Katika Kanda 10 za CHADEMA, Lissu anaweza kuambulia kura kutoka maeneo gani?

hapo kwenye mahesabu kwakweli Lisu amefeli pakubwa, na kwakweli hafanyi mahesabu ya kisiasa kabisa,
lakini pia kwenye misconduct naona inakwenda kumuondoa mapema zaidi hata kabla ya uchaguzi, kwasababu tayari malengo yake yameshajulikana hususan akishindwa uchaguzi huo.

nadhani watamuengua mapema zaidi hivi karibuni samabamba na ntobi
 
Kati ya hizo kanda kumi Lissu hatoboi hata moja.

Kanda ya ziwa pekee kura zitagawanyika 50 50 sababu ya Heche na Wenje.
 
Leo umeongea kisomi sio kipropaganda kama ulivyozoeleka.
 
Na hiyo ya kumuengua ndio itakuwa nzuri zaidi.
 
Unamuuliza nani?
Mbona unaweweseka sana dogo?
Gentleman, relax bas bila makasiriko?

mi nauliza wadau wa heshima wa wabobevu waandamizi wa siasa humu jukwaani JF
 
Ccm wamefungwa mwaka huu wako mbele kuipigania chadema, kesho mtawateka na kuwafungulia kesi. Mimi nakuletea maneno yako tu ujue kwamba umnafiki na mzandiki wa utafiti huo.
 

Attachments

  • Screenshot_20241218_213757.jpg
    195.1 KB · Views: 3
Sumu aionjwi, CDM kama wanataka kukiua chama chao basi wampe Lissu.

Hana diplomatic language kabisa kwenye ukosoaji wake wa siasa za ndani ya chama.

Kwa kauli anazotoa sio mtu wa kujenga morale pale ambapo nguvu ya wengi inahitajika kama kiongozi.

He is just not leadership material ni ropo-ropo tu.
 
Unaweweseka, wapiga kura tupo.
We unafahamu mi ni mjumbe kutoka kanda ipi?
wewe inafaa uvuliwe uongozi na uanachama wa chadema mara moja!

utapigiwa simu ktk muda usiokua mrefu, uende ofisi za chadema katika kata yako ukachukea barua yako rasmi ya kuvulia uongozi na uanachama wa chama..

viongozi wako wanajiridhisha kuhusu taarifa na mienendo yako isiyofaa na iliyo kinyume na katiba ya chama chako, sawaa?
 
Mwamba ameshaweka250 million unadhani itakuwaje hapo.!!
 
Mtoa mada katika hali ya kawaida ni kiongozi gani wa wilaya unafkiri hataki ruzuku kwa ajili ya kukijenga chama??
 
Mwamba ameshaweka250 million unadhani itakuwaje hapo.!!
kwamba kawekeza m250 halafu jamaa mwingine hata 30m kuiraise inakua shida halafu eti anajipiga kifua kua ndie mkali wa hizi kazi?
 
Ccm wamefungwa mwaka huu wako mbele kuipigania chadema, kesho mtawateka na kuwafungulia kesi. Mimi nakuletea maneno yako tu ujue kwamba umnafiki na mzandiki wa utafiti huo.
ni nadhani muhimu zaidi ukawaletea wadau wa JF, yale ambayo watu wanakubaliana kwenye vikao vya ndani ya chama kwa siri kama viongozo, halafu baada ya muda mfupi moja wao anropaka ropoka nje ya vikao,

huo ni usaliti au kutafuta kiki na utovu wa nidhamu gentleman?
 
Gentleman, mimi ni msomi, mkufunzi, mwanasiasa, mwanadiplomasia, apostle, mkulima, mfugaji, kiongozi wa wananchi na mfanyibiashara,

lakini hayo yote si muhimu sana,
jambo la maana zaidi, ni wewe kwenda moja kwa moja kwenye hoja ya msingii
Sisi CCM kazi kweli kweli ... Ndo maana yule bwege anasema Lissu hafai kuwa sababu ni mkweli sana. Kiongozi hapaswi kuwa mkweli sana. nadhani wewe Tlaaaa unafaa kuwa kiongozi sasa. Hapa nimeona ulivyo na sifa
 
Gentleman, mimi ni msomi, mkufunzi, mwanasiasa, mwanadiplomasia, apostle, mkulima, mfugaji, kiongozi wa wananchi na mfanyibiashara,

lakini hayo yote si muhimu sana,
jambo la maana zaidi, ni wewe kwenda moja kwa moja kwenye hoja ya msingii
Kanda kuna kura chache kuliko kwenye mikoa husika inayounda kanda mfano kanda ya nyasa mkoa wa mbeya peke yake inawapiga kura 27 bado mikoa mingine inayounda kanda hii ngoma ipo kama Pyramid Kadri inavyoshuka chini ndio kuna wapiga kura wengi wa mkutano mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…