Katika kuwalinda watoto, mambo kama haya mitandaoni ndio ninayoyapiga vita Kila siku

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
25,725
Reaction score
78,589
Inawezekana likawa ni suala ambalo watu mmelizoea mitandaoni na kulichukua poa tu lakini Kwa maoni yangu Binafsi ni jambo la hatari linaloharibu watoto ambao ndio kizazi cha kesho.

Narudia kama tutashindwa kuweka mikakati ya kuwalinda watoto dhidi ya upuuzi Huu unaoendelea, ni wazi tutakua na Taifa la ovyo, la kishetani ,Taifa ambalo litakua halina Vijana wa kuliendeleza.

Inakuaje Nchi inaacha Wapuuzi wachache hawa kufanya suala la Ushoga ni kitu Cha kawaaaida Cha kuzungumiaa popote pale namna hii??. Kwanini hamuigi SERA ZA CHINA na URUSI katika kulinda mtoto mitandaoni?. Chapisho kama hili, huyu Wema, na huyu mjinga mwenzie, pamoja na hiyo Online TV walikua wanafikishwa katika Sheria.

Screenshot_20241124_162731.jpg

Manini haya sasa??.
Screenshot_20241124_163225.jpg

Hapana tunayo maadili yetu bana, hatupaswi kua Kichwa Cha mwendawazimu, yaan tupo kama hatupo, maadili yanazidi kumomonyoka.

Kweli haya ndio yawe yanajazwa kwenye vichwa vya watoto wetu ambao baada ya miaka Kadhaa wanakuja viongozi??.

Hawa ni Wa Australia, wao wamepiga marufuku watoto chini ya miaka 18 kutokua na Access ya mitandao Jamii, na Wajibu wa kusimamia wamepewa wamiliki wenyewe.
Screenshot_20241121_115936.jpg

Kwamba nasisi kama Nchi tukiwataka Hawa wamiliki wa mitandao ya kijamii walisimamie hili, watakataa??.

Wakati huohuo TCRA na Wizara husika, mkija na Sheria machachari za kuwalenga Hawa watu wanaotumia mitandao ya kijamii kueneza Ushoga , sio kwamba Kuna hatua tutakua tumepiga?.

Yaan hapa, Ushoga ubaki wako binafsi, na badala yake Sheria ijikite kwa yoyote yule anayefanya vitendo hivo kutumia mitandao kijamii, kisa bando ni lake auzungumzie , hapa muhusika awajibike si tu Kwa yeye kua Shoga, Bali Awajibike Kwa makosa ya kutumia mitandao Jamii kueneza jambo ambalo kimaadili ni Kosa .
 
Hawa TCRA ni watanzania ambao wamejaza matope vichwani.

Wao wanapambana na NEY wa mitego, na kufungia mitandao ya kijamii sababu ya Siasa .
Inafikirisha Sana Aise... TCRA ndo kiongozi number moja kuporomosha maadili kupitia social media..
 
Inawezekana likawa ni suala ambalo watu mmelizoea mitandaoni na kulichukua poa tu lakini Kwa maoni yangu Binafsi ni jambo la hatari linaloharibu watoto ambao ndio kizazi cha kesho.

Narudia kama tutashindwa kuweka mikakati ya kuwalinda watoto dhidi ya upuuzi Huu unaoendelea, ni wazi tutakua na Taifa la ovyo, la kishetani ,Taifa ambalo litakua halina Vijana wa kuliendeleza.

Inakuaje Nchi inaacha Wapuuzi wachache hawa kufanya suala la Ushoga ni kitu Cha kawaaaida Cha kuzungumiaa popote pale namna hii??. Kwanini hamuigi SERA ZA CHINA na URUSI katika kulinda mtoto mitandaoni?. Chapisho kama hili, huyu Wema, na huyu mjinga mwenzie, pamoja na hiyo Online TV walikua wanafikishwa katika Sheria.

View attachment 3165830

Manini haya sasa??.
View attachment 3165832

Hapana tunayo maadili yetu bana, hatupaswi kua Kichwa Cha mwendawazimu, yaan tupo kama hatupo, maadili yanazidi kumomonyoka.

Kweli haya ndio yawe yanajazwa kwenye vichwa vya watoto wetu ambao baada ya miaka Kadhaa wanakuja viongozi??.

Hawa ni Wa Australia, wao wamepiga marufuku watoto chini ya miaka 18 kutokua na Access ya mitandao Jamii, na Wajibu wa kusimamia wamepewa wamiliki wenyewe.
View attachment 3165836

Kwamba nasisi kama Nchi tukiwataka Hawa wamiliki wa mitandao ya kijamii walisimamie hili, watakataa??.

Wakati huohuo TCRA na Wizara husika, mkija na Sheria machachari za kuwalenga Hawa watu wanaotumia mitandao ya kijamii kueneza Ushoga , sio kwamba Kuna hatua tutakua tumepiga?.

Yaan hapa, Ushoga ubaki wako binafsi, na badala yake Sheria ijikite kwa yoyote yule anayefanya vitendo hivo kutumia mitandao kijamii, kisa bando ni lake auzungumzie , hapa muhusika awajibike si tu Kwa yeye kua Shoga, Bali Awajibike Kwa makosa ya kutumia mitandao Jamii kueneza jambo ambalo kimaadili ni Kosa .
Hiyo tv yenyewe huyo mwandishi nadhani ni form 0
 
Ndio maana nasema watoeni watoto wenu shule za English Mediums waleteni Kayumba.
 
Mi ugomvi wangu na Wema Sepetu.
Kwa nini anakubali kuchezewa na huyu mwananke.
 
Post kama hii, MTU anaelezea kitu as if ni kitu chema machoni mwa watoto , mtoto anasoma, anaona aaahh kumbe ni sawa tu.

Kwànn tunaruhusu hizi mbuzi kuharibu watoto wetu?.
Screenshot_20241201_170258.jpg
 
Back
Top Bottom