Katika mahusiano ogopa sana watu hawa

Ndiyo kuchepuka huko kunaleta maradhi
 
Ndo hao kujifanya walokole.....wakikerwa hawana maamuzi mengine zaidi ya Kuua au kuniua eti mwende wote mbinguni[emoji849]
Hilo chaguo lako dadaa, uokoke usiokoke hakubadilishi mental capacity na personality yako.
 
Huna hoja.
 
mahusiano na mtu mwenye imani za kishirikina ni kujitafutia mazonge sio madogo kabisa. ni bora uishi na changu doa kuliko mshirikina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…