Katika mahusiano kuna age fulani ikifika unasema ningelijua, ndio basi tena

Katika mahusiano kuna age fulani ikifika unasema ningelijua, ndio basi tena

Ndugu Ngwathra tupatie uzoefu wako kidogo
Nina rafiki mkenya anafanya CNA, wakati wa Covid alikuwa Alaska na alikunja zaidi ya $200k kwa mwaka akanunua ardhi kubwa ya kutosha Nairobi na kuweka columns za ghorofa 4 tu akapata wahindi wakarent floor zote na kumalizia jengo lote anakula vizuri tu sasa hivi! Just CNA course yake ni 4 weeks kwa state karibu zote tu
 
Nina rafiki mkenya anafanya CNA, wakati wa Covid alikuwa Alaska na alikunja zaidi ya $200k kwa mwaka akanunua ardhi kubwa ya kutosha Nairobi na kuweka collumns za ghorofa 4 tu akapata wahindi wakarent floor zote na kumalizia jengo lote anakula vizuri tu sasa hivi! Just CNA course yake ni 4 weeks kwa state karibu zote tu
Yeah nakubali , ila kwa mada husika inawezekana pia huyo bibie anachakaa tu bwashee 😅,Mimi binafsi naona kama bongo pamekushinda hata US patakuchakaza tu japo Kuna ka unafuu fulani
 
Leo ni mekumbuka enzi nzangu ni kipindi ni kiwa kijana.

Nilimpata binti mmoja ambaye ujana wangu sikuwa na mda wa kumpa kama wafanyao wapendanao.

Ilifikia tuka tengana naye mikoa tofauti kabisa kwa vile kwao ni mkoa mwengine.

Baada ya kuanzishwa facebook mpaka ilivyoanza kuingia kwenye simu janja maana zamani facebook lazima utumie kompyuta na simu zinazotumia opera mini za zamani.

Simu janja zilivyoingia nilibahatika kumuona kwenye facebook nako nika puuzia tu,kipindi kazi za kusaka maisha yalikuwa bize sana.

Jana nimekutana na rafiki yangu tulipotezana tokea mwaka 2011.

Kanieleza yule mtu wako sasa kawa injinia na yupo zake USA.Kashaolewa.

Leo asubuhi na mwangalia mke wangu huyu shirole pro max.
Maisha ni kuchagua na kufanya uhamuzii sahihii..

Hii DUNIA tuna ishi once ishii maamuzii Yako 😊 😁

Mwache enginer wewe endelea na SHILOLE PRO MAX😂

NB. ENGINEER MLITENGANA KWA SABABU YA DEVINE PURPOSES..
 
Nina rafiki mkenya anafanya CNA, wakati wa Covid alikuwa Alaska na alikunja zaidi ya $200k kwa mwaka akanunua ardhi kubwa ya kutosha Nairobi na kuweka collumns za ghorofa 4 tu akapata wahindi wakarent floor zote na kumalizia jengo lote anakula vizuri tu sasa hivi! Just CNA course yake ni 4 weeks kwa state karibu zote tu
Sawa tuambie nawale walio kaa hata zaidi ya miaka 20 ila hawana hatapakufikiwa wakija Africa, dollor 200k ni sawa na 500m za kitanzania its possible kuikusanya sio ajabu sana. Ila zaidi ya 70% hawana kitu.
 
Yeah nakubali , ila kwa mada husika inawezekana pia huyo bibie anachakaa tu bwashee 😅,Mimi binafsi naona kama bongo pamekushinda hata US patakuchakaza tu japo Kuna ka unafuu fulani

Ni kweli, kama huna viwango bongo huwezi kuwa na viwango popote duniani, maisha yapo kwa the stronger tu mkuu! Na the stronger survives popote so ukifeli bongo utafeli kila mahali
 
Sawa tuambie nawale walio kaa hata zaidi ya miaka 20 ila hawana hatapakufikiwa wakija Africa, dollor 200k ni sawa na 500m za kitanzania its possible kuikusanya sio ajabu sana. Ila zaidi ya 70% hawana kitu.

Mkuu unaweza kufeli kila mahali ila US kuna chances kubwa sana za kufanikiwa ukiwa na maarifa na ubunifu kuliko home.
 
Mkuu unaweza kufeli kila mahali ila US kuna chances kubwa sana za kufanikiwa ukiwa na maarifa na ubunifu kuliko home.
Agraduate wa hapa bongo ukimpa hiyo pesa ya nauli kuenda US which roughly 7000 dollors anze maisha is most likely kutoboa mapema kuliko akienda ugaibuni ambao anaanza upya elimu au atafanya odd jobs.....matajiri wengi bongo hawana historia ya kupata pesa nje wameanzia hapa hapa.
 
Sawa tuambie nawale walio kaa hata zaidi ya miaka 20 ila hawana hatapakufikiwa wakija Africa, dollor 200k ni sawa na 500m za kitanzania its possible kuikusanya sio ajabu sana. Ila zaidi ya 70% hawana kitu.
Kua na mafanikio hakutegemei tu unapata kiasi gani cha fedha kwa siku au kwa mwezi,

Inahitajika nidhamu ya fedha,malengo na mipango yako,unaweza ukawa unapata kiasi kidogo cha fedha na ukakitumia vizuri kujiendeleza,na unaweza ukawa unapata kiasi kikubwa cha fedha ila ukawa huna maendeleo yeyote,

Hapa ni issue ya tabia ya mtu na sio kipato anachokipata.
 
Back
Top Bottom