min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Huwa nafungua code za ukweli ila wanaona huyu mlevi wa hapo hapo kibosho tuBwashee hebu wape hawa vijana elimu ya maisha,
Au tuwaache tu watakuja kutuelewa huko mbeleni?
😀😀
Huwa nafungua code za ukweli ila wanaona huyu mlevi wa hapo hapo kibosho tuBwashee hebu wape hawa vijana elimu ya maisha,
Au tuwaache tu watakuja kutuelewa huko mbeleni?
😀😀
Nasemajee, toa vitisho vyote unavyojua wee, sema yote yanayo ogofyaa.Bongo unaweza ishiwa chumvi ukaomba kwa mama Aisha , pakulala hutokosa , ukichakaa US unachakaa kweli utarudi bongo na bichwa kubwa tu nasaa nzuri
Ingia CH uje usikilize watu walivyo na stress za maisha 😂Nasemajee, toa vitisho vyote unavyojua wee, sema yote yanayo ogofyaa.
Ila ni hivi, lazima nitue kwa Sope wa kizungu,
Nataka kujionea mwenyewee.
😂😂😂😂😂😂Ma disapora wanacho kataa ukifika kule utafahamu kazi anayofanya na yupo makazi gani.
Sawa na mtu kwenda kijiji kwao anawaambia anaishi DSM kumbe yupo chamanzi huko kwenye komborera na kazi zake kusambaza soda.
Kwamba utaishi bila kutafuta wenzako?😂😂😂😂😂😂
Yaani mie niende USA, badala nikapambanie kilichonipeleka nianze kutafuta wabongo wenzangu wanaishi wapi na wanafanya kazi gani?
Huo upumbavu sijajaliwa, kwa kwelii.
😂😂😂😂😂
Mbona wee huna stress za maisha? Kwani wote walioko huko wana stress za maisha?Ingia CH uje usikilize watu walivyo na stress za maisha 😂
Niwatafute kwanini? Kwani mie nimewafata wao?? Au wao ndo sababu ya mie kwenda huko??Kwamba utaishi bila kutafuta mwenzako?
Ulivyo kabishi wewe muha bila shakaMbona wee huna stress za maisha? Kwani wote walioko huko wana stress za maisha?
Wee bhana ungekua una hoja yenye mantiki, ungesema labda watu waje huko wakiwa wamejipanga vilivyo kwa maisha ya huko.
Sio kutoa vitisho generally, unahisi hakuna watu wa karibu au tunao wafahamu wako huko USA?
wapo na tunawajua, tunawaona. Hivyo hakuna jipya hapa.
Acha watu waamue hatima ya maisha yao.
Kuna Leo na keshoNiwatafute kwanini? Kwani mie nimewafata wao?? Au wao ndo sababu ya mie kwenda huko??
Nafanya kilicho nipeleka huko, sina mda wa kuhangaika na asiyenihusu. Hata hapa hapa kwetu niko hivyo yaani.
😂😂😂😂😂Ulivyo kabishi wewe muha bila shaka
Ni sawa, ila sio kivileee.Kuna Leo na kesho
Karibu sana bariadi tulime mpunga majaruba kwa majaruba😅😂😂😂😂😂
Nakuja huko huko tuchakae wote.
Agraduate wa hapa bongo ukimpa hiyo pesa ya nauli kuenda US which roughly 7000 dollors anze maisha is most likely kutoboa mapema kuliko akienda ugaibuni ambao anaanza upya elimu au atafanya odd jobs.....matajiri wengi bongo hawana historia ya kupata pesa nje wameanzia hapa hapa.
Mkuu unahabari kwamba wahindi 90% ni maagent hizo biashara sio zao kazi yao ni usimamizi tu wenye biashara wako ughaibuni, wahindi wanacho zidi wa africaKama nilivyosema maisha hayana formula unaweza ukawa na hiyo $7k bongo na isifanye lolote, ni kweli matajiri (weusi) wengi wa bongo hawana historia ya kwenda nje lakini wahindi na jamii zingine za weupe wamechumia nje wakaja kuwekeza bongo na ndio maana utajiri wao unasonga na unadumu, mweusi akipata msukosuko kidogo tu anarudi zero, na anafutika. Wangapi bongo wanapata mamia ya milioni kwa kwa mwaka na wanafunga bila hata nauli ya likizo?
Wakati nasoma chuo kulikuwa na makampuni mengi tu ya weusi yaliyokuwa yanafanya vizuri leo hii hayapo, kumbuka mabasi ya Scandinavia, Buffalo, Ngorika, na nyingine mamia. Ila hutasikia kampuni kama za kina Dewji wenye exposure zimekufa!
Mkuu unahabari kwamba wahindi 90% ni maagent hizo biashara sio zao kazi yao ni usimamizi tu wenye biashara wako ughaibuni, wahindi wanacho zidi wa africa
1. Exposure ya nje
2. Uaminifu kwenye biashara.
3.financial discpline
4. Uvumilivu wa kazi. nk.
Otherwise wabongo wana pesa na mitaji mikubwa ila hawana wasimamizi sahihi, wahindi ni masikini sana kule kijiji kizima kinachangia mtu moja aende Ulaya au Marekani, wakati hapa almost kila familia inaweza kughalamikia au kutuma mwanafamilia moja nje US.
Hii hatarinmpwaHaina age mkuu
Unaweza Pata demu mzuri tabia nzuri una 24 ukaogopa kuoa kiss hana maisha una 30 uko lwa wazazi unashangaa demu kaolewa
Ana nyumba gafla
Ana gari
Anakupa lift
Unamwomba nauli anakupa
Ooh isikukute weee
Kwanini katavi umeingangania sana😬😬😬Bongo fusra zipo kibao moro , katavi mpanda ,tabora fusra za kilimo zimezagaa vibaya sana, tatizo mnabanana hapo daslamu kujambiana tu hovyo kwenye mwendo kasi
Kwa sababu napajua bwasheeKwanini katavi umeingangania sana😬😬😬
Wapo wengine wanalea vizee na wamewekeza bongo.USA kuna jamaa yangu anafanya kazi ya bar .Ila huku nyumbani kajenga kijichi gorofa na gari za kusafirisha mizigo ziko mbili.
Haya we mwenzangu na mimi tunafanya kazi benk au kampuni kubwa tuna nini.
Miezi kadhaa nyuma nilienda abroad nikakaa kama mwezi mmoja, nilichojifunza nyumbani ni kuzuri sana na maisha yetu ya kitanzania jinsi tunavyosocialize hayana mfano popote hapa duniani, kwa sasa sifikirii tena kwenda nchi yeyote kutafuta maisha kwasababu Tanzania yetu ni nzuri sana, usiporead between the lines huwezi kunielewa ila ukituliza macho mara nne tano unaweza kuelewa, coca wetu.Mie mtu hanidanganyi kuhusu maisha, afu sijuagi kwanini Disapora wengi hawapendi wenzao waende huko majuu yaani story zao mda wote kukatisha tamaa wenzao kuhusu maisha ya huko nje...
Utashangaa wanavyoipamba nchi yetu ina fursa nyingi za kutoboa, ili hali wao wamekimbia.
Ni WANAFIKI na KIJICHO. lol.
😂😂😂