we acha tu yani sasa hivi na mimi ningekuwa Nyani NgabuUkawa unamringia😁
we acha tu yani sasa hivi na mimi ningekuwa Nyani Ngabu
😁😁😁 ndio basi tena.USA kuna jamaa yangu anafanya kazi ya bar .Ila huku nyumbani kajenga kijichi gorofa na gari za kusafirisha mizigo ziko mbili.Huwa sijui ni nani Alie wadanganya kila anae ishi US kayapatia maisha🤔
Wakati hata hapo Bongo wapo waliyoyapatia maisha,Huwa sijui ni nani Alie wadanganya kila anae ishi US kayapatia maisha🤔
Kima Cha chini Cha mashahara wa mfanyakazi wa kawaida ni Kati ya dollar 15 mpaka 19 kwa saaUSA kuna jamaa yangu anafanya kazi ya bar .Ila huku nyumbani kajenga kijichi gorofa na gari za kusafirisha mizigo ziko mbili.
Haya we mwenzangu na mimi tunafanya kazi benk au kampuni kubwa tuna nini.
Nikusanuwe tu.USA kuna majimbo utaishi kulingana na utafutaji wako na mzunguko wake.Kima Cha chini Cha mashahara wa mfanyakazi wa kawaida ni Kati ya dollar 15 mpaka 19 kwa saa
Anaishi vipi US kulipa bills ,na kufanya saving zake mpaka ajenge ghorofa bongo?
KIla saa moja ananunua mifuko miwil ya cement bongoKima Cha chini Cha mashahara wa mfanyakazi wa kawaida ni Kati ya dollar 15 mpaka 19 kwa saa
Anaishi vipi US kulipa bills ,na kufanya saving zake mpaka ajenge ghorofa bongo?
Upo sahihi ila kwa kipato Cha dollar 19 kwa saa , bado una kazi nzito ya kufanya ili ujenge ghorofa bongoNikusanuwe tu.USA kuna majimbo utaishi kulingana na utafutaji wako na mzunguko wake.
Sio lazima ukaishi kama NY useme utoboe kirahisi.
Mtu anaweza kusema nipo USA kumbe yupo mennisota huko kwa wasomali
uzuri wa USA unafanya kazi kwa masaa na ukitoka kazi hii unafanya hii.Ukileta umwinyi wa kutoweka malengo mda fulani unaweza kujikuta unazeekea huko.Upo sahihi ila kwa kipato Cha dollar 19 kwa saa , bado una kazi nzito ya kufanya ili ujenge ghorofa bongo
Upo sahihi ila kwa kipato Cha dollar 19 kwa saa , bado una kazi nzito ya kufanya ili ujenge ghorofa bongo