini uchawi ni ujinga naini uoga uliopitiliza mimi nimeshapita mazingira mengi sana tu kuanzia makaburini, mabaharini, misituni usiku Kwa usiku na sijawahi kuona badiliko lolote nikalihusisha na eti ni mbinu za kishetani. Maisha yapo tu the way yapo magonjwa yapo ya Kuua so hata Ukifa ghafla hujalogwa tunakupima tunajua ulikuwa na ugonjwa gani..

Zamani kweli mambo mengi yalikuwa hayajagunduliwa maswali yasiyo na majibu yalikuwa mengi.. Pressure, kisukari, kifafa na magonjwa ya akili haya kujulikana hivyo watu akili zao ilibidi ziishie kwenye kuamini uchawi kwamba Ukifa na ugonjwa wasioujua basi umelogwa..

Uchawi upo Kwa dhana kwamba una fanywa (Wana upractice Kwa mazoea yao ila hautendi lolote yaani huwezi ukawa tabora eti umuue mtu yupo dar (hakuna outcome yoyote).

Ndo maana mimi daima napenda mtu ninayefanya naye mijadala awe haamini hakuna uchawi nitamkubali sana nitaona kichwa chake kinaweza ku solve mysterious mbalimbali.. mbona simple tu MUNGU YUPO, UKICHAA UPO, MAARIFA YAPO, NGUVU ZIPO ILA UCHAWI HAUPO LABDA UCHAWA.mwingine unakuta eti kisa tu ana kidonda kilichokataa kupona basi wanaelekeza fikra kwamba ni cha kulogwa cha kichawi mbona ishu kama hiyo ni nyepesi kwamba akili yako haitaki kuamini kama kidonda hakiwezi tu kupona Kwa sababu nyingine za afya au mazingira

Ndo maana mimi daima napenda mtu ninayefanya naye mijadala awe haamini hakuna uchawi nitamkubali sana nitaona kichwa chake kinaweza ku solve mysterious mbalimbali.. mbona simple tu MUNGU YUPO, UKICHAA UPO, MAARIFA YAPO, NGUVU ZIPO ILA UCHAWI HAUPO LABDA UCHAWA.mwingine unakuta eti kisa tu ana kidonda kilichokataa kupona basi wanaelekeza fikra kwamba ni cha kulogwa cha kichawi mbona ishu kama hiyo ni nyepesi kwamba akili yako haitaki kuamini kama kidonda hakiwezi tu kupona Kwa sababu nyingine za afya au mazingira Mpaka utuhumu uchawi
Ulimwenguni Kuna nguvu mbili tuu zinazo fanya kazi hasi na chanya yaan ndiomaana tukiona mtu kafanya kitu hasi tunasema hii nguvu ni mbaya na inatokana na kitu tunachokiita (ushetani) ikitokea umefanya kitu chanya basi sisi tutatafsiri umefanya kwa uwezo wa (mungu)
Hii ndio sababu watu wanaoamini uwepo wa mungu wanahisi wakipitia mabaya wanafikili ni shetani kawapeleka kwenye mabaya hayo.
Pia uchawi uko hivohivo.
Ni nguvu kama nguvu zozote zile na ipo coz ni elimu ambayo haifundishwi na haiko wazi maana ata wale wanaojifunza huwa wanaitumia kufanya mabaya ndio maana watu ufikili uchawi ni mambo ya kishetani ila mim binafsi naamini uchawi upo. na upo katika pande zote kwenye mazuri na mabaya

ILA UCHAWI UPO BRO.
 
Nawasikitia sana watu ambao wamebaki kuamini kwamba hapa duniani kuna kitu kinachoitwa uchawi na kinafanya kazi. aisee hakuna kitu kama hicho binadamu ni mnyama tu ana limit zake yako miujiza hawezi tu kufanya mfano kupotea na kwenda kutokea sehemu nyingine au eti kujibadilisha umbo..

kuamini uchawi ni ujinga naini uoga uliopitiliza mimi nimeshapita mazingira mengi sana tu kuanzia makaburini, mabaharini, misituni usiku Kwa usiku na sijawahi kuona badiliko lolote nikalihusisha na eti ni mbinu za kishetani. Maisha yapo tu the way yapo magonjwa yapo ya Kuua so hata Ukifa ghafla hujalogwa tunakupima tunajua ulikuwa na ugonjwa gani..

Zamani kweli mambo mengi yalikuwa hayajagunduliwa maswali yasiyo na majibu yalikuwa mengi.. Pressure, kisukari, kifafa na magonjwa ya akili haya kujulikana hivyo watu akili zao ilibidi ziishie kwenye kuamini uchawi kwamba Ukifa na ugonjwa wasioujua basi umelogwa..

Uchawi upo Kwa dhana kwamba una fanywa (Wana upractice Kwa mazoea yao ila hautendi lolote yaani huwezi ukawa tabora eti umuue mtu yupo dar (hakuna outcome yoyote).

Ndo maana mimi daima napenda mtu ninayefanya naye mijadala awe haamini hakuna uchawi nitamkubali sana nitaona kichwa chake kinaweza ku solve mysterious mbalimbali.. mbona simple tu MUNGU YUPO, UKICHAA UPO, MAARIFA YAPO, NGUVU ZIPO ILA UCHAWI HAUPO LABDA UCHAWA.mwingine unakuta eti kisa tu ana kidonda kilichokataa kupona basi wanaelekeza fikra kwamba ni cha kulogwa cha kichawi mbona ishu kama hiyo ni nyepesi kwamba akili yako haitaki kuamini kama kidonda hakiwezi tu kupona Kwa sababu nyingine za afya au mazingira

Hongera sana. Wewe ni Shujaa wa fikra. Katika jambo linarudisha nyuma maendeleo na ustawi wa jamii ni hizi fikra za kubebeshana hii Imani na kuishi kuwa na hofu miaka yote na kusababisha majanga kwenye jamii.

Nakuunga mkono, tafadhali nipeni ushirikiano natafuta watu jasiri ambao hawakujengwa kwenye hii fikra tuandae mijadala ya wazo tukomboe fikra za wengi.

Mimi mwenyewe siyo muumini wa hizi fikra haya sms tafadhali kwenye 0765345777 turatibu wengine twendeni kwenye ukombozi jamani. Nilianza huu mjadala juzi Instagram pia, yaani kumbe watu wanaweza kukombolewa. Ahsante Sana.

Nasubiri sms yako na ya yeyote anayependa tushirikiane tafadhali anitumie ujumbe nawaomba Sana sana mashujaa🙏🏽

Ukweli nikwamba vichwa vya watu wengi wanamtazamo ambao hauko sawa kwenye hili.
Ulimwenguni Kuna nguvu mbili tuu zinazo fanya kazi hasi na chanya yaan ndiomaana tukiona mtu kafanya kitu hasi tunasema hii nguvu ni mbaya na inatokana na kitu tunachokiita (ushetani) ikitokea umefanya kitu chanya basi sisi tutatafsiri umefanya kwa uwezo wa (mungu)
Hii ndio sababu watu wanaoamini uwepo wa mungu wanahisi wakipitia mabaya wanafikili ni shetani kawapeleka kwenye mabaya hayo.
Pia uchawi uko hivohivo.
Ni nguvu kama nguvu zozote zile na ipo coz ni elimu ambayo haifundishwi na haiko wazi maana ata wale wanaojifunza huwa wanaitumia kufanya mabaya ndio maana watu ufikili uchawi ni mambo ya kishetani ila mim binafsi naamini uchawi upo. na upo katika pande zote kwenye mazuri na mabaya

ILA UCHAWI UPO BRO.
Nikisema nguvu hasi iko hivi.

Ikitokea Mtu A akamuibia kitu chochote mtu B
Basi mtu B atafikili mtu A anaongozwa na roho ya kishetani.

Vilevile mtu A aliyeiba ikitokea akachukua hicho kitu alichoiba na kumpa mtu C mwenye uhitaji.

Basi mtu C atafikili mtu B anaroho nzuri na huenda ana anaongozwa na roho wa mungu.

Je hapa unahisi mtu A anaongozwa na nguvu gani hasi au chanya.

Ukipatajibu utaelewa uchawi ukoje..
Na utanielewa kwamba Kila nguvu inaweza kutumika kufanya mazuri au mabaya.

UCHAWI = Elimu iliyofichwa maana ni hatari sana kama itaingia mikono ya mtu mwenye Nia mbaya sawa na umpe bunduki kichaa katikati ya soko.
 
Nawasikitia sana watu ambao wamebaki kuamini kwamba hapa duniani kuna kitu kinachoitwa uchawi na kinafanya kazi. aisee hakuna kitu kama hicho binadamu ni mnyama tu ana limit zake yako miujiza hawezi tu kufanya mfano kupotea na kwenda kutokea sehemu nyingine au eti kujibadilisha umbo..

kuamini uchawi ni ujinga naini uoga uliopitiliza mimi nimeshapita mazingira mengi sana tu kuanzia makaburini, mabaharini, misituni usiku Kwa usiku na sijawahi kuona badiliko lolote nikalihusisha na eti ni mbinu za kishetani. Maisha yapo tu the way yapo magonjwa yapo ya Kuua so hata Ukifa ghafla hujalogwa tunakupima tunajua ulikuwa na ugonjwa gani..

Zamani kweli mambo mengi yalikuwa hayajagunduliwa maswali yasiyo na majibu yalikuwa mengi.. Pressure, kisukari, kifafa na magonjwa ya akili haya kujulikana hivyo watu akili zao ilibidi ziishie kwenye kuamini uchawi kwamba Ukifa na ugonjwa wasioujua basi umelogwa..

Uchawi upo Kwa dhana kwamba una fanywa (Wana upractice Kwa mazoea yao ila hautendi lolote yaani huwezi ukawa tabora eti umuue mtu yupo dar (hakuna outcome yoyote).

Ndo maana mimi daima napenda mtu ninayefanya naye mijadala awe haamini hakuna uchawi nitamkubali sana nitaona kichwa chake kinaweza ku solve mysterious mbalimbali.. mbona simple tu MUNGU YUPO, UKICHAA UPO, MAARIFA YAPO, NGUVU ZIPO ILA UCHAWI HAUPO LABDA UCHAWA.mwingine unakuta eti kisa tu ana kidonda kilichokataa kupona basi wanaelekeza fikra kwamba ni cha kulogwa cha kichawi mbona ishu kama hiyo ni nyepesi kwamba akili yako haitaki kuamini kama kidonda hakiwezi tu kupona Kwa sababu nyingine za afya au mazingira Mpaka utuhumu uchawi?
Watu wote wasioamini uwepo wa uchawi... Kuna level fulani ya maturity hamjafikia(hamjakutana na changamoto ya uchawi) na hii inasabahbiswa na status yako au familia uliyotokea na mazingira unayoishi.

Of course natambua maswala ya sayansi, life hack and tricks na pathology na pia psychological problems, najua kua jamii hua inayachanganya pamoja na imani za kishirikina.

Niamini mimi hayo yote hayatoshi kuhitimisha kwamba uchawi haupo regardless na hayo yote uchawi pia unanafasi yake mkuu chukua hiyo.
 
Back
Top Bottom