Katika kundi la 260 waliokwenda Israel kama hakukua na waislamu basi kulikuwa na ajenda ya siri

Katika kundi la 260 waliokwenda Israel kama hakukua na waislamu basi kulikuwa na ajenda ya siri

Kawaida katika mambo mengi hutajwa Tanzania haiangalii dini wala rangi ya mtu.Hata hivyo kuna mengi huendeshwa kidini na kiubaguzi mwengine ambao huwa umejificha sana.
Nilikuwa nafuatilia ile orodha ya vijana 260 waliotajwa kwenda kusoma kilimo. na sijaiona.Shaka yangu ni kuwa huenda wote wametoka maeneo au vyuo ambako hakuna waislamu.Hiyo inaweza ikawa ni maelekezo ya wafadhili ya zile nafasi na kwa kuwa walikuwa na ajenda ya siri ya kuwaingiza kwenye mafunzo ambayo waislamu wasingefaa kupelekwa.
Picha ya hatma ya Joshua Mollel imezidisha shaka hiyo na hasa kwa vile imechelewa kutolewa kama kwamba ilikuwa ni siri ya Israel ambayo mwisho wake siri hiyo imewaponyoka.
Nyie Waislamu huwa mmejaa Takataka Tupu vichwani mwenu,
Rais wa Tanzania ni mwislamu,kwa hiyo hakujua lokote kuhusu hilo na au alijua akalibariki ili hao wakristo 260 wapate mafunzo ya kuwaua Waislamu wenzake,huna akili kabisa wewe juha za kutafakari
 
Yule dogo eti anasema Israel chuo then anaonekana GAZA ambako Hakuna chuo wala collage ni kama open air prison. What was he doing there???
Hamas lazima eneo Lao walitreat kama eneo LA vita so anyone haelewi tena foreigner lazima watakudhuru tu.
Kuna kitu zaidi kinafichwa kuhusu huyu dogo. Mimi nazani alikuwa 007 alitumwa maana Israel hawataki ndugu zao wafe kizembe so wanawatumia sana Africans hasa Ethiopians kama 007...ni mawazo yangu tu ya mbali nikiwa naota
Kizazi cha nyoka kabisa wewe, huyo alitekwa akapelekwa Gaza na magaidi ya kiislamu ya HAMAS
 
Ndio wanasema ni Gaza na kama pale ni Israel then. Story ndio Inakuwa haina maana kabisa. Maana jamaa Wana AKA 47 halafu pembeni wanapita raia WA israel bila hata hofu wanatembea na wala Hao hamas wahahangaiki nao??? It does not make any sense. Kama tu walivyovuka ule uzio wanasema wakaua raia WA Israel waliokuwa kwenye party na kuiteka wengine. Ndio wawe na aka then eneo LA Israel wabaki wanahangaika na mtu mweusi WA Tanzania huku wanawaacha raia WA israel wanapita..... Weeeee.
Hivi hiyo video inapatikana wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mawaziri na Makatibu wakuu wa hizo wizara si ni walewale HAMAS, unafikiri hiyo agenda ya siri ingepita?

Yaani Hussein awe Recruiting agent wa IDF?
 
Ukitaka kuwa Mpumbavu Hapa Duniani,kaa karibu na Waislamu
Ukitaka kuwa majnun hebu wasikilize watu wa aina yako, Wewe ni zao la wazazi walioshindwa malezi madhara yake ndio wametujazia hizi takataka hapa
nchini. Naamini katika mizigo kwenye familia yenu wewe ni miongoni mwao.
 
Huyo alikutwa camp ya jeshi na mpa mda hu siamini kauliwa na Hamasi, askari wa Hamasi hawauwi mateka hata siku moja.

Siku za mbele mtasikia Israel ndio alimuwa wala si Hamasi.

Afu mtoa mada unapoint vipi wale wote wakristo ndio wamenda kosemeshwa Israel, kama hakuna siri hapo nyuma ya pazia inatakiwa serekali ifatilie na ichunguze nani aliye watuma kusoma huko? Je ni serekali au wenyewe? Kama wenyewe hao lazima walitumwa kujiunga na jeshi la Israel.

Naomba serekali ya Tanzania ifatilie hi point ni muhimu sana, na mtoa mada wewe akili zako ni [emoji817]
Sasa wewe kuandika tu hujui, unawezaje kujua na kutuhakikishia kuwa Hamas hawaui mateka hata siku moja?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SASA KATI YA WAARABU WAISLAMU NA WAYAHUDI NANI MPUMBAVU NA ANAPOKEA KICHAPO DAILY?????
NGONJERA NYINGI VITENDO ZERO
Kwahiyo mtu anayepigwa tangu mwaka 1948 mpaka leo bado hajakoma? Mmebeba mifuvu tu ya kufugia nywele hata hamtaki kujifunza.
Tangu hao watu wavamie hilo eneo mbona hawajashinda hiyo vita na kuwafuta hao kina HAMAS? Rudi hata kwenye mafunzo ya kipaimara utajua vizur haya mengine hujui ndio maana akili zako ndogo zinakutuma kujiua tu.
 
Nataka na mimi niqekwe sawa kwa hili.
Sio kila jambo litaenda kwa Matangazo kwa kila recruitment inafanywa iwe na serkali au Taasisi zake.
Mfano. Hata hivyo tuna chuo cha afisa cadet Monduli ambacho huchukua raia wa mataifa mbalimbali kujifunza mbinu za medani. Hivyo hata Tz hupeleka wanafunzi vyuo vya ina hiyo katika nchi tofauti. Je wakiwa kule wanahusikaje na maswala ya nchi hiyo hata kuwajibishwa kama raia wa nchi hiyo?
Jambo lingine mafunzo mengi kwa nchi nyingi pia hufanywa siri hauwezi kama nchi kutangaza kuwa hii ndio orodha ya wanafunzi wanaoenda kujifunza ujasusi/spy katika nchi fulani halafu ukawekwa mkeka wa hao na majina yao. Hii HAIPO.
Iwe alikuwa chuo cha Kilimo kama cover au uhalisia au namna yoyote ya mafunzo kwa maslahi ya nchi isitumike ku justify Unyama aliotendewa kwa kuwa sio raia wa Israel. Je tunajua kuwa miongoni mwa waliotekwa walikuwepo raia wa Thailand , Russia n.k na waliachiwa? Je wa Tz wamehukumiwa kwa kuwa walikuwa wanashambulia Hamasi? Jibu ni No. Why? Mateka ameonekana na baiskeli yake na akiwa sio rasmi kwa mapigano.
Hamasi na Palestina ambao ukweli wanaonewa kwa Ukoloni. Hapa WANAWAJIBIKA kwa kuua raia wa nchi asiye adui wao. Binafsi siwaungi mkono. Never ever.
Wala hatuwezi eti serkali ituambie wale vijana walikuwa kule kivipi. Huo ni ujinga na kukosa uelewa. Wako askari wetu wengi walisoma Russia, Cuba n.k je tulitangaziwa?
Kama hao vijana walikuwa kwa mafunzonya kijeshi kwa ajili ya nchi ubaya uko wapi?
Hamasi na Balozi..HAWAJASEMA

PERIOD
 
Ile picha ya kuuliwa Mollel kama ni kweli basi inaonesha kulikuwa na kitu walichogundua watekaji ambacho si cha kawaida kama ilivyokuwa kwa watailand ndio maana wakaamua kumuua pamoja na kwamba kiongozi wao kutaka kuwazuia mwanzoni.
Hakuna cha kitu. Ni kwa kuwa ni Mweusi. Ova
 
Yule dogo eti anasema Israel chuo then anaonekana GAZA ambako Hakuna chuo wala collage ni kama open air prison. What was he doing there???
Hamas lazima eneo Lao walitreat kama eneo LA vita so anyone haelewi tena foreigner lazima watakudhuru tu.
Kuna kitu zaidi kinafichwa kuhusu huyu dogo. Mimi nazani alikuwa 007 alitumwa maana Israel hawataki ndugu zao wafe kizembe so wanawatumia sana Africans hasa Ethiopians kama 007...ni mawazo yangu tu ya mbali nikiwa naota
7 oct haikuwa Gaza. Mateka waliotekwa hawakuwa Gaza bali Israeli. Pls confirm
 
Pale alipouwawa Joshua Mollel ni Gaza?
Swali zuri. Labda mtu akatae akili yake kufanya kazi. Mateka walitekwa Israeli na sio Gaza. Ubaguzi wa Rangi udunishwaji wa kitaifa au ideology za kidini ndizo zimemuondoa
 
Ndio wanasema ni Gaza na kama pale ni Israel then. Story ndio Inakuwa haina maana kabisa. Maana jamaa Wana AKA 47 halafu pembeni wanapita raia WA israel bila hata hofu wanatembea na wala Hao hamas wahahangaiki nao??? It does not make any sense. Kama tu walivyovuka ule uzio wanasema wakaua raia WA Israel waliokuwa kwenye party na kuiteka wengine. Ndio wawe na aka then eneo LA Israel wabaki wanahangaika na mtu mweusi WA Tanzania huku wanawaacha raia WA israel wanapita..... Weeeee.
Raia unawatambuaje? Kuwa ni waisraeli
 
Wanaoenda Israel hawachaguliwi kwa lazima, wanachaguliwa baada ya maombi kutumwa wakiwa na vigezo wanachujwa. Sijawahi ona Mwislamu anafanya maombi kwenda Israel sasa watachaguliwa vipi wakati hawataki.

Au iletwe list ya walioenda kufanya kazi za ndani Saudi Arabia tutafute majina ya Martha na Suzy
Kweli kabisa

Sema mleta hoja nimependa anaonekana kidogo ni mtu wa kufikiria sio wanaobisha bisha kiushabiki na kuropoka mara Israel kaua "nonsense
 
Kawaida katika mambo mengi hutajwa Tanzania haiangalii dini wala rangi ya mtu.Hata hivyo kuna mengi huendeshwa kidini na kiubaguzi mwengine ambao huwa umejificha sana.
Nilikuwa nafuatilia ile orodha ya vijana 260 waliotajwa kwenda kusoma kilimo. na sijaiona.Shaka yangu ni kuwa huenda wote wametoka maeneo au vyuo ambako hakuna waislamu.Hiyo inaweza ikawa ni maelekezo ya wafadhili ya zile nafasi na kwa kuwa walikuwa na ajenda ya siri ya kuwaingiza kwenye mafunzo ambayo waislamu wasingefaa kupelekwa.
Picha ya hatma ya Joshua Mollel imezidisha shaka hiyo na hasa kwa vile imechelewa kutolewa kama kwamba ilikuwa ni siri ya Israel ambayo mwisho wake siri hiyo imewaponyoka.
kwan waislam si wanajulikana wavivu kusoma ? hv wasomi hapa tz ni dhehebu gan ?
 
Nadhani hamas kuna siri wanaijua ndiyo maana wakawaua...

Yani kuna ka kitu bado tunafichwa, na ukizingatia siyo mamlaka ya palestina, israel au tanzania waliolaani hiko kitendo mpaka sasa, basi ndo ujue kuna namna hapa..
wakilaan mnasema wanatengeneza maigizo
 
Yule dogo eti anasema Israel chuo then anaonekana GAZA ambako Hakuna chuo wala collage ni kama open air prison. What was he doing there???
Hamas lazima eneo Lao walitreat kama eneo LA vita so anyone haelewi tena foreigner lazima watakudhuru tu.
Kuna kitu zaidi kinafichwa kuhusu huyu dogo. Mimi nazani alikuwa 007 alitumwa maana Israel hawataki ndugu zao wafe kizembe so wanawatumia sana Africans hasa Ethiopians kama 007...ni mawazo yangu tu ya mbali nikiwa naota
kwan wale mateka walifikaje Gaza ? hv kwa akili zako fupi unaeza mpeleka mtu mweusi Gaza kufanya shughuli za kijasusi ? au kijeshi kama mnavyotaka kudanganya dunia
 
Ndio wanasema ni Gaza na kama pale ni Israel then. Story ndio Inakuwa haina maana kabisa. Maana jamaa Wana AKA 47 halafu pembeni wanapita raia WA israel bila hata hofu wanatembea na wala Hao hamas wahahangaiki nao??? It does not make any sense. Kama tu walivyovuka ule uzio wanasema wakaua raia WA Israel waliokuwa kwenye party na kuiteka wengine. Ndio wawe na aka then eneo LA Israel wabaki wanahangaika na mtu mweusi WA Tanzania huku wanawaacha raia WA israel wanapita..... Weeeee.
muda mfupi mmesema ilikuwa Gaza na mtu kaja kakanusha sio Gaza , ss hv mnasema na raia wa Israel walikuwa wanapita , raia wa israel anafananaje ? ili tujue tofaut yao na wana Gaza
 
Back
Top Bottom