Katika mahusiano kuna age fulani ikifika unasema ningelijua, ndio basi tena

Katika mahusiano kuna age fulani ikifika unasema ningelijua, ndio basi tena

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Leo ni mekumbuka enzi nzangu ni kipindi ni kiwa kijana.

Nilimpata binti mmoja ambaye ujana wangu sikuwa na mda wa kumpa kama wafanyao wapendanao.

Ilifikia tuka tengana naye mikoa tofauti kabisa kwa vile kwao ni mkoa mwengine.

Baada ya kuanzishwa facebook mpaka ilivyoanza kuingia kwenye simu janja maana zamani facebook lazima utumie kompyuta na simu zinazotumia opera mini za zamani.

Simu janja zilivyoingia nilibahatika kumuona kwenye facebook nako nika puuzia tu,kipindi kazi za kusaka maisha yalikuwa bize sana.

Jana nimekutana na rafiki yangu tulipotezana tokea mwaka 2011.

Kanieleza yule mtu wako sasa kawa injinia na yupo zake USA.Kashaolewa.

Leo asubuhi na mwangalia mke wangu huyu shirole pro max.
 
Jambo la kawaida kwenye maisha hilo mkuu. Maana yake ungekuwa destiny destroyer kwake. Angekuwa hapo Namtumbo naye akakutana na shosti yake wa 2011 akaambiwa yule kijana uliyemkataa sasa yupo Marekani amemuoa yule Faraja mpole tuliyekuwa tunamtangulia darasa.

Ungerudi ukakuta anaumwa kichwa, hajapika.
 
You should't regret past decisions,like I wish i could,

Coz at the moment you made them,they felt right or valuable,even if things changed later,
It's about accepting past choices,not dwelling on regret,and recognizing that your perspective and circumstances evolve,So once a good choice might not be now.
 
Unapotamani Baba yako angekua Mo Dewji kisa hela,na Baba yako pia huenda anatamani na wewe mtoto wake ungekua Mbwana Samata,

Maisha hayapo hivyo,life is very short,there's no time to regret in Life,

Love the life u live
Live the life u love,
 
USA kuna jamaa yangu anafanya kazi ya bar .Ila huku nyumbani kajenga kijichi gorofa na gari za kusafirisha mizigo ziko mbili.
Haya we mwenzangu na mimi tunafanya kazi benk au kampuni kubwa tuna nini.
Kima Cha chini Cha mashahara wa mfanyakazi wa kawaida ni Kati ya dollar 15 mpaka 19 kwa saa

Anaishi vipi US kulipa bills ,na kufanya saving zake mpaka ajenge ghorofa bongo?
 
Kima Cha chini Cha mashahara wa mfanyakazi wa kawaida ni Kati ya dollar 15 mpaka 19 kwa saa

Anaishi vipi US kulipa bills ,na kufanya saving zake mpaka ajenge ghorofa bongo?
Nikusanuwe tu.USA kuna majimbo utaishi kulingana na utafutaji wako na mzunguko wake.

Sio lazima ukaishi kama NY useme utoboe kirahisi.

Mtu anaweza kusema nipo USA kumbe yupo mennisota huko kwa wasomali
 
Upo sahihi ila kwa kipato Cha dollar 19 kwa saa , bado una kazi nzito ya kufanya ili ujenge ghorofa bongo
uzuri wa USA unafanya kazi kwa masaa na ukitoka kazi hii unafanya hii.Ukileta umwinyi wa kutoweka malengo mda fulani unaweza kujikuta unazeekea huko.

Usd 19 ni kwa saa mfano kazi fulani umefanya masaa 3 .Kibongo ukitoa usd 10 kila siku we nyumbani ujengi.
 
Back
Top Bottom