Katika jambo la ovyo na la aibu amefanya mwenyekiti wa CCM ni kumteua Makonda kuwa Katibu Mwenezi wa CCM

Hicho cheo jamaa anapita tu ndugu utakufa kwa makasiriko we lia na Mungu wa Israel akupiganie upate maisha yako, japo waisrael wanapigana wenyewe. Akiteuliwa cheo alichoandaliwa sijui utasemaje tena.
 
Sagilo mbona unakata mauno kwa kelele za chumba cha jilani?, utaumiza kichwa chako bure,acha majilani wafanye yao,na wewe fanya ysko. Utakuwa mpumbavu kuanza kukata mauno kwa kelele za chumba cha jilani.
 
Tumeshaanza kuyaona,ni kubwata tu,Samia asubiri aibu yake.
 
maskiniiii....
inakutesaeeee, poleeh
kijana anakimbiza mbaya sanaee...
mwakani usijisahau kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi serikali za mitaa......
 
Makonda hafai kupewa nafasi hiyo, Samia atavuna alichopanda muda si mrefu.
 
Nachokiona ni kwamba huyu mwamba anakwenda kuivuruga CCM vibaya zaidi ya ilivyo sasa, tatizo huyu mwamba huwa hana mipaka ya kazi yake na project zake karibia zote huwa zinafeli.
 
Tena sana
 
Ipo siku damu ya Ben Sanane atailipia.

Waulizeni viongozi wenu wa chama (CDM) wamefanya juhudi gani kuhusu ndugu Ben
Wakikupa jibu linaloeleweka uje sasa na haya
Madai yako ambayo hawana evidence yoyote.
Hamtaki kuwajibika mnataka public sympathy,
That shit now is over. Msimpangie katibu cha
Kufanya job description anayo na responsibilities
and duties plus boundaries anajua wewe mwenzangu na mimi tafuta daily bread.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…