Katika Kanda 10 za CHADEMA, Lissu anaweza kuambulia kura kutoka maeneo gani?

BaDo sijaona unafiki hapo. Mwulize Wenje ndiye mhusika wa hayo ambaye mnamtuma kufanya hujuma kwa kiongozi mwenzake
mtu anaropoka ati fulani amepewa au kupokea rushwa,

anaulizwa atoe ushahidi, ana mbwelambwela tu,

unafiki ulioambatana na tamaa na usaliti ni kitu cha hovyo sana aise dah!
 
Katika mkoa wa Singida anaotoka Lissu,Mbowe anakura za uhakika zisizopungua 19.Hata katibu wake jimbo la Singida mashariki,anamuunga mkono Mbowe.
 
Kama mbowe amewalevya kwa mvinyo wake, wajumbe watampigia tu kura ili waendelee kulewa huo mvinyo
wajumbe watalewa vip gentleaman, na kura zinapigwa hadharani?
 
Lissu kanda ya kati anakura chache sana, sababu kubwa ni ubahili na kudhani kutoa misaada kwa Wajumbe ni rushwa.
kwahiyo ni mgombea mwenye dhana potofu dhidi ya matumizi ya pesa, right?
 
Wakati Fulani kwenye Sayansi ya Siasa ...utabiri,Unabii na masuala Unayoita ya kiroho ni halisi na yanafanya kazi!
 
mtu anaropoka ati fulani amepewa au kupokea rushwa,

anaulizwa atoe ushahidi, ana mbwelambwela tu,

unafiki ulioambatana na tamaa na usaliti ni kitu cha hovyo sana aise dah!
Leo ya chadema yanaakuuma sana?
 
Mbowe alishajaza watu wake lisu amekuja kushtuka kumekucha tayar kanda ya kat anawaza akaambulia kitu
 
Wakati Fulani kwenye Sayansi ya Siasa ...utabiri,Unabii na masuala Unayoita ya kiroho ni halisi na yanafanya kazi!
Imani ya kwamba utashinda na hutafuti kura na wala huna kura ni sawa na ushirikina tu gentleman,

kura ni ya kutafuta kabisa gentleman na sio story za pata potea mitandaoni.🐒

Na sio kwamba umuache Mungu
 
Mbowe alishajaza watu wake lisu amekuja kushtuka kumekucha tayar kanda ya kat anawaza akaambulia kitu
siasa ni kuhipanga aise,
saa zingine hii maneno ya kuzingatia upepo tu bila kufanya jitihada za makusudi, mtu anaweza kuambulia patupu hadi home areas 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…