Dkt. Gwajima D
Minister
- Nov 28, 2015
- 966
- 6,019
Kweli haiamini kwa sababu hauthibitiki ni Hadith Hadith tu. Ila ukikutwa unatia tia hofu watu huko kuna Sheria yake utakula miakaSerikali haiamini uchawi mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli haiamini kwa sababu hauthibitiki ni Hadith Hadith tu. Ila ukikutwa unatia tia hofu watu huko kuna Sheria yake utakula miakaSerikali haiamini uchawi mkuu.
😀😀😀😀😀 Habari za mchana. Nije na Hadith uzeeni huku heee, wewe ndiyo utakuja na hadith sasa maana hapa mume wangu Advocate Gwajima anasema huyo anasemaje eti?Mkuu leo usiku nipo nawewe,, naamini kesho utakuja na uzi mpyaaaaa😎🤏🏾🤼♀️😌 wabishi kama nyie ndo tunawataka.
Mkuu,kwa hiyo duniani hakuna uchawi,siyo?Tupige vigelegele kama wanyamwezi kwenye maswezi mkuu.🤣🤣Jamii ikielimika ikaamua inawezakana tu. Na elimu siyo ile tu ya darasani Bali elimu ya fikra za kuangalia mambo kwa dimensions sita na zaidi siyo moja tu.
Kule Instagram kuna shuhuda ya mama mmoja aliyekaa na uvimbe tumboni kilo kama tisa na zaidi akisubiri kujifungua mtoto miaka 27 akiambiwa kafanyiwa ushirikina, mwisho wa siku kaenda hospitali ina mtaalamu mzuri kaambiwa liuvimbe tu kama mauvimbe mengine yoyote. Anajuta kukaririshwa dhana potofu
Hapo sasaWhen rational fails we turn to spirituality...., In short ni kutafuta majibu rahisi kwa mambo usiyoyajua na tungeendelea kwa mwendelezo huo huenda leo tungekuwa tunaamini Kupatwa kwa Jua (Eclipse) Ni ghadhabu za Muumba
Iwe club au elimu ila ni ya wachawi. LENGO langu sio kushabikia uchawi. Hayo mengine uko sahihi. Mambo hasi kwenye jamii ni mengi ni lazima tuyashinde ikiwemo na uchawi ili kuwe na jamii yenye maendeleo chanya.Ila haihusiani na maendeleo yoyote ni klabu tu za watu. Tufanye kazi tuendelee tuache kumaliza watu kwa kuagiza viungo halafu wakishikwa wakaenda Polisi ni kilio tu kuanzia mwagizaji hadi mpelekaji. Ndiyo nini sasa kama siyo ujinga kwa herufi kubwa
😂 Salama mheshimiwa😀😀😀😀😀 Habari za mchana. Nije na Hadith uzeeni huku heee, wewe ndiyo utakuja na hadith sasa maana hapa mume wangu Advocate Gwajima anasema huyo anasemaje eti?
Wewe nisikilize mimi pambana na maisha kwa kazi tu haya mengine sikiliza pita hivi, utapoteza muda wako mwisho utatumwa viungo vya watu halafu tutakushika na aliyekutuma atakimbia ubaki peke yako au tutawashika wote mje Polisi mnalilia tu mara ohhh mke wangu watoto wangu mume wangu ... Hovyo hovyo tuMkuu,kwa hiyo duniani hakuna uchawi,siyo?Tupige vigelegele kama wanyamwezi kwenye maswezi mkuu.🤣🤣
Thibitisha.UCHAWI UPO KAKA, ILA NI WA KUUPUZIA
Aliyevuka miaka 50 naye mtoto?😀Utoto bado unakusumbua, ukikua utaijua dunia.
😀😀😀😀😀 Jibu la wakatiThibitisha.
MkuuWewe nisikilize mimi pambana na maisha kwa kazi tu haya mengine sikiliza pita hivi, utapoteza muda wako mwisho utatumwa viungo vya watu halafu tutakushika na aliyekutuma atakimbia ubaki peke yako au tutawashika wote mje Polisi mnalilia tu mara ohhh mke wangu watoto wangu mume wangu ... Hovyo hovyo tu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Atakusomea vifungu vya sheria miaka 200😂 Salama mheshimiwa
Nitampeleka tu shamba,,huku niliko ni msimu wa mavuno, naamini uchovu atakao amka nao kesho,ataleta ushuhuda.
😆ila nimemtania tu.
MkuuWewe nisikilize mimi pambana na maisha kwa kazi tu haya mengine sikiliza pita hivi, utapoteza muda wako mwisho utatumwa viungo vya watu halafu tutakushika na aliyekutuma atakimbia ubaki peke yako au tutawashika wote mje Polisi mnalilia tu mara ohhh mke wangu watoto wangu mume wangu ... Hovyo hovyo tu
Niambie wapi nije supervision na vyombo vya habari unielezee vizuri ujibu na maswali yangu🤣Mkuu
Ushawahi weka pesa kwenye kibubu zaidi ya mwaka, na kupasua unakuta 5000 uliyoweka siku ya nyuma!?
Anaweza akawa amevuka miaka 50 lakini bado kiakili akawa mtoto.Aliyevuka miaka 50 naye mtoto?😀
Jambo jema muheshimiwa. Itakua aibu sana.Wewe nisikilize mimi pambana na maisha kwa kazi tu haya mengine sikiliza pita hivi, utapoteza muda wako mwisho utatumwa viungo vya watu halafu tutakushika na aliyekutuma atakimbia ubaki peke yako au tutawashika wote mje Polisi mnalilia tu mara ohhh mke wangu watoto wangu mume wangu ... Hovyo hovyo
😂kama ni sheria ya serikali,haiamini uchawi🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Atakusomea vifungu vya sheria miaka 200