Katika Kanda 10 za CHADEMA, Lissu anaweza kuambulia kura kutoka maeneo gani?

Katika Kanda 10 za CHADEMA, Lissu anaweza kuambulia kura kutoka maeneo gani?

Mbowe alihakikisha kuanzia ngazi za chini anaweka loyalists wake hadi ngazi ya Kanda. Lissu alikuja kushtuka ngazi ya kanda tena akiwa amechelewa. Ndio maana amebakiza wapiga kura wa mitandaoni ambao sio miongoni mwa wapiga kura 1200. Mbowe na watu wake wengi hawahangaiki mitandaoni kwasababu "hesabu" wanazijua.

Na itakuwa ajabu sana kama Lissu atabaki Chadema, maana kuna kuondoka aidha kwa aibu ya kushindwa vibaya au kutoamini kuwa alikuwa anaungwa mkono na watu sio huku wanachadema hawana habari naye au kufukuzwa na chama kwa misconduct.

Nimekaa pale nasubiria tarehe 21/1/2025!
Utaaibika.
LISSU ndiye mwenyekiti mpya wa CHADEMA.
 
Viongozi karibu wa kanda zote 10
Kanda haina kura nyingi hizo kanda 10 ni kura kama 30 tu ila kura zipo majimboni na wilayani.

Kanda ya nyasa, Victoria, pwani, na serengeti zimeshajitambua kama kanda za Lissu. Huko kuna majimbo na wilaya za kutosha. Kama ataweza consolidate kura za wajumbr walau 70% kwenye kanda tajwa basi uwezo wa kushinda ni mkubwa.

Mind you Mbowe ana assurance ya walau 40% ya kura za wajumbe wote kabla ya kura kupigwa so inahitaji stronghold za lissu turnout iwe kubwa na wote kupiga kura kama Block. Otherwise Mbowe anaweza shinda with a slim margin

Changamoto naiona zanzibar na pemba maana majimbo ni kama 50 means kuna kura zaidi ya 150 kwa eneo lisilo na impact kwa chadema. Maadam zanzibar wanapenda utawala kamili na Lissu ameshajitambulisha hivyo, anaweza pata kura nyingi huko au akakosa kabisa if at all hao wajumbe nao wakaside na Mbowe coz ya uhusiano wake na Samia
 
Kama mbowe amewalevya kwa mvinyo wake, wajumbe watampigia tu kura ili waendelee kulewa huo mvinyo
 
Ungekuwa unajielewa na humuogopi Mbowe na nguvu zake ungejitangaza kwa jina lako halisi! Unatumia jina bandia halafu unajifanya mwamba? PUMBAVU!!
Mjinga ni wewe unayeweweseka, mliozoea kushibisha matumbo kupitia mbowe na ruzuku za chama.
Awamu hii madalali wa siasa hamtoboi
 
kwahiyo ikiwa ni hivyo,
ni kanda zipi sasa Tundu Lisu kibaraka wa mabwenyenye ya magaharibi anaweza kuambulia chochote?:pulpTRAVOLTA:
Kibaraka wa ccm alishakataliwa na wanachama wenye akili.
Kabakiza chawa wake kutoka ccm tu
 
Kimsingi, CHADEMA kama chama cha siasa nchini, kina kanda 10 za kiutawala.

Na kanda zote 10 zina viongozi waandamizi ambao wamechaguliwa awamu hii katika uchaguzi ambao ulianza mapema 2023 na utahitishwa rasmi na uchaguzi ngazi ya Taifa Jan.22,2025.

Viongozi karibu wa kanda zote 10 waliochaguliwa hivi karibuni na viongozi mikoa na wilaya kadhaa nchini, waliweka wazi misimamo yao dhidi ya nani ambaye wanamuunga mkono kwenye nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA Taifa2025-2030.

Kama mdau wa siasa na demokrasia, na kwa kutumia hisabati ya siasa, unadhani Tundu Antipas Lissu anaweza kupata kuungwa mkono kutoka kwa wajumbe wa mktano mkuu wa CHADEMA Taifa, kutoka katika kanda zipi? Mikoa na wilaya zipi haswa hata awe Mwenyekiti wa chadema Taifa?

Na vipi kuhusu Freeman Aikaeli Mbowe, kwa kutumia sayansi ya siasa, anaweza kujizolea kura nyingi zaidi za kishindo kutoka kanda zipi za kiutawala, mikoa ipi na wilaya zipi humu nchini?

Mungu Ibariki Tanzania
Pwani,Nyasa,kaskazini,kusini,kanda ya Magharibi,Kanda ya victoria,kanda ya kati na serengeti
 
Wewe Baki na CCM yako subiri Makamu Mwenyekiti asimikwe bila kugombea. Unadhani wenyeviti wa Kanda walivyojipeleka Kwa Mbowe walikuwa wanawakilisha mawazo ya wapiga Kura au mawazo yao? Mbona tunaona waziwazi wapiga Kura wanaita waandishi na kutoa misomamo tofauti? Jana Mbeya na Rukwa wamekuja na msimamo tofauti na Sugu, juzi Iringa nao wako tofauti, tumewasikia Arusha wanaongea tofauti na Mwenyekiti wao. Kuwa Mwenyekiti usidhani unaongoza mpaka akili na utashi wa unaowangoza.
Huwa tunawaambia wabunge wa CCM wanaokwenda Bungeni kuwasilisha mawazo yao huku wananchi wakiwa na hoja tofauti kiama chao kinakuja.
Kamanda mm sio CCM ntake radhi!
 
ni nadhani muhimu zaidi ukawaletea wadau wa JF, yale ambayo watu wanakubaliana kwenye vikao vya ndani ya chama kwa siri kama viongozo, halafu baada ya muda mfupi moja wao anropaka ropoka nje ya vikao,

huo ni usaliti au kutafuta kiki na utovu wa nidhamu gentleman?:pedroP:
Ukiona mwanaccm yupo mbele kumtetea mtu wa upinzani jua kwamba hilo ni bomu kwa upinzani. Upunguze unafiki.
Screenshot_20241218_213742.jpg
 
Ukiona mwanaccm yupo mbele kumtetea mtu wa upinzani jua kwamba hilo ni bomu kwa upinzani. Upunguze unafiki.View attachment 3196579
gentleaman,
mnafiki ni yule tu ambae mnakaa nae kwenye vikao vyandani vya chama, na mnakubaliana kadhaa ya kazi bila ubishi wala malumbano yoyote,

halafu baadae,
yule ambae mlikaa nae kwenye kikao anajitokeza kwenye vyombo vya habari na kuanza kupinga mliyokubaliana kwenye kikao.

nadhani ni muhimu kuzingatia hilo gentleman kuliko kumbwelambwela hapa jukwaani na kuwachanganya wadau namambo yaliyo nje ya hoja :pedroP:
 
Kanda haina kura nyingi hizo kanda 10 ni kura kama 30 tu ila kura zipo majimboni na wilayani.

Kanda ya nyasa, Victoria, pwani, na serengeti zimeshajitambua kama kanda za Lissu. Huko kuna majimbo na wilaya za kutosha. Kama ataweza consolidate kura za wajumbr walau 70% kwenye kanda tajwa basi uwezo wa kushinda ni mkubwa.

Mind you Mbowe ana assurance ya walau 40% ya kura za wajumbe wote kabla ya kura kupigwa so inahitaji stronghold za lissu turnout iwe kubwa na wote kupiga kura kama Block. Otherwise Mbowe anaweza shinda with a slim margin

Changamoto naiona zanzibar na pemba maana majimbo ni kama 50 means kuna kura zaidi ya 150 kwa eneo lisilo na impact kwa chadema. Maadam zanzibar wanapenda utawala kamili na Lissu ameshajitambulisha hivyo, anaweza pata kura nyingi huko au akakosa kabisa if at all hao wajumbe nao wakaside na Mbowe coz ya uhusiano wake na Samia
kwahiyo Kanda za nyasa, victoria, pwani na serengeti ndizo strong hold za Lisu right, Licha ya kua mwenyekiti wa kanda ya victoria ni mgombea umakamu mwenyekiti anaemuunga mkono mbowe?

na kanda ya pwani pia kweli inaweza kua ni strongholdi ya Lisu? kivipi kwa mfano?

kulikoni kanda ya katia anakotoka Lisu ndiyo isiwe stronghold mojawapo muhimu zaidi? au ndiyo ile nabii hakubaliki kwao? :pedroP:
 
Mjinga ni wewe unayeweweseka, mliozoea kushibisha matumbo kupitia mbowe na ruzuku za chama.
Awamu hii madalali wa siasa hamtoboi
Tarehe 21 January sio mbali. Tutajua mjanja ni nani na mwoga ni nani?
 
gentleaman,
mnafiki ni yule tu ambae mnakaa nae kwenye vikao vyandani vya chama, na mnakubaliana kadhaa ya kazi bila ubishi wala malumbano yoyote,

halafu baadae,
yule ambae mlikaa nae kwenye kikao anajitokeza kwenye vyombo vya habari na kuanza kupinga mliyokubaliana kwenye kikao.

nadhani ni muhimu kuzingatia hilo gentleman kuliko kumbwelambwela hapa jukwaani na kuwachanganya wadau namambo yaliyo nje ya hoja :pedroP:
BaDo sijaona unafiki hapo. Mwulize Wenje ndiye mhusika wa hayo ambaye mnamtuma kufanya hujuma kwa kiongozi mwenzake
 
Back
Top Bottom