Tajiri mkopeshaji
JF-Expert Member
- Dec 24, 2022
- 613
- 1,445
Ni kweli mm nilioa mlokole..aiseeee nilijutaMara mia au anasali tu siyo wale wanajiita waowenyewe walokole
Hizo takwimu zimewataja walokole na washirikina?
πͺMwanaume au mwanamke mwenye Imani za kishirikina au mwanaume/mwanamke mwenye kujifanya mlokole sana.Mara mia adui unaemfahamu kuliko usiyemfahamu.Sishangai takwimu za maambukizi ya VVU kupatikana Kwa kiwango kikubwa Kwa wanandoa kuliko waseja na mabachela NUKTA
Kumejaa waganga wa jadiπ€£π€£π€£Kuna nini huko mkuu
Ujue mnajisumbuaga tu mwanaume malaya ni malaya tu kamwe huwezi kumzuiaYaan hatarii....saivi wanawake wengi bila ndumba hawajiamini
nakazia...mwanaume/mwanamke mwenye kujifanya mlokole sana.
π€£π€£π€£π€£π€£ JamanMama mdogoπ π ππ
π πππ€£π€£π€£π€£π€£ Jaman
utafaidika sana kuliko kuolewa na mlokole.[emoji23][emoji23][emoji23] Nasma kwahiyo unataka tuolewe na wapagani?!!