AggerFirminho
JF-Expert Member
- Sep 17, 2019
- 2,318
- 4,106
Kizazi cha nyoka wazazi wako. Kama hapo alipotekwa ni Israel mbona Hao magaidi hawangaiki na Hao raia wanaopita.?? Wakahangaike na mtu mweusi WA kisomileKizazi cha nyoka kabisa wewe, huyo alitekwa akapelekwa Gaza na magaidi ya kiislamu ya HAMAS
Nikujibu nukta ya mwisho tu ndiyo yenye kufahamika ulichouliza.Kama mtu ni kilaza unataka aende kwenye exchange program kufanya nini.
Umemaanisha nini hapa. Unaweza fafanua
Wewe hapo ukipewa nafasi ya kwenda Israel na serikali yao, kufanya kibarua au kazi utaenda?
Tulete list ya walioenda Israel mwaka jana tuone kama hamna Waislamu?
Kwwhyo Kati ya wakristo na waislamu ni dini ipi ina wafuasi wengi pale Israel kama sio waislamu?Wanaoenda Israel hawachaguliwi kwa lazima, wanachaguliwa baada ya maombi kutumwa wakiwa na vigezo wanachujwa. Sijawahi ona Mwislamu anafanya maombi kwenda Israel sasa watachaguliwa vipi wakati hawataki.
Au iletwe list ya walioenda kufanya kazi za ndani Saudi Arabia tutafute majina ya Martha na Suzy
hoja gani kama sio udini umewaganda? Kutwa kuwaza uislam tu kana kwamba ndio dini pekee duniani. Haya sasa semeni wenyewe ni siri gani hiyo?Mtoa mada una hoja hutakiwi kupuuzwa kabisaaaa...!!
Hivi kumbe waislam mnalilia kwenda Israel? si mlilie kwenda gaza!Kawaida katika mambo mengi hutajwa Tanzania haiangalii dini wala rangi ya mtu. Hata hivyo kuna mengi huendeshwa kidini na kiubaguzi mwengine ambao huwa umejificha sana.
Nilikuwa nafuatilia ile orodha ya vijana 260 waliotajwa kwenda kusoma kilimo na sijaiona.
Shaka yangu ni kuwa huenda wote wametoka maeneo au vyuo ambako hakuna waislamu. Hiyo inaweza ikawa ni maelekezo ya wafadhili ya zile nafasi na kwa kuwa walikuwa na ajenda ya siri ya kuwaingiza kwenye mafunzo ambayo waislamu wasingefaa kupelekwa.
Picha ya hatma ya Joshua Mollel imezidisha shaka hiyo na hasa kwa vile imechelewa kutolewa kama kwamba ilikuwa ni siri ya Israel ambayo mwisho wake siri hiyo imewaponyoka.
unaota ujinga, je kama alikuwa gaza kujifunza ukomando/warfare/medani za kivita cha kushangaza ni nini wakati gaza imegeuka kuwa war field? Muache mawazo ya kijingaYule dogo eti anasema Israel chuo then anaonekana GAZA ambako Hakuna chuo wala collage ni kama open air prison. What was he doing there???
Hamas lazima eneo Lao walitreat kama eneo LA vita so anyone haelewi tena foreigner lazima watakudhuru tu.
Kuna kitu zaidi kinafichwa kuhusu huyu dogo. Mimi nazani alikuwa 007 alitumwa maana Israel hawataki ndugu zao wafe kizembe so wanawatumia sana Africans hasa Ethiopians kama 007...ni mawazo yangu tu ya mbali nikiwa naota
73.8 percent of the population is Jewish, 18 percent Muslim, 1.9 percent Christian, and 1.6 percent Druze.Kwwhyo Kati ya wakristo na waislamu ni dini ipi ina wafuasi wengi pale Israel kama sio waislamu?
Hoja mfu kabisa.
WAISLAMU BHANA MKIKOSA HOJA MNAONGEA UPUUZI...
NDIO MAANA CROWN PRINCE WA SAUDI ARABIA ALIWACHANA UKWELI...
pa kipuuzi huko akina martha na suzy wataenda kusilimishwa huko hakuna makanisa ya kusali ibada zao.Wanaoenda Israel hawachaguliwi kwa lazima, wanachaguliwa baada ya maombi kutumwa wakiwa na vigezo wanachujwa. Sijawahi ona Mwislamu anafanya maombi kwenda Israel sasa watachaguliwa vipi wakati hawataki.
Au iletwe list ya walioenda kufanya kazi za ndani Saudi Arabia tutafute majina ya Martha na Suzy
ardhi ya wapalestina? Tangu lini? Acha ujinga, israel tutakwenda kutalii na kimasomo piaHuko kunakoitwa Israel ni ardhi ya Wapalestina, hivyo ukienda huko ujue kabisa kuuawa ni haki yako.
Watu wanapambania ardhi yao alafu jitu linatoka huku kwenda kusoma huko au kufanya kazi huko....pumbavu
Dogo wewe ni zaidi ya mpumbavuUkisikia sehemu kuna uchaguzi Tanzania ujue hapo ni kudhulumiana na kuibiana basi.
Hali hiyo ipo kwenye chaguzi za kitaifa mpaka za vyuoni.Kwani waislamu hawaombi kwenye vyuo vikuu vya wakristo mbona hawachaguliwi mpaka waishiwe na watu na bajeti zikae songombingo.
Zamani wakati wa kabla ya waziri wa elimu Kigoma Malima uchaguzi wa wanafunzi ulifanywa kibaguzi kwa hali ya juu sana kwa kuangalia majino yao tu,
Kwenda Israel kama kweli kuna neema hawachaguliwi waislamu na kama kuna ajenda za kijeshi pia hawachaguliwi.
Mbona hiyo ipo wazi, jina halisadifu imani ya mtu na pia mafunzo kama hayo sio lazima watu wanaombaKawaida katika mambo mengi hutajwa Tanzania haiangalii dini wala rangi ya mtu. Hata hivyo kuna mengi huendeshwa kidini na kiubaguzi mwengine ambao huwa umejificha sana.
Nilikuwa nafuatilia ile orodha ya vijana 260 waliotajwa kwenda kusoma kilimo na sijaiona.
Shaka yangu ni kuwa huenda wote wametoka maeneo au vyuo ambako hakuna waislamu. Hiyo inaweza ikawa ni maelekezo ya wafadhili ya zile nafasi na kwa kuwa walikuwa na ajenda ya siri ya kuwaingiza kwenye mafunzo ambayo waislamu wasingefaa kupelekwa.
Picha ya hatma ya Joshua Mollel imezidisha shaka hiyo na hasa kwa vile imechelewa kutolewa kama kwamba ilikuwa ni siri ya Israel ambayo mwisho wake siri hiyo imewaponyoka.
Wawaue wapalestine wenzao?Narudia kukuuliza mkuu, kulikuwepo na Wapalestina zaidi ya laki moja Israel, kwanini Hamas hawakuuwa Wapalestina waliokuwa Israel maeneo yaleyale waliyovamia siku ya tarehe 7 Oktoba?
Mbona hujibu hili swali
Akili yangu kisoda ndio akili yako jumla yaanikwa akili yako kisoda unataka kusema kabla ya 1948 hakukuwa na wayaudi hapo ?
Shida yetu mimi nanani?shida yenu ni nin hasa ? wazayuni au wayaudi ?
Kuslimishwa sio lazimapa kipuuzi huko akina martha na suzy wataenda kusilimishwa huko hakuna makanisa ya kusali ibada zao.
Mbona umetokwa na povu lote ndugu mchangiajihoja gani kama sio udini umewaganda? Kutwa kuwaza uislam tu kana kwamba ndio dini pekee duniani. Haya sasa semeni wenyewe ni siri gani hiyo?
Hakuna yeyote aliyelaani kitendo hiki, ikiwa ni pamoja na nchi yetu. Ngashangaa sana!?Nadhani hamas kuna siri wanaijua ndiyo maana wakawaua...
Yani kuna ka kitu bado tunafichwa, na ukizingatia siyo mamlaka ya palestina, israel au tanzania waliolaani hiko kitendo mpaka sasa, basi ndo ujue kuna namna hapa..
Tunachojadili sio kule Israel.Matatizo yapo hapa kwetu.Kwwhyo Kati ya wakristo na waislamu ni dini ipi ina wafuasi wengi pale Israel kama sio waislamu?
Hoja mfu kabisa.
Ongezea na Waislamu wenzao.Wawaue wapalestine wenzao?