Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Kimsingi, CHADEMA kama chama cha siasa nchini, kina kanda 10 za kiutawala.
Na kanda zote 10 zina viongozi waandamizi ambao wamechaguliwa awamu hii katika uchaguzi ambao ulianza mapema 2023 na utahitishwa rasmi na uchaguzi ngazi ya Taifa Jan.22,2025.
Viongozi karibu wa kanda zote 10 waliochaguliwa hivi karibuni na viongozi mikoa na wilaya kadhaa nchini, waliweka wazi misimamo yao dhidi ya nani ambaye wanamuunga mkono kwenye nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA Taifa2025-2030.
Kama mdau wa siasa na demokrasia, na kwa kutumia hisabati ya siasa, unadhani Tundu Antipas Lissu anaweza kupata kuungwa mkono kutoka kwa wajumbe wa mktano mkuu wa CHADEMA Taifa, kutoka katika kanda zipi? Mikoa na wilaya zipi haswa hata awe Mwenyekiti wa chadema Taifa?
Na vipi kuhusu Freeman Aikaeli Mbowe, kwa kutumia sayansi ya siasa, anaweza kujizolea kura nyingi zaidi za kishindo kutoka kanda zipi za kiutawala, mikoa ipi na wilaya zipi humu nchini?
Mungu Ibariki Tanzania