Katika Kanda 10 za CHADEMA, Lissu anaweza kuambulia kura kutoka maeneo gani?

Utaaibika.
LISSU ndiye mwenyekiti mpya wa CHADEMA.
 
Viongozi karibu wa kanda zote 10
Kanda haina kura nyingi hizo kanda 10 ni kura kama 30 tu ila kura zipo majimboni na wilayani.

Kanda ya nyasa, Victoria, pwani, na serengeti zimeshajitambua kama kanda za Lissu. Huko kuna majimbo na wilaya za kutosha. Kama ataweza consolidate kura za wajumbr walau 70% kwenye kanda tajwa basi uwezo wa kushinda ni mkubwa.

Mind you Mbowe ana assurance ya walau 40% ya kura za wajumbe wote kabla ya kura kupigwa so inahitaji stronghold za lissu turnout iwe kubwa na wote kupiga kura kama Block. Otherwise Mbowe anaweza shinda with a slim margin

Changamoto naiona zanzibar na pemba maana majimbo ni kama 50 means kuna kura zaidi ya 150 kwa eneo lisilo na impact kwa chadema. Maadam zanzibar wanapenda utawala kamili na Lissu ameshajitambulisha hivyo, anaweza pata kura nyingi huko au akakosa kabisa if at all hao wajumbe nao wakaside na Mbowe coz ya uhusiano wake na Samia
 
Kama mbowe amewalevya kwa mvinyo wake, wajumbe watampigia tu kura ili waendelee kulewa huo mvinyo
 
Ungekuwa unajielewa na humuogopi Mbowe na nguvu zake ungejitangaza kwa jina lako halisi! Unatumia jina bandia halafu unajifanya mwamba? PUMBAVU!!
Mjinga ni wewe unayeweweseka, mliozoea kushibisha matumbo kupitia mbowe na ruzuku za chama.
Awamu hii madalali wa siasa hamtoboi
 
kwahiyo ikiwa ni hivyo,
ni kanda zipi sasa Tundu Lisu kibaraka wa mabwenyenye ya magaharibi anaweza kuambulia chochote?
Kibaraka wa ccm alishakataliwa na wanachama wenye akili.
Kabakiza chawa wake kutoka ccm tu
 
Pwani,Nyasa,kaskazini,kusini,kanda ya Magharibi,Kanda ya victoria,kanda ya kati na serengeti
 
Kamanda mm sio CCM ntake radhi!
 
Ukiona mwanaccm yupo mbele kumtetea mtu wa upinzani jua kwamba hilo ni bomu kwa upinzani. Upunguze unafiki.
 
Ukiona mwanaccm yupo mbele kumtetea mtu wa upinzani jua kwamba hilo ni bomu kwa upinzani. Upunguze unafiki.View attachment 3196579
gentleaman,
mnafiki ni yule tu ambae mnakaa nae kwenye vikao vyandani vya chama, na mnakubaliana kadhaa ya kazi bila ubishi wala malumbano yoyote,

halafu baadae,
yule ambae mlikaa nae kwenye kikao anajitokeza kwenye vyombo vya habari na kuanza kupinga mliyokubaliana kwenye kikao.

nadhani ni muhimu kuzingatia hilo gentleman kuliko kumbwelambwela hapa jukwaani na kuwachanganya wadau namambo yaliyo nje ya hoja
 
kwahiyo Kanda za nyasa, victoria, pwani na serengeti ndizo strong hold za Lisu right, Licha ya kua mwenyekiti wa kanda ya victoria ni mgombea umakamu mwenyekiti anaemuunga mkono mbowe?

na kanda ya pwani pia kweli inaweza kua ni strongholdi ya Lisu? kivipi kwa mfano?

kulikoni kanda ya katia anakotoka Lisu ndiyo isiwe stronghold mojawapo muhimu zaidi? au ndiyo ile nabii hakubaliki kwao?
 
Mjinga ni wewe unayeweweseka, mliozoea kushibisha matumbo kupitia mbowe na ruzuku za chama.
Awamu hii madalali wa siasa hamtoboi
Tarehe 21 January sio mbali. Tutajua mjanja ni nani na mwoga ni nani?
 
BaDo sijaona unafiki hapo. Mwulize Wenje ndiye mhusika wa hayo ambaye mnamtuma kufanya hujuma kwa kiongozi mwenzake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…