Katika jambo kubwa ninalojivunia, ni kutambua kuwa hakunaga UCHAWI

Nawasikitia sana watu ambao wamebaki kuamini kwamba hapa duniani kuna kitu kinachoitwa uchawi na kinafanya kazi. aisee hakuna kitu kama hicho binadamu ni mnyama tu ana limit zake yako miujiza hawezi tu kufanya mfano kupotea na kwenda kutokea sehemu nyingine au eti kujibadilisha umbo..

kuamini uchawi ni ujinga naini uoga uliopitiliza mimi nimeshapita mazingira mengi sana tu kuanzia makaburini, mabaharini, misituni usiku Kwa usiku na sijawahi kuona badiliko lolote nikalihusisha na eti ni mbinu za kishetani. Maisha yapo tu the way yapo magonjwa yapo ya Kuua so hata Ukifa ghafla hujalogwa tunakupima tunajua ulikuwa na ugonjwa gani..

Zamani kweli mambo mengi yalikuwa hayajagunduliwa maswali yasiyo na majibu yalikuwa mengi.. Pressure, kisukari, kifafa na magonjwa ya akili haya kujulikana hivyo watu akili zao ilibidi ziishie kwenye kuamini uchawi kwamba Ukifa na ugonjwa wasioujua basi umelogwa..

Uchawi upo Kwa dhana kwamba una fanywa (Wana upractice Kwa mazoea yao ila hautendi lolote yaani huwezi ukawa tabora eti umuue mtu yupo dar (hakuna outcome yoyote).

Ndo maana mimi daima napenda mtu ninayefanya naye mijadala awe haamini hakuna uchawi nitamkubali sana nitaona kichwa chake kinaweza ku solve mysterious mbalimbali.. mbona simple tu MUNGU YUPO, UKICHAA UPO, MAARIFA YAPO, NGUVU ZIPO ILA UCHAWI HAUPO LABDA UCHAWA.mwingine unakuta eti kisa tu ana kidonda kilichokataa kupona basi wanaelekeza fikra kwamba ni cha kulogwa cha kichawi mbona ishu kama hiyo ni nyepesi kwamba akili yako haitaki kuamini kama kidonda hakiwezi tu kupona Kwa sababu nyingine za afya au mazingira Mpaka utuhumu uchawi?
Kama unaamini MUNGU yupo inatosha, ila uchawi upo.
Kama ambavyo kuna Elimu ya Mungu duniani, elimu ya uchawi ipo mpaka ngazi ya degree kabisa sio kitu cha kufikirika tena 😅
 
Siziungi mkono Imani za kishirikina na matendo ya ushirikina kwa ujumla Ila uchawi kwa maana ya ""SORCERER"" upo kwenye jamii na una exit kabisa........

Uchawi izi real

Screenshot_20240623-152026.png

Screenshot_20240623-152003.png

Screenshot_20240623-151837.png

Picha ya vifaa Ni kwa msaada wa mtandao.
 
Mheshimiwa Dkt Gwajima.

Kutokuwa Muumini fikra kutokukutawala halimaanishi kwamba jambo hilo Halipo katika muktadha wa Dini.

Kama mimi si muumini kwamba kwenye Bendera ya Tanzania 🇹🇿 hakuna Rangi nyeusi haiondoi uhalisia kwamba rangi nyeusi haipo.

Kukubaliana Na Mungu ni kukubaliana na uwepo wa shetani moja kwa moja.

Unafikiri ni njia ipi sahihi ya kuendelea kuifundisha jamii kutokana na athari za kuwepo kwa imani za kishirikina?
Swali zuri Sana.

Tuifundishe jamii kwa shuhuda jinsi gani tumepambana na maisha hadi hapa tulipo pasipo kuingiza hofu ya fikra za ushirikina. Kwamba hatujawi tumia bidhaa yoyote ya ushirikina kwa Sababu yoyote ile. Halafu na wengine waseme walikutana nao wapi huo ushirikina Ili tuwasikilize tuwape mawazo mbadala. Maandiko yapo ila sasa mimi nasemea uhalisia, siwezi semea jambo katika Kona kwamba limeandikwa, waliondika wao waliliishi, mimi sijapewa neema ya kuliishi, nimepewa neema ingine, siwezi kulazimisha. Maana silioni wala sijakutana nalo na mapambano ya maisha yanaendelea sambamba na mafanikio bila hizi mambo mambo....
 
Siziungi mkono Imani za kishirikina na matendo ya ushirikina kwa ujumla Ila uchawi kwa maana ya ""SORCERER"" upo kwenye jamii na una exit kabisa........

Uchawi izi real

View attachment 3023908
View attachment 3023909
View attachment 3023910

Picha ya vifaa Ni kwa msaada wa mtandao.
Safi Sana. Hizi ni bidhaa tu za matumizi ya kawaida kabisa mfano, vibuyu hivi vipo watu wanawekea maziwa ya ng'ombe huko ukweni kwangu usukumani mbona vyombo tu hivi ni mapambo tu, na hata kwetu iramba singida mbona hivi vibuyu tunachuma shambani .... 😀😀😀 Kwa hiyo ukiona hizi show ndiyo unasema uchawi huu..... Mwe
Ila nimecheka Sana... 😀 Eti picha kwa msaada wa mtandao
 
Kama unaamini MUNGU yupo inatosha, ila uchawi upo.
Kama ambavyo kuna Elimu ya Mungu duniani, elimu ya uchawi ipo mpaka ngazi ya degree kabisa sio kitu cha kufikirika tena 😅
Ila haihusiani na maendeleo yoyote ni klabu tu za watu. Tufanye kazi tuendelee tuache kumaliza watu kwa kuagiza viungo halafu wakishikwa wakaenda Polisi ni kilio tu kuanzia mwagizaji hadi mpelekaji. Ndiyo nini sasa kama siyo ujinga kwa herufi kubwa
 
Nawasikitia sana watu ambao wamebaki kuamini kwamba hapa duniani kuna kitu kinachoitwa uchawi na kinafanya kazi. aisee hakuna kitu kama hicho binadamu ni mnyama tu ana limit zake yako miujiza hawezi tu kufanya mfano kupotea na kwenda kutokea sehemu nyingine au eti kujibadilisha umbo..

kuamini uchawi ni ujinga naini uoga uliopitiliza mimi nimeshapita mazingira mengi sana tu kuanzia makaburini, mabaharini, misituni usiku Kwa usiku na sijawahi kuona badiliko lolote nikalihusisha na eti ni mbinu za kishetani. Maisha yapo tu the way yapo magonjwa yapo ya Kuua so hata Ukifa ghafla hujalogwa tunakupima tunajua ulikuwa na ugonjwa gani..

Zamani kweli mambo mengi yalikuwa hayajagunduliwa maswali yasiyo na majibu yalikuwa mengi.. Pressure, kisukari, kifafa na magonjwa ya akili haya kujulikana hivyo watu akili zao ilibidi ziishie kwenye kuamini uchawi kwamba Ukifa na ugonjwa wasioujua basi umelogwa..

Uchawi upo Kwa dhana kwamba una fanywa (Wana upractice Kwa mazoea yao ila hautendi lolote yaani huwezi ukawa tabora eti umuue mtu yupo dar (hakuna outcome yoyote).

Ndo maana mimi daima napenda mtu ninayefanya naye mijadala awe haamini hakuna uchawi nitamkubali sana nitaona kichwa chake kinaweza ku solve mysterious mbalimbali.. mbona simple tu MUNGU YUPO, UKICHAA UPO, MAARIFA YAPO, NGUVU ZIPO ILA UCHAWI HAUPO LABDA UCHAWA.mwingine unakuta eti kisa tu ana kidonda kilichokataa kupona basi wanaelekeza fikra kwamba ni cha kulogwa cha kichawi mbona ishu kama hiyo ni nyepesi kwamba akili yako haitaki kuamini kama kidonda hakiwezi tu kupona Kwa sababu nyingine za afya au mazingira Mpaka utuhumu uchawi?
Najua huamini uchawi na pia ni dhana ya imani nikuombe jambo tunaomba vitu vitatu tu bas
1: majina ya mama yako mzazi
2: majina yako matatu
3: naomba na picha yako
Baada ya siku 3 uje na bandikoblingine hapa
 
Mjinga mmoja huyu,ukikaa simiyu mwezi tu utaelewa
😀😀😀😀😀 Mimi nimeshakaa huko hakuna lolote jamani tuache Simiyu wafanye maendeleo yao ya haki hizi zingine hadith tu. Hata sasa wako vijana wasomi wanakaa Simiyu wanatumia fursa za maendeleo wanatoka ukiwauliza vipi hizi Hadith wanabaki wanakushangaa kuuliza swali iwapo uko sawa au umeamka na za jana😀
 
Nawasikitia sana watu ambao wamebaki kuamini kwamba hapa duniani kuna kitu kinachoitwa uchawi na kinafanya kazi. aisee hakuna kitu kama hicho binadamu ni mnyama tu ana limit zake yako miujiza hawezi tu kufanya mfano kupotea na kwenda kutokea sehemu nyingine au eti kujibadilisha umbo..

kuamini uchawi ni ujinga naini uoga uliopitiliza mimi nimeshapita mazingira mengi sana tu kuanzia makaburini, mabaharini, misituni usiku Kwa usiku na sijawahi kuona badiliko lolote nikalihusisha na eti ni mbinu za kishetani. Maisha yapo tu the way yapo magonjwa yapo ya Kuua so hata Ukifa ghafla hujalogwa tunakupima tunajua ulikuwa na ugonjwa gani..

Zamani kweli mambo mengi yalikuwa hayajagunduliwa maswali yasiyo na majibu yalikuwa mengi.. Pressure, kisukari, kifafa na magonjwa ya akili haya kujulikana hivyo watu akili zao ilibidi ziishie kwenye kuamini uchawi kwamba Ukifa na ugonjwa wasioujua basi umelogwa..

Uchawi upo Kwa dhana kwamba una fanywa (Wana upractice Kwa mazoea yao ila hautendi lolote yaani huwezi ukawa tabora eti umuue mtu yupo dar (hakuna outcome yoyote).

Ndo maana mimi daima napenda mtu ninayefanya naye mijadala awe haamini hakuna uchawi nitamkubali sana nitaona kichwa chake kinaweza ku solve mysterious mbalimbali.. mbona simple tu MUNGU YUPO, UKICHAA UPO, MAARIFA YAPO, NGUVU ZIPO ILA UCHAWI HAUPO LABDA UCHAWA.mwingine unakuta eti kisa tu ana kidonda kilichokataa kupona basi wanaelekeza fikra kwamba ni cha kulogwa cha kichawi mbona ishu kama hiyo ni nyepesi kwamba akili yako haitaki kuamini kama kidonda hakiwezi tu kupona Kwa sababu nyingine za afya au mazingira Mpaka utuhumu uchawi?
Ukishiba makande lolote linalokujia unaongea tu😂😂
 
Hata mimi nasisitiza neno UCHAWI lifutwe kwenye dikishenare aka kamusi.
 
Mheshimiwa Dkt. Gwajima

Unaposema wewe si Muumini wa hizi Imani Una maanisha nini

Kama unasema wewe si muumini wa kuamini kwamba ushirikina haupo basi vilevile wewe ni muumini usiyeamini Mungu yupo.

Ndiyo maana yako mheshimiwa?
Serikali haiamini uchawi mkuu.
 
Swali zuri Sana.

Tuifundishe jamii kwa shuhuda jinsi gani tumepambana na maisha hadi hapa tulipo pasipo kuingiza hofu ya fikra za ushirikina. Kwamba hatujawi tumia bidhaa yoyote ya ushirikina kwa Sababu yoyote ile. Halafu na wengine waseme walikutana nao wapi huo ushirikina Ili tuwasikilize tuwape mawazo mbadala. Maandiko yapo ila sasa mimi nasemea uhalisia, siwezi semea jambo katika Kona kwamba limeandikwa, waliondika wao waliliishi, mimi sijapewa neema ya kuliishi, nimepewa neema ingine, siwezi kulazimisha. Maana silioni wala sijakutana nalo na mapambano ya maisha yanaendelea sambamba na mafanikio bila hizi mambo mambo....
Mheshimiwa,
Kuishi Tanzania na kuijua Tanzania hakumanishi Zambia haipo, maana yangu ni kwamba kutokupitia hali hiyo hakufanyi uchawi usiwepo.
Binafsi sishabikii uchawi wala ushirikina wa aina yeyote na wala haunipi hofu katika kufanya mambo yangu ila haimanishi haupo, maana hata kifo kipo lakini haimanishi niache kupambana kuishi vizuri.

Kuna elimu ya uchawi ngazi ya degree kabisa sio mambo ya kufikirika.

Elimu bora sio kuficha uchawi kwamba haupo ni kuhakikisha watu wanafanya mambo yao bila hofu ya uchawi na kutojiingiza huko kuharibu maendeleo na mambo chanya katika jamii.

Nimewasilisha.
 
Hata mimi nasisitiza neno UCHAWI lifutwe kwenye dikishenare aka kamusi.
Jamii ikielimika ikaamua inawezakana tu. Na elimu siyo ile tu ya darasani Bali elimu ya fikra za kuangalia mambo kwa dimensions sita na zaidi siyo moja tu.

Kule Instagram kuna shuhuda ya mama mmoja aliyekaa na uvimbe tumboni kilo kama tisa na zaidi akisubiri kujifungua mtoto miaka 27 akiambiwa kafanyiwa ushirikina, mwisho wa siku kaenda hospitali ina mtaalamu mzuri kaambiwa liuvimbe tu kama mauvimbe mengine yoyote. Anajuta kukaririshwa dhana potofu
 
Mkuu leo usiku nipo nawewe,, naamini kesho utakuja na uzi mpyaaaaa😎🤏🏾🤼‍♀️😌 wabishi kama nyie ndo tunawataka.
 
When rational fails we turn to spirituality...., In short ni kutafuta majibu rahisi kwa mambo usiyoyajua na tungeendelea kwa mwendelezo huo huenda leo tungekuwa tunaamini Kupatwa kwa Jua (Eclipse) Ni ghadhabu za Muumba
 
Back
Top Bottom