Katika kundi la 260 waliokwenda Israel kama hakukua na waislamu basi kulikuwa na ajenda ya siri

Katika kundi la 260 waliokwenda Israel kama hakukua na waislamu basi kulikuwa na ajenda ya siri

Kama mtu ni kilaza unataka aende kwenye exchange program kufanya nini.

Umemaanisha nini hapa. Unaweza fafanua

Wewe hapo ukipewa nafasi ya kwenda Israel na serikali yao, kufanya kibarua au kazi utaenda?

Tulete list ya walioenda Israel mwaka jana tuone kama hamna Waislamu?
Nikujibu nukta ya mwisho tu ndiyo yenye kufahamika ulichouliza.
Ili kuniondoa shaka hiyo orodha ilete wewe unioneshe waislamu.Kama utaipata nakuhakikisha ama hakuna au kama wapo ni katika ule uwiyano wa kawaida kwenye maeneo ya maslahi ya 10wakristo:1muislamu
 
Wanaoenda Israel hawachaguliwi kwa lazima, wanachaguliwa baada ya maombi kutumwa wakiwa na vigezo wanachujwa. Sijawahi ona Mwislamu anafanya maombi kwenda Israel sasa watachaguliwa vipi wakati hawataki.

Au iletwe list ya walioenda kufanya kazi za ndani Saudi Arabia tutafute majina ya Martha na Suzy
Kwwhyo Kati ya wakristo na waislamu ni dini ipi ina wafuasi wengi pale Israel kama sio waislamu?

Hoja mfu kabisa.
 
Mtoa mada una hoja hutakiwi kupuuzwa kabisaaaa...!!
hoja gani kama sio udini umewaganda? Kutwa kuwaza uislam tu kana kwamba ndio dini pekee duniani. Haya sasa semeni wenyewe ni siri gani hiyo?
 
Kawaida katika mambo mengi hutajwa Tanzania haiangalii dini wala rangi ya mtu. Hata hivyo kuna mengi huendeshwa kidini na kiubaguzi mwengine ambao huwa umejificha sana.

Nilikuwa nafuatilia ile orodha ya vijana 260 waliotajwa kwenda kusoma kilimo na sijaiona.

Shaka yangu ni kuwa huenda wote wametoka maeneo au vyuo ambako hakuna waislamu. Hiyo inaweza ikawa ni maelekezo ya wafadhili ya zile nafasi na kwa kuwa walikuwa na ajenda ya siri ya kuwaingiza kwenye mafunzo ambayo waislamu wasingefaa kupelekwa.

Picha ya hatma ya Joshua Mollel imezidisha shaka hiyo na hasa kwa vile imechelewa kutolewa kama kwamba ilikuwa ni siri ya Israel ambayo mwisho wake siri hiyo imewaponyoka.
Hivi kumbe waislam mnalilia kwenda Israel? si mlilie kwenda gaza!
 
Yule dogo eti anasema Israel chuo then anaonekana GAZA ambako Hakuna chuo wala collage ni kama open air prison. What was he doing there???
Hamas lazima eneo Lao walitreat kama eneo LA vita so anyone haelewi tena foreigner lazima watakudhuru tu.
Kuna kitu zaidi kinafichwa kuhusu huyu dogo. Mimi nazani alikuwa 007 alitumwa maana Israel hawataki ndugu zao wafe kizembe so wanawatumia sana Africans hasa Ethiopians kama 007...ni mawazo yangu tu ya mbali nikiwa naota
unaota ujinga, je kama alikuwa gaza kujifunza ukomando/warfare/medani za kivita cha kushangaza ni nini wakati gaza imegeuka kuwa war field? Muache mawazo ya kijinga
 
Kwwhyo Kati ya wakristo na waislamu ni dini ipi ina wafuasi wengi pale Israel kama sio waislamu?

Hoja mfu kabisa.
73.8 percent of the population is Jewish, 18 percent Muslim, 1.9 percent Christian, and 1.6 percent Druze.
 
Wanaoenda Israel hawachaguliwi kwa lazima, wanachaguliwa baada ya maombi kutumwa wakiwa na vigezo wanachujwa. Sijawahi ona Mwislamu anafanya maombi kwenda Israel sasa watachaguliwa vipi wakati hawataki.

Au iletwe list ya walioenda kufanya kazi za ndani Saudi Arabia tutafute majina ya Martha na Suzy
pa kipuuzi huko akina martha na suzy wataenda kusilimishwa huko hakuna makanisa ya kusali ibada zao.
 
Huko kunakoitwa Israel ni ardhi ya Wapalestina, hivyo ukienda huko ujue kabisa kuuawa ni haki yako.

Watu wanapambania ardhi yao alafu jitu linatoka huku kwenda kusoma huko au kufanya kazi huko....pumbavu
ardhi ya wapalestina? Tangu lini? Acha ujinga, israel tutakwenda kutalii na kimasomo pia
 
Ukisikia sehemu kuna uchaguzi Tanzania ujue hapo ni kudhulumiana na kuibiana basi.
Hali hiyo ipo kwenye chaguzi za kitaifa mpaka za vyuoni.Kwani waislamu hawaombi kwenye vyuo vikuu vya wakristo mbona hawachaguliwi mpaka waishiwe na watu na bajeti zikae songombingo.
Zamani wakati wa kabla ya waziri wa elimu Kigoma Malima uchaguzi wa wanafunzi ulifanywa kibaguzi kwa hali ya juu sana kwa kuangalia majino yao tu,
Kwenda Israel kama kweli kuna neema hawachaguliwi waislamu na kama kuna ajenda za kijeshi pia hawachaguliwi.
Dogo wewe ni zaidi ya mpumbavu
 
Kawaida katika mambo mengi hutajwa Tanzania haiangalii dini wala rangi ya mtu. Hata hivyo kuna mengi huendeshwa kidini na kiubaguzi mwengine ambao huwa umejificha sana.

Nilikuwa nafuatilia ile orodha ya vijana 260 waliotajwa kwenda kusoma kilimo na sijaiona.

Shaka yangu ni kuwa huenda wote wametoka maeneo au vyuo ambako hakuna waislamu. Hiyo inaweza ikawa ni maelekezo ya wafadhili ya zile nafasi na kwa kuwa walikuwa na ajenda ya siri ya kuwaingiza kwenye mafunzo ambayo waislamu wasingefaa kupelekwa.

Picha ya hatma ya Joshua Mollel imezidisha shaka hiyo na hasa kwa vile imechelewa kutolewa kama kwamba ilikuwa ni siri ya Israel ambayo mwisho wake siri hiyo imewaponyoka.
Mbona hiyo ipo wazi, jina halisadifu imani ya mtu na pia mafunzo kama hayo sio lazima watu wanaomba

Sasa kama hao unaowataja hawakutaka kwenda utawalazimisha?

Sidhani, na hiyo ni kama orodha inayoenda Mashariki ya kati kwa ufadhili au kazi, huwezi kuuliza coz ni mapendekezo ya wahusika
 
Narudia kukuuliza mkuu, kulikuwepo na Wapalestina zaidi ya laki moja Israel, kwanini Hamas hawakuuwa Wapalestina waliokuwa Israel maeneo yaleyale waliyovamia siku ya tarehe 7 Oktoba?

Mbona hujibu hili swali
Wawaue wapalestine wenzao?
 
kwa akili yako kisoda unataka kusema kabla ya 1948 hakukuwa na wayaudi hapo ?
Akili yangu kisoda ndio akili yako jumla yaani
Ungekua na nusu ya akili yangu kisoda ungekua unaakili sana
 
pa kipuuzi huko akina martha na suzy wataenda kusilimishwa huko hakuna makanisa ya kusali ibada zao.
Kuslimishwa sio lazima
Kama watapendezewa kuna ubaya gani wawao kuslimu
Hakuna kulazmishana kwenye uislam ukiona mtu anakulazmisha uwe muislam ujue anaenda kinyume na uislam
Turejee kwenye mada
 
hoja gani kama sio udini umewaganda? Kutwa kuwaza uislam tu kana kwamba ndio dini pekee duniani. Haya sasa semeni wenyewe ni siri gani hiyo?
Mbona umetokwa na povu lote ndugu mchangiaji
Sijasema kuhusiana na dini wala nini mbona
Ila kweli dini zipo nyingi kama usemavyo ila dini ya kweli na uhakika ni uislam ukiupenda ama ukiuchukia ila huu ndio ukweli
 
Nadhani hamas kuna siri wanaijua ndiyo maana wakawaua...

Yani kuna ka kitu bado tunafichwa, na ukizingatia siyo mamlaka ya palestina, israel au tanzania waliolaani hiko kitendo mpaka sasa, basi ndo ujue kuna namna hapa..
Hakuna yeyote aliyelaani kitendo hiki, ikiwa ni pamoja na nchi yetu. Ngashangaa sana!?
 
Kwwhyo Kati ya wakristo na waislamu ni dini ipi ina wafuasi wengi pale Israel kama sio waislamu?

Hoja mfu kabisa.
Tunachojadili sio kule Israel.Matatizo yapo hapa kwetu.
Wenye kufanya teuzi wana matatizo mawili makubwa.Kwanza kama ni sehemu ya maslahi wanatangulizana wao na kuwaweka nyuma waislamu.
Kwa upande wa kidini kabla ya hivi vita wakristo wengi wa Tanzania waliona Israel ni wenzao na kule kunawahusu wao zaidi.Kwa hivyo kupelekwa Israel kwa madhumuni yoyote yatakayosaidia malengo Israel ni sawa hata kama ni kijeshi.Kwa hivyo basi bora wawapeleke wakristo wenzao kuliko waislamu.
Kuna hoja kuwa waziri au katibu mkuu ni muislamu.Hii tunajua kuwa mpaka sasa kutokana na sera ya tangu ukoloni waajiriwa waislamu kwenye maofisi ni wachache sana na wakiwekwa pale hawajiamini kabisa wanaona kama wamefadhiliwa.Hivyo hata yakipita majina mezani kwake hawezi kuhoji japokuwa kukitokea kasoro huko mbele yeye ndiye atakayehusika nayo.
 
Back
Top Bottom