Katika Kanda 10 za CHADEMA, Lissu anaweza kuambulia kura kutoka maeneo gani?

Katika Kanda 10 za CHADEMA, Lissu anaweza kuambulia kura kutoka maeneo gani?

Mbowe alihakikisha kuanzia ngazi za chini anaweka loyalists wake hadi ngazi ya Kanda. Lissu alikuja kushtuka ngazi ya kanda tena akiwa amechelewa. Ndio maana amebakiza wapiga kura wa mitandaoni ambao sio miongoni mwa wapiga kura 1200. Mbowe na watu wake wengi hawahangaiki mitandaoni kwasababu "hesabu" wanazijua.

Na itakuwa ajabu sana kama Lissu atabaki Chadema, maana kuna kuondoka aidha kwa aibu ya kushindwa vibaya au kutoamini kuwa alikuwa anaungwa mkono na watu sio huku wanachadema hawana habari naye au kufukuzwa na chama kwa misconduct.

Nimekaa pale nasubiria tarehe 21/1/2025!
hapo kwenye mahesabu kwakweli Lisu amefeli pakubwa, na kwakweli hafanyi mahesabu ya kisiasa kabisa,
lakini pia kwenye misconduct naona inakwenda kumuondoa mapema zaidi hata kabla ya uchaguzi, kwasababu tayari malengo yake yameshajulikana hususan akishindwa uchaguzi huo.

nadhani watamuengua mapema zaidi hivi karibuni samabamba na ntobi:pulpTRAVOLTA:
 
Kati ya hizo kanda kumi Lissu hatoboi hata moja.

Kanda ya ziwa pekee kura zitagawanyika 50 50 sababu ya Heche na Wenje.
 
Kimsingi, CHADEMA kama chama cha siasa nchini, kina kanda 10 za kiutawala.

Na kanda zote 10 zina viongozi waandamizi ambao wamechaguliwa awamu hii katika uchaguzi ambao ulianza mapema 2023 na utahitishwa rasmi na uchaguzi ngazi ya Taifa Jan.22,2025.

Viongozi karibu wa kanda zote 10 waliochaguliwa hivi karibuni na viongozi mikoa na wilaya kadhaa nchini, waliweka wazi misimamo yao dhidi ya nani ambaye wanamuunga mkono kwenye nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA Taifa2025-2030.

Kama mdau wa siasa na demokrasia, na kwa kutumia hisabati ya siasa, unadhani Tundu Antipas Lissu anaweza kupata kuungwa mkono kutoka kwa wajumbe wa mktano mkuu wa CHADEMA Taifa, kutoka katika kanda zipi? Mikoa na wilaya zipi haswa hata awe Mwenyekiti wa chadema Taifa?

Na vipi kuhusu Freeman Aikaeli Mbowe, kwa kutumia sayansi ya siasa, anaweza kujizolea kura nyingi zaidi za kishindo kutoka kanda zipi za kiutawala, mikoa ipi na wilaya zipi humu nchini?

Mungu Ibariki Tanzania
Leo umeongea kisomi sio kipropaganda kama ulivyozoeleka.
 
hapo kwenye mahesabu kwakweli Lisu amefeli pakubwa, na kwakweli hafanyi mahesabu ya kisiasa kabisa,
lakini pia kwenye misconduct naona inakwenda kumuondoa mapema zaidi hata kabla ya uchaguzi, kwasababu tayari malengo yake yameshajulikana hususan akishindwa uchaguzi huo.

nadhani watamuengua mapema zaidi hivi karibuni samabamba na ntobi:pulpTRAVOLTA:
Na hiyo ya kumuengua ndio itakuwa nzuri zaidi.
 
Unamuuliza nani?
Mbona unaweweseka sana dogo?
Gentleman, relax bas bila makasiriko?

mi nauliza wadau wa heshima wa wabobevu waandamizi wa siasa humu jukwaani JF:pedroP:
 
Ccm wamefungwa mwaka huu wako mbele kuipigania chadema, kesho mtawateka na kuwafungulia kesi. Mimi nakuletea maneno yako tu ujue kwamba umnafiki na mzandiki wa utafiti huo.
 
Attachments

  • Screenshot_20241218_213757.jpg
    Screenshot_20241218_213757.jpg
    195.1 KB · Views: 3
Sumu aionjwi, CDM kama wanataka kukiua chama chao basi wampe Lissu.

Hana diplomatic language kabisa kwenye ukosoaji wake wa siasa za ndani ya chama.

Kwa kauli anazotoa sio mtu wa kujenga morale pale ambapo nguvu ya wengi inahitajika kama kiongozi.

He is just not leadership material ni ropo-ropo tu.
 
Unaweweseka, wapiga kura tupo.
We unafahamu mi ni mjumbe kutoka kanda ipi?
wewe inafaa uvuliwe uongozi na uanachama wa chadema mara moja!

utapigiwa simu ktk muda usiokua mrefu, uende ofisi za chadema katika kata yako ukachukea barua yako rasmi ya kuvulia uongozi na uanachama wa chama..

viongozi wako wanajiridhisha kuhusu taarifa na mienendo yako isiyofaa na iliyo kinyume na katiba ya chama chako, sawaa?:pedroP:
 
Kimsingi, CHADEMA kama chama cha siasa nchini, kina kanda 10 za kiutawala.

Na kanda zote 10 zina viongozi waandamizi ambao wamechaguliwa awamu hii katika uchaguzi ambao ulianza mapema 2023 na utahitishwa rasmi na uchaguzi ngazi ya Taifa Jan.22,2025.

Viongozi karibu wa kanda zote 10 waliochaguliwa hivi karibuni na viongozi mikoa na wilaya kadhaa nchini, waliweka wazi misimamo yao dhidi ya nani ambaye wanamuunga mkono kwenye nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA Taifa2025-2030.

Kama mdau wa siasa na demokrasia, na kwa kutumia hisabati ya siasa, unadhani Tundu Antipas Lissu anaweza kupata kuungwa mkono kutoka kwa wajumbe wa mktano mkuu wa CHADEMA Taifa, kutoka katika kanda zipi? Mikoa na wilaya zipi haswa hata awe Mwenyekiti wa chadema Taifa?

Na vipi kuhusu Freeman Aikaeli Mbowe, kwa kutumia sayansi ya siasa, anaweza kujizolea kura nyingi zaidi za kishindo kutoka kanda zipi za kiutawala, mikoa ipi na wilaya zipi humu nchini?

Mungu Ibariki Tanzania
Mwamba ameshaweka250 million unadhani itakuwaje hapo.!!
 
Mtoa mada katika hali ya kawaida ni kiongozi gani wa wilaya unafkiri hataki ruzuku kwa ajili ya kukijenga chama??
 
Ccm wamefungwa mwaka huu wako mbele kuipigania chadema, kesho mtawateka na kuwafungulia kesi. Mimi nakuletea maneno yako tu ujue kwamba umnafiki na mzandiki wa utafiti huo.
ni nadhani muhimu zaidi ukawaletea wadau wa JF, yale ambayo watu wanakubaliana kwenye vikao vya ndani ya chama kwa siri kama viongozo, halafu baada ya muda mfupi moja wao anropaka ropoka nje ya vikao,

huo ni usaliti au kutafuta kiki na utovu wa nidhamu gentleman?:pedroP:
 
Gentleman, mimi ni msomi, mkufunzi, mwanasiasa, mwanadiplomasia, apostle, mkulima, mfugaji, kiongozi wa wananchi na mfanyibiashara,

lakini hayo yote si muhimu sana,
jambo la maana zaidi, ni wewe kwenda moja kwa moja kwenye hoja ya msingii:pedroP:
Sisi CCM kazi kweli kweli ... Ndo maana yule bwege anasema Lissu hafai kuwa sababu ni mkweli sana. Kiongozi hapaswi kuwa mkweli sana. nadhani wewe Tlaaaa unafaa kuwa kiongozi sasa. Hapa nimeona ulivyo na sifa
 
Gentleman, mimi ni msomi, mkufunzi, mwanasiasa, mwanadiplomasia, apostle, mkulima, mfugaji, kiongozi wa wananchi na mfanyibiashara,

lakini hayo yote si muhimu sana,
jambo la maana zaidi, ni wewe kwenda moja kwa moja kwenye hoja ya msingii:pedroP:
Kanda kuna kura chache kuliko kwenye mikoa husika inayounda kanda mfano kanda ya nyasa mkoa wa mbeya peke yake inawapiga kura 27 bado mikoa mingine inayounda kanda hii ngoma ipo kama Pyramid Kadri inavyoshuka chini ndio kuna wapiga kura wengi wa mkutano mkuu
 
Back
Top Bottom