Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BINADAMU HAWANA FORMULA UNAYEMWONA MBAYA LEO KESHO ANAWEZA AKAWA MZULI WAKO NA UNAYEMUONA MZULI WAKO LEO KESHO ANAWEZA KUWA NDO MBAYA WAKO.Mwanaume au mwanamke mwenye Imani za kishirikina au mwanaume/ mwanamke mwenye kujifanya mlokole sana. Mara mia adui unaemfahamu kuliko usiyemfahamu.
Sishangai takwimu za maambukizi ya VVU kupatikana Kwa kiwango kikubwa kwa wanandoa kuliko waseja na mabachela NUKTA
Unyama 😋😋Tulia katika kuchagua
SahihiBINADAMU HAWANA FORMULA UNAYEMWONA MBAYA LEO KESHO ANAWEZA AKAWA MZULI WAKO NA UNAYEMUONA MZULI WAKO LEO KESHO ANAWEZA KUWA NDO MBAYA WAKO.
KWA WALE WALIOWA NADHANI WANANIELEWA
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Kuna muda unaongea mapointiiii aiseeeYaan hatarii....saivi wanawake wengi bila ndumba hawajiamini
Ogopa pia mwanaume asiyekunywa hata wine.
Mke mlokole ...akishasema baba mchungaji kasema..hapo ata uje na trekta umpeleki mahali
Jamaa yangu alipata demu wa kilokole si akajua hapa ndio penyewe naoa. Demu kumbe ana gono
Mademu wanao jifanya sana kwenda kanisani asilimia kubwa wanaficha mauchafu yao
Njoo tuyajenge basi baby Nasma🤣🤣🤣Yaan
Huko Kuna Wale watenda miujiza waliopalizwa humu duniani!!🤣🤣🤣Kuna nini huko mkuu