Dkt. Gwajima D
Minister
- Nov 28, 2015
- 966
- 6,019
😀😀😀 Ukute amesoma huko huko na akafaulu na hakuona au kaoa au kutolewa huko huko kwenu na hakuonaWee jamaa ngoja nikuendee kwetu Malawi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😀 Ukute amesoma huko huko na akafaulu na hakuona au kaoa au kutolewa huko huko kwenu na hakuonaWee jamaa ngoja nikuendee kwetu Malawi
😂😂😂😀Wewe sasa unatuchekesha tu
Ili ukatae hakuna uchawi itabidi pia ukatae hakuna Mungu .Nawasikitia sana watu ambao wamebaki kuamini kwamba hapa duniani kuna kitu kinachoitwa uchawi na kinafanya kazi. aisee hakuna kitu kama hicho binadamu ni mnyama tu ana limit zake yako miujiza hawezi tu kufanya mfano kupotea na kwenda kutokea sehemu nyingine au eti kujibadilisha umbo..
kuamini uchawi ni ujinga naini uoga uliopitiliza mimi nimeshapita mazingira mengi sana tu kuanzia makaburini, mabaharini, misituni usiku Kwa usiku na sijawahi kuona badiliko lolote nikalihusisha na eti ni mbinu za kishetani. Maisha yapo tu the way yapo magonjwa yapo ya Kuua so hata Ukifa ghafla hujalogwa tunakupima tunajua ulikuwa na ugonjwa gani..
Zamani kweli mambo mengi yalikuwa hayajagunduliwa maswali yasiyo na majibu yalikuwa mengi.. Pressure, kisukari, kifafa na magonjwa ya akili haya kujulikana hivyo watu akili zao ilibidi ziishie kwenye kuamini uchawi kwamba Ukifa na ugonjwa wasioujua basi umelogwa..
Uchawi upo Kwa dhana kwamba una fanywa (Wana upractice Kwa mazoea yao ila hautendi lolote yaani huwezi ukawa tabora eti umuue mtu yupo dar (hakuna outcome yoyote).
Ndo maana mimi daima napenda mtu ninayefanya naye mijadala awe haamini hakuna uchawi nitamkubali sana nitaona kichwa chake kinaweza ku solve mysterious mbalimbali.. mbona simple tu MUNGU YUPO, UKICHAA UPO, MAARIFA YAPO, NGUVU ZIPO ILA UCHAWI HAUPO LABDA UCHAWA.mwingine unakuta eti kisa tu ana kidonda kilichokataa kupona basi wanaelekeza fikra kwamba ni cha kulogwa cha kichawi mbona ishu kama hiyo ni nyepesi kwamba akili yako haitaki kuamini kama kidonda hakiwezi tu kupona Kwa sababu nyingine za afya au mazingira Mpaka utuhumu uchawi?
Una amini Yesu alitembea juu ya maji?haupo hakuna mtu anaweza kupaa na ungo ni ujinga sana kuamini hivyo halafu na darasani umesoma physics na English na geograph sasa si ulisomeshwa ujue ukweli dhana potofu ziondoke
NdegeNikueleweshe Tena uchawi upo Kwa maana ya kufanywa yaani matendo yake
Una maanisha nini kusema hautendi lolote?matendo hayo yanafanyika ila hautendi lolote kama ni hela utazipatia kwenye kazi utalipwa na sio eti uloge uende chumbani ukute mahela yamejaa
Madam boss kumbe na wewe una fikra safi kiasi hiki , wengi wamejengwa kwenye fikra duni za kuamini hizi habari za uchawi miaka nenda rudi bila kujitambua wanaamini kitu ambacho hakipo, hongera sana Madam👏👏Hongera sana. Wewe ni Shujaa wa fikra. Katika jambo linarudisha nyuma maendeleo na ustawi wa jamii ni hizi fikra za kubebeshana hii Imani na kuishi kuwa na hofu miaka yote na kusababisha majanga kwenye jamii.
Nakuunga mkono, tafadhali nipeni ushirikiano natafuta watu jasiri ambao hawakujengwa kwenye hii fikra tuandae mijadala ya wazo tukomboe fikra za wengi.
Mimi mwenyewe siyo muumini wa hizi fikra haya sms tafadhali kwenye 0765345777 turatibu wengine twendeni kwenye ukombozi jamani. Nilianza huu mjadala juzi Instagram pia, yaani kumbe watu wanaweza kukombolewa. Ahsante Sana.
Nasubiri sms yako na ya yeyote anayependa tushirikiane tafadhali anitumie ujumbe nawaomba Sana sana mashujaa🙏🏽
Ni kweli SEMA wengi hatupendi kujielimisha.Kasome Machapisho ya Dr. Fr. David Clement Fumbuka, Padri Mzungu aliyefanya extensive research kuhusu jamii ya Wasukuma na mwanzilishi wa Sukuma Museum pale Bujora, Mwanza. Ndo utajua wewe na Fr.Clement nani anaujua ukweli wa haya mambo.
Hizo ni story tu hazina ukweli wowote , japo zinamafundisho ndani yake.Wale waliobadilisha fimbo kuwa nyoka wakati wa Musa na unaamini walifanya hivyo hujasoma physics na English? Unaweza kutusaidia walitumia njia zipi kuwafyatua hao nyoka?
Na usikute wewe uliyesoma physics unaamini ipo siku tutapaa kwenda mbinguni, unaamini Yesu alipaa kwenda minguni, unaamini njiwa alipaa kutoka mbinguni. Mbona hayo hujiulizi kisayansi yalifanyikaje.
Mkuu hayo ni mambo ya kawaida tu ambayo hata mimi ninayo ila hayana uhusiano na uchawi , wala hizo hadithi za Mungu na shetani ,ni kawaida tu sema labda elimu yake ndio hauna ndio maana ukaamua kuya overrateGenerally speaking,
Mpaka leo Nina confusions juu ya baadhi ya vitu..
RAMLI Ni Nini ? Inafanyaje kazi ? MTU anaweza kukutazama na kumwambia your past, present, future.. Tena kwa usahihi bila kukosea..
Kuna siku tulikua mashambani porini mtoto wa shangazi angu akasema ANASIKIA HARUFU YA JINI Mimi nilim crash zaidi ya Mara tatu..
Tulikua tumeingia shambani kwa MTU bila idhini na tunajichumia majani ya SUNGURA gafla mzee akatokea tusijue alikotokea akauliza MMEOMBA tukajib hapana Akasema MNAJUA KWENYE HILI SHAMBA KUNA NINI? Baada ya kumbembeleza Sana mzee alisema TUPENI majani yoteee na msigeuke nyuma..
Hii dunia Ina mengi Sana yanayo onekana na yasiyo onekana na nawashangaa wote wanao jipa upofu kua hakuna uchawi it's just matter of time...
All in all,
Kama Kuna nguvu ya MUNGU Basi Kuna shetani pia ambae ndie mwovu na ibilisi mwalibifu wa hii dunia
Mama unalijua ZONGO?Hongera sana. Wewe ni Shujaa wa fikra. Katika jambo linarudisha nyuma maendeleo na ustawi wa jamii ni hizi fikra za kubebeshana hii Imani na kuishi kuwa na hofu miaka yote na kusababisha majanga kwenye jamii.
Nakuunga mkono, tafadhali nipeni ushirikiano natafuta watu jasiri ambao hawakujengwa kwenye hii fikra tuandae mijadala ya wazo tukomboe fikra za wengi.
Mimi mwenyewe siyo muumini wa hizi fikra haya sms tafadhali kwenye 0765345777 turatibu wengine twendeni kwenye ukombozi jamani. Nilianza huu mjadala juzi Instagram pia, yaani kumbe watu wanaweza kukombolewa. Ahsante Sana.
Nasubiri sms yako na ya yeyote anayependa tushirikiane tafadhali anitumie ujumbe nawaomba Sana sana mashujaa🙏🏽
Huu ni ushuhuda wakeIliwahi kukutokea hiyo?
Kaka Mshana Jr unaitwa uku.Nawasikitia sana watu ambao wamebaki kuamini kwamba hapa duniani kuna kitu kinachoitwa uchawi na kinafanya kazi. aisee hakuna kitu kama hicho binadamu ni mnyama tu ana limit zake yako miujiza hawezi tu kufanya mfano kupotea na kwenda kutokea sehemu nyingine au eti kujibadilisha umbo..
kuamini uchawi ni ujinga naini uoga uliopitiliza mimi nimeshapita mazingira mengi sana tu kuanzia makaburini, mabaharini, misituni usiku Kwa usiku na sijawahi kuona badiliko lolote nikalihusisha na eti ni mbinu za kishetani. Maisha yapo tu the way yapo magonjwa yapo ya Kuua so hata Ukifa ghafla hujalogwa tunakupima tunajua ulikuwa na ugonjwa gani..
Zamani kweli mambo mengi yalikuwa hayajagunduliwa maswali yasiyo na majibu yalikuwa mengi.. Pressure, kisukari, kifafa na magonjwa ya akili haya kujulikana hivyo watu akili zao ilibidi ziishie kwenye kuamini uchawi kwamba Ukifa na ugonjwa wasioujua basi umelogwa..
Uchawi upo Kwa dhana kwamba una fanywa (Wana upractice Kwa mazoea yao ila hautendi lolote yaani huwezi ukawa tabora eti umuue mtu yupo dar (hakuna outcome yoyote).
Ndo maana mimi daima napenda mtu ninayefanya naye mijadala awe haamini hakuna uchawi nitamkubali sana nitaona kichwa chake kinaweza ku solve mysterious mbalimbali.. mbona simple tu MUNGU YUPO, UKICHAA UPO, MAARIFA YAPO, NGUVU ZIPO ILA UCHAWI HAUPO LABDA UCHAWA.mwingine unakuta eti kisa tu ana kidonda kilichokataa kupona basi wanaelekeza fikra kwamba ni cha kulogwa cha kichawi mbona ishu kama hiyo ni nyepesi kwamba akili yako haitaki kuamini kama kidonda hakiwezi tu kupona Kwa sababu nyingine za afya au mazingira Mpaka utuhumu uchawi?
Mtoa mada unapajua Handeni Kwamsisi,Sumbawanga na Gamboshi-Bariadi?Nawasikitia sana watu ambao wamebaki kuamini kwamba hapa duniani kuna kitu kinachoitwa uchawi na kinafanya kazi. aisee hakuna kitu kama hicho binadamu ni mnyama tu ana limit zake yako miujiza hawezi tu kufanya mfano kupotea na kwenda kutokea sehemu nyingine au eti kujibadilisha umbo..
kuamini uchawi ni ujinga naini uoga uliopitiliza mimi nimeshapita mazingira mengi sana tu kuanzia makaburini, mabaharini, misituni usiku Kwa usiku na sijawahi kuona badiliko lolote nikalihusisha na eti ni mbinu za kishetani. Maisha yapo tu the way yapo magonjwa yapo ya Kuua so hata Ukifa ghafla hujalogwa tunakupima tunajua ulikuwa na ugonjwa gani..
Zamani kweli mambo mengi yalikuwa hayajagunduliwa maswali yasiyo na majibu yalikuwa mengi.. Pressure, kisukari, kifafa na magonjwa ya akili haya kujulikana hivyo watu akili zao ilibidi ziishie kwenye kuamini uchawi kwamba Ukifa na ugonjwa wasioujua basi umelogwa..
Uchawi upo Kwa dhana kwamba una fanywa (Wana upractice Kwa mazoea yao ila hautendi lolote yaani huwezi ukawa tabora eti umuue mtu yupo dar (hakuna outcome yoyote).
Ndo maana mimi daima napenda mtu ninayefanya naye mijadala awe haamini hakuna uchawi nitamkubali sana nitaona kichwa chake kinaweza ku solve mysterious mbalimbali.. mbona simple tu MUNGU YUPO, UKICHAA UPO, MAARIFA YAPO, NGUVU ZIPO ILA UCHAWI HAUPO LABDA UCHAWA.mwingine unakuta eti kisa tu ana kidonda kilichokataa kupona basi wanaelekeza fikra kwamba ni cha kulogwa cha kichawi mbona ishu kama hiyo ni nyepesi kwamba akili yako haitaki kuamini kama kidonda hakiwezi tu kupona Kwa sababu nyingine za afya au mazingira Mpaka utuhumu uchawi?
Hakuna kitu kama hicho , umeongea hivyo as if magu hakuna aliye fika hawana cha uchawi wala nini sema wana imani zisizo na mashiko yoyote.Nenda Kijiji Mahaha, Wilaya ya Magu, mkoani Mwanza ukawaambie hivyo hadharani uone kitakachokupata.
Sitosahau miaka fulani ya nyuma aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Magu, tulipoamka asubuhi na kumkuta amelazwa kwenye uwanja wa Sabasaba, jirani na uwanja wa mpira wa Mwanankanda.
Mheshimiwa Dkt Gwajima.Kutokuwa muumini namaanisha kwamba fikra hizo hazinitawali tena
Mkuu hayo ni mambo ya kawaida tu ambayo hata mimi ninayo ila hayana uhusiano na uchawi , wala hizo hadithi za Mungu na shetani ,ni kawaida tu sema labda elimu yake ndio hauna ndio maana ukaamua kuya overrate
Kwa kweli nawashukuru wazazi wangu na Walezi wangu na babu wa babu zangu na bibi wa bibi zangu kwa kuwa hii ajenda haikuwa kabisa sehemu ya ukoo wetu si kwa baba si kwa mama.Madam boss kumbe na wewe una fikra safi kiasi hiki , wengi wamejengwa kwenye fikra duni za kuamini hizi habari za uchawi miaka nenda rudi bila kujitambua wanaamini kitu ambacho hakipo, hongera sana Madam👏👏