min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Bongo fusra zipo kibao moro , katavi mpanda ,tabora fusra za kilimo zimezagaa vibaya sana, tatizo mnabanana hapo daslamu kujambiana tu hovyo kwenye mwendo kasi"Bongo kazi nzuri la kuchimba kokoto"
Maisha mazuri yapo mbele kwa mbele .Hii nyimbo sikumbuki jina la huyu