2v1
JF-Expert Member
- Mar 28, 2024
- 247
- 358
Binafsi ukiniuliza swala la kuoa nitakuambia lazima nioe ahijarishi kuna changamoto au lah, ingawa sio kwa sasa. Unakuta unaongea na watu tofauti tofauti, unakuta huyu anasema "oa mwanamke usiyempenda",
Mwingine anasema "usiangalie sura angalia tabia", Mwingine anasema "oa mwanamke mpambanaji",
Mwingine anasema "oa goli kipa",mwingine anasema "mwenye imani ya Mungu",
Mwingine anasema "mwanamke mwema atoka kwa bwana",na mengine yanayofanana na hayo.
Sasa unakuta mtu unajiuliza maswali mengi mpaka mengine unakosa majibu. Hivi wakati mnaingia mlikuwa hamyaoni hayo?, Halo mnatuchanganya! ok nisubiri na mimi yangu.