Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
- Thread starter
- #41
Uwe unaacha uwongo bwana.Hivi kilo ya nyama unajua shingapi?Kua na mafanikio hakutegemei tu unapata kiasi gani cha fedha kwa siku au kwa mwezi,
Inahitajika nidhamu ya fedha,malengo na mipango yako,unaweza ukawa unapata kiasi kidogo cha fedha na ukakitumia vizuri kujiendeleza,na unaweza ukawa unapata kiasi kikubwa cha fedha ila ukawa huna maendeleo yeyote,
Hapa ni issue ya tabia ya mtu na sio kipato anachokipata.
Kipato unachoingiza unaweza kumudu gharama za maisha.
kilo mbili ya nyama ni elfu 20 na mshahara wako ni laki tano kwa mwezi.
hapo ujakatwa mpaka nadeni