Sawa. Asante kwa taarifa.Katika kipindi hiki cha Pasaka huko Jerusalem Israel jamaa mmoja jana alienda Hekaluni akiwa na kondoo kwa nia ya kwenda kutoa sadaka ya kuteketezwa baadaye Alikamatwa na polisi walieko kwenye eneo hilo ambalo ni Takatifu kwa Wayahudi,Wakristo na waislamu. Eneo hilo lilikabidhiwa waislam ndiyo wanaweza kuingia ndani na wayahudi hawaruhusiwi kusali ndani ya Hekalu hilo.
Katika kipindi hiki cha Pasaka huko Jerusalem Israel jamaa mmoja jana alienda Hekaluni akiwa na kondoo kwa nia ya kwenda kutoa sadaka ya kuteketezwa baadaye Alikamatwa na polisi walieko kwenye eneo hilo ambalo ni Takatifu kwa Wayahudi, Wakristo na waislamu.
Eneo hilo lilikabidhiwa waislam ndiyo wanaweza kuingia ndani na wayahudi hawaruhusiwi kusali ndani ya Hekalu hilo.
Endelea kuwadanganya wajinga!!Unajua ni kwa nini Wayahudi hawaruhusiwi kuingia ndani?
Ni kwa sababu mafunzo yao yanasema ni mpaka Masihi wao aje. Kwenye hili Wayahudi wa Orthodox wamelishikilia kwa nguvu mpaka Mazionists wanagwaya!
Kitu pekee kilichowashinda Wayahudi wafuata dini ni Ishu ya Kurudi Israel, Walijitahidi sana kuwazuia Mazionists wasijichukulie mamuzi mikononi kurudi Israel kabla ya Masihi, lakini Mazionists waliamua lolote na liwe. Wakarudi kibabe kinyume cha mafundisho ya dini yao. Mbinu waliyoitumia Mazionists kuwaconvince Wayahudi wafuata dini ni pamoja na ugaidi, walikuwa wanakwenda wanabomb masinagogi ya Wayahudi ktk nchi za kiarabu halafu wanansema mnaona hamko salama hapa twendeni Israel.
Mbinu nyingine waliyotumia ni incentives kwa shule za dini ya Kiyahudi, Wayahudi wafuata dini wakawa wanapokea ruzuku, wakawa wanakuwa exempted katika military service etc.
Lakini bado kuna kundi kubwa la orthodox Jews ambao wanaona kuwa uwepo wa Taifa la Israel la leo ni uasi mwingine mbele ya Mungu aliyewaexile
Hayo uliyoyaongea hapo ni uongo ukweli ni huu hapa:Unajua ni kwa nini Wayahudi hawaruhusiwi kuingia ndani?
Ni kwa sababu mafunzo yao yanasema ni mpaka Masihi wao aje. Kwenye hili Wayahudi wa Orthodox wamelishikilia kwa nguvu mpaka Mazionists wanagwaya!
Kitu pekee kilichowashinda Wayahudi wafuata dini ni Ishu ya Kurudi Israel, Walijitahidi sana kuwazuia Mazionists wasijichukulie mamuzi mikononi kurudi Israel kabla ya Masihi, lakini Mazionists waliamua lolote na liwe. Wakarudi kibabe kinyume cha mafundisho ya dini yao. Mbinu waliyoitumia Mazionists kuwaconvince Wayahudi wafuata dini ni pamoja na ugaidi, walikuwa wanakwenda wanabomb masinagogi ya Wayahudi ktk nchi za kiarabu halafu wanansema mnaona hamko salama hapa twendeni Israel.
Mbinu nyingine waliyotumia ni incentives kwa shule za dini ya Kiyahudi, Wayahudi wafuata dini wakawa wanapokea ruzuku, wakawa wanakuwa exempted katika military service etc.
Lakini bado kuna kundi kubwa la orthodox Jews ambao wanaona kuwa uwepo wa Taifa la Israel la leo ni uasi mwingine mbele ya Mungu aliyewaexile
MpolandKatika kipindi hiki cha Pasaka huko Jerusalem Israel jamaa mmoja jana alienda Hekaluni akiwa na kondoo kwa nia ya kwenda kutoa sadaka ya kuteketezwa baadaye Alikamatwa na polisi walieko kwenye eneo hilo ambalo ni Takatifu kwa Wayahudi, Wakristo na waislamu.
Eneo hilo lilikabidhiwa waislam ndiyo wanaweza kuingia ndani na wayahudi hawaruhusiwi kusali ndani ya Hekalu hilo.
Echolima mnyamaaaEndelea kuwadanganya wajinga!!
Sasa ibada yao wayahudi huwa na kuchinja, kondoo, au njiwa au ng'ombe kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa kwa ajili ya dhambi na makosa mbali mbali.Katika kipindi hiki cha Pasaka huko Jerusalem Israel jamaa mmoja jana alienda Hekaluni akiwa na kondoo kwa nia ya kwenda kutoa sadaka ya kuteketezwa baadaye Alikamatwa na polisi walieko kwenye eneo hilo ambalo ni Takatifu kwa Wayahudi, Wakristo na waislamu.
Eneo hilo lilikabidhiwa waislam ndiyo wanaweza kuingia ndani na wayahudi hawaruhusiwi kusali ndani ya Hekalu hilo.
Kesho tena tunaenda kwenye hilo hekalu tutapata mengi sana lakini kutokana na maswali yako sasa hivi hawatoi sadaka za kuteketezwa au kuchinja sababu kubwa ni kwa sababu hakuna Hekalu mpaka wajenge Hekalu la Tatu ambalo linatakiwa liwe pale ulipo msikiti wa Al-Aqsa wenye dini yao huwa wanataka kuuvunja msikiti huo ili wajenge Hekalu lao hapo na wakishajenga ndipo Kuhani Mkuu wanaweza kumweka kwa sasa hivi yupo Chief-Rabbi Kalman Ber na Rabbi David Yousef. walichaguliwa mwaka jana 2024 watatumikia wadhifa huo kwa miaka kumi. Kwa ujumla Ibada nyingi hawafanyi kwa sababu ya hakuna Hekalu mara zote IBADA hufanyikia western wailing wall Ukuta wa Magharibi hapo ndipo askari wote wa Israel wanaapishwa hapo.Sasa ibada yao wayahudi huwa na kuchinja, kondoo, au njiwa au ng'ombe kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa kwa ajili ya dhambi na makosa mbali mbali.
Je hawafanyi kama isemavyo Torati?
Vipi kuhani mkuu kwa sasa Israel wanaye?
Kwenda na wakati. Yesu angekuja leo ungekuta ana jinsi ya kuchanika.Shida amevaa kisasa halafu na mkamera!, angevaa ile kizamani kama akina petro halafu na upanga pembeni huku kashikilia fimbo!, hapo wangekuwa wanajiuliza huyu ndo yeye ama!..🤣
Sawa mkuu, ila sasa dini yao kwa sasa itakuwa hawako sawa, kwa sababu lazima kuwe na utoaji wa sadaka za upatanisho ambazo huwa kwa mtu mmoja au ile ya kila mwaka ya upatanisho kwa taifa zima,Kesho tena tunaenda kwenye hilo hekalu tutapata mengi sana lakini kutokana na maswali yako sasa hivi hawatoi sadaka za kuteketezwa au kuchinja sababu kubwa ni kwa sababu hakuna Hekalu mpaka wajenge Hekalu la Tatu ambalo linatakiwa liwe pale ulipo msikiti wa Al-Aqsa wenye dini yao huwa wanataka kuuvunja msikiti huo ili wajenge Hekalu lao hapo na wakishajenga ndipo Kuhani Mkuu wanaweza kumweka kwa sasa hivi yupo Chief-Rabbi Kalman Ber na Rabbi David Yousef. walichaguliwa mwaka jana 2024 watatumikia wadhifa huo kwa miaka kumi. Kwa ujumla Ibada nyingi hawafanyi kwa sababu ya hakuna Hekalu mara zote IBADA hufanyikia western wailing wall Ukuta wa Magharibi hapo ndipo askari wote wa Israel wanaapishwa hapo.
Ili ibada ikamilike lazima kuna mambo lazima yawepo kwao hayo yote hayawezi kukamilika mpaka Hekalu lijengwe sadaka kama hizo ni lazima zifanyike kwenye Hekalu na sasa hilo halipo!! Maana lilivunjwa na sehemu hiyo pakajengwa Msikiti wa Al-Aqsa. Kingine kuna Ibada zingine haziwezi kufanyika kwa sababu hakuna Kuhani Mkuu. Ndiyo maana wenye hiyo dini wanafanya kila njia ili Hekalu la tatu lijengwe maana kila kitu walishaandaa watumishi, Vyombo vya Hekaluni na wale Ng’ombe wa kutolea sadaka( Heifer ). Na ni Propaganda tu kusema kuna wayahudi fake!! Huku hakuna ubaguzi tuliokuwa tunaaminishwa na wafuga Midevu na Majini huku wakristo wako wengi sana na kuna watanzania wako huku wanaishi kwa Amani bila shida yoyote!!Sawa mkuu, ila sasa dini yao kwa sasa itakuwa hawako sawa, kwa sababu lazima kuwe na utoaji wa sadaka za upatanisho ambazo huwa kwa mtu mmoja au ile ya kila mwaka ya upatanisho kwa taifa zima,
Au hawa waliopo nikubaliane na watu mbalimbali wenye kusema si Waisraeli halisi?
Ok shukurani, si lazima kufanya taratibu za ibada yao hadi iwe hekaluni, Kipindi cha Mussa walifanyia kwenye hema, haikuwa hekalu, walipoingia Nchi ya ahadi kabla ya ujenzi wa hekalu walikuwa wanaenda mahali pa Juu Gibeoni,Ili ibada ikamilike lazima kuna mambo lazima yawepo kwao hayo yote hayawezi kukamilika mpaka Hekalu lijengwe sadaka kama hizo ni lazima zifanyike kwenye Hekalu na sasa hilo halipo!! Maana lilivunjwa na sehemu hiyo pakajengwa Msikiti wa Al-Aqsa. Kingine kuna Ibada zingine haziwezi kufanyika kwa sababu hakuna Kuhani Mkuu. Ndiyo maana wenye hiyo dini wanafanya kila njia ili Hekalu la tatu lijengwe maana kila kitu walishaandaa watumishi, Vyombo vya Hekaluni na wale Ng’ombe wa kutolea sadaka( Heifer ). Na ni Propaganda tu kusema kuna wayahudi fake!! Huku hakuna ubaguzi tuliokuwa tunaaminishwa na wafuga Midevu na Majini huku wakristo wako wengi sana na kuna watanzania wako huku wanaishi kwa Amani bila shida yoyote!!