Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mtu anaropoka ati fulani amepewa au kupokea rushwa,BaDo sijaona unafiki hapo. Mwulize Wenje ndiye mhusika wa hayo ambaye mnamtuma kufanya hujuma kwa kiongozi mwenzake

Katika mkoa wa Singida anaotoka Lissu,Mbowe anakura za uhakika zisizopungua 19.Hata katibu wake jimbo la Singida mashariki,anamuunga mkono Mbowe.Kimsingi, CHADEMA kama chama cha siasa nchini, kina kanda 10 za kiutawala.
Na kanda zote 10 zina viongozi waandamizi ambao wamechaguliwa awamu hii katika uchaguzi ambao ulianza mapema 2023 na utahitishwa rasmi na uchaguzi ngazi ya Taifa Jan.22,2025.
Viongozi karibu wa kanda zote 10 waliochaguliwa hivi karibuni na viongozi mikoa na wilaya kadhaa nchini, waliweka wazi misimamo yao dhidi ya nani ambaye wanamuunga mkono kwenye nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA Taifa2025-2030.
Kama mdau wa siasa na demokrasia, na kwa kutumia hisabati ya siasa, unadhani Tundu Antipas Lissu anaweza kupata kuungwa mkono kutoka kwa wajumbe wa mktano mkuu wa CHADEMA Taifa, kutoka katika kanda zipi? Mikoa na wilaya zipi haswa hata awe Mwenyekiti wa chadema Taifa?
Na vipi kuhusu Freeman Aikaeli Mbowe, kwa kutumia sayansi ya siasa, anaweza kujizolea kura nyingi zaidi za kishindo kutoka kanda zipi za kiutawala, mikoa ipi na wilaya zipi humu nchini?
Mungu Ibariki Tanzania
Lissu anafaa kuhamasisha umma tu,sio kuwa chairman wa Chadema.mtu anaropoka ati fulani amepewa au kupokea rushwa,
anaulizwa atoe ushahidi, ana mbwelambwela tu,
unafiki ulioambatana na tamaa na usaliti ni kitu cha hovyo sana aise dah!![]()
Lissu kanda ya kati anakura chache sana, sababu kubwa ni ubahili na kudhani kutoa misaada kwa Wajumbe ni rushwa.Gentleman,
hivi kanda ya kati sio mojawapo za stronghold za Lisu kweli? halafu si ndiko anakotokea![]()
Wakati Fulani kwenye Sayansi ya Siasa ...utabiri,Unabii na masuala Unayoita ya kiroho ni halisi na yanafanya kazi!naona umefafanua kijumla vizuri sana katika aya ya kwanza, kwamba nafasi ya muungwana kushinda ni finyu mno, ni kama vile ngamia kupita katika tundu la sindano,
hata hivyo,
ufafanuzi wa ziada ulioutoa ni wa kinadharia zaidi, na pengine kinabii au kiroho zaidi, amboa kwa wasio amini Mungu wataona hauna athari zozote za moja kwa moja kisiasa kwenye uchaguzi huo na kwa Taifa kwa ujumla![]()
Leo ya chadema yanaakuuma sana?mtu anaropoka ati fulani amepewa au kupokea rushwa,
anaulizwa atoe ushahidi, ana mbwelambwela tu,
unafiki ulioambatana na tamaa na usaliti ni kitu cha hovyo sana aise dah!![]()
Atasema, ah..Unaweweseka, wapiga kura tupo.
We unafahamu mi ni mjumbe kutoka kanda ipi?
Imani ya kwamba utashinda na hutafuti kura na wala huna kura ni sawa na ushirikina tu gentleman,Wakati Fulani kwenye Sayansi ya Siasa ...utabiri,Unabii na masuala Unayoita ya kiroho ni halisi na yanafanya kazi!
siasa ni kuhipanga aise,Mbowe alishajaza watu wake lisu amekuja kushtuka kumekucha tayar kanda ya kat anawaza akaambulia kitu
kura za wazi mbowe atabunduliwa kitini asubuhi tu na lissu kuwa mwenyekiti mpyawajumbe watalewa vip gentleaman, na kura zinapigwa hadharani?![]()