Katika mahusiano kuna age fulani ikifika unasema ningelijua, ndio basi tena

Katika mahusiano kuna age fulani ikifika unasema ningelijua, ndio basi tena

Miezi kadhaa nyuma nilienda abroad nikakaa kama mwezi mmoja, nilichojifunza nyumbani ni kuzuri sana na maisha yetu ya kitanzania jinsi tunavyosocialize hayana mfano popote hapa duniani, kwa sasa sifikirii tena kwenda nchi yeyote kutafuta maisha kwasababu Tanzania yetu ni nzuri sana, usiporead between the lines huwezi kunielewa ila ukituliza macho mara nne tano unaweza kuelewa, coca wetu.
Labda ulienda ukazamia ulifika kwa madiba hapo.
Ujafika nchi ya USA.Nenda hapo jimbo la alaska tu ya USA.
Utanishurukuru.
 
KUNA MDADA NILIPENDAN NAE SANA 2001 MPAKA 2003 NKASHAURI TUOANE AKASEMA MAPEMA SANA DAH 2005 NKAOA NKAKUMBANA NA KICHAA MWEUPE NKAKIMBIA NDOA
.2007 NKARUDI KWA MAHUSIANO NA MDADA WA KAWAIDA NIKAMWKMEKA SAWA TUKANZA KUPAMBANA NDUGU WEWE ACHA TU ...SIKU NAMKUTA ANATEMBEA LUGALO KUITAFTA MWENGE NKAPAKI NKAMWITA AKAINGIA KWA GARI

NKAONGEA NAE SANA NN SHIDA NAE AKAYAPITIA YA KUPITIA KAPANGA KAWE MWENYEWE KAZI ALIFUKUZWA ANAFANYA KWA JAMAA MWENGE MADUKA YA NGUO

ANYWAY...NKAMTAFTA TENA NIKAMSAIDIA SOME BUSSINESS NW KANA BIASHARAYALE YA GAS ANAUZA ANAINGIA NYUMBAN HAPOHAPO

N MUNGU ANAPANGA KILA.KITU NT ABOUT AGE
Hii hatarinmpwa
Hatareee sio kidogooo mpwa a haya Mambooo sikia kwa watuu
 
Upo sahihi ila kwa kipato Cha dollar 19 kwa saa , bado una kazi nzito ya kufanya ili ujenge ghorofa bongo
I know people wanaolamba $25 na wakafanya mambo makubwa tu nyumbani but it depends sn na unafanya fani gani, hasa inayokupa overtime na bonuses!
Hawa mnao waongelea hapa mwenye kupata hizo $19 to $25 ni wale wa viwandani na fast food. Kuna watu kwa saa wanapata $200 na zaidi, kuna wana wanapata $2,000 mpaka $3,000 kwa wiki kule.

Mfano bongo hapa kuna wana wanalipa Tzs 3000 kwa siku na kuna wanao pata Tzs10,000 kwa siku na wapo wanapata laki kadhaa na wapo wa million kadhaa pia. Inategemea na kazi utakayoifanya
 
Sawa tuambie nawale walio kaa hata zaidi ya miaka 20 ila hawana hatapakufikiwa wakija Africa, dollor 200k ni sawa na 500m za kitanzania its possible kuikusanya sio ajabu sana. Ila zaidi ya 70% hawana kitu.
Sasa hii si sawa na raia kibao happa Tz wanaajira serikalini na private huko ila maisha yao ni magumu kupindukia.
 
Haina age mkuu
Unaweza Pata demu mzuri tabia nzuri una 24 ukaogopa kuoa kiss hana maisha una 30 uko lwa wazazi unashangaa demu kaolewa
Ana nyumba gafla
Ana gari
Anakupa lift
Unamwomba nauli anakupa
Ooh isikukute weee
Pole mkuu.
 
Wanao chakaa ni wale wasio na ujuzi, Ubunifu, na uchapakazi.

Yaan mie nikiingiaa kwa Trump, miaka yangu 3 nakua yuleeeeee, sio huyu tenaa.

Elimu, ujuzi, ubunifu, uchapakazi, vyote ninavyo.
Tatizo sehemu niliyopo hainipi uwanda wa kufanya hivyo, bora nisepeee zangu.

Kwani huku watu hawachakaiii? Tena wako hoe hae hatariiii.
Bwana wee usitishe watu, wanakuja huko wajionee wenyewee.
😂😂😂😂😂😂
Achana nae huyu. Kaa mkao mngoni wwangu uje tujenge maisha.

Ngoja huyu Trump alegeze masharti, bongo sio utachakaa kama gari za taka za jiji.
 
Hawa mnao waongelea hapa mwenye kupata hizo $19 to $25 ni wale wa viwandani na fast food. Kuna watu kwa saa wanapata $200 na zaidi, kuna wana wanapata $2,000 mpaka $3,000 kwa wiki kule.

Mfano bongo hapa kuna wana wanalipa Tzs 3000 kwa siku na kuna wanao pata Tzs10,000 kwa siku na wapo wanapata laki kadhaa na wapo wa million kadhaa pia. Inategemea na kazi utakayoifanya
Yes jamaa aliongelea kiwango cha chini kabisa ndo maana siku ongelea professionals wapo watu wanakunja pesa nzuri tu
 
You should't regret past decisions,like I wish i could,

Coz at the moment you made them,they felt right or valuable,even if things changed later,
It's about accepting past choices,not dwelling on regret,and recognizing that your perspective and circumstances evolve,So once a good choice might not be now.
Na huku tena! Naona unatema madini tu mkuu.

Nina demu kila siku ni anajuta juta tu namwambia machine na mambo ya kujutia past yeye hakomi.


Binafsi siipendi kabisa tabia ya kujuia past.
 
"Bongo kazi nzuri labda kuchimba kokoto"

Maisha mazuri yapo mbele kwa mbele .Hii nyimbo sikumbuki jina la huyu
Anaitwa Dj Yusufu,nilikutana nae Birmingham 2017,nyie chadema muwe mnatuheshimu wakubwa wenu.hahaah
 
Back
Top Bottom