Katika mahusiano ogopa sana watu hawa

Katika mahusiano ogopa sana watu hawa

Good-bye

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2023
Posts
1,085
Reaction score
1,812
Mwanaume au mwanamke mwenye Imani za kishirikina au mwanaume/ mwanamke mwenye kujifanya mlokole sana. Mara mia adui unaemfahamu kuliko usiyemfahamu.

Sishangai takwimu za maambukizi ya VVU kupatikana Kwa kiwango kikubwa kwa wanandoa kuliko waseja na mabachela NUKTA
 
Nijuavyo mimi mnyanduo haramu ipo kwa watu wa kada zote, ila nimepata mashaka kwa huo utafiti kwa kuwa walokole na washirikina ndio wakuogopwa, why hao tu?
Mshirikina huwez kaa nae Kwa amani...anaweza fukuzisha nduguzo wote akiwahusisha na mambo hayo ndani kwake.....walokole uchwara ndoa zipo kwenye majuto Kila kitu baba mchungaji mume kageuzwa ndo pepo mchafu
 
Mwanaume au mwanamke mwenye Imani za kishirikina au mwanaume/mwanamke mwenye kujifanya mlokole sana.Mara mia adui unaemfahamu kuliko usiyemfahamu.Sishangai takwimu za maambukizi ya VVU kupatikana Kwa kiwango kikubwa Kwa wanandoa kuliko waseja na mabachela NUKTA
Sidhani kama kweli. Pole yaliyokukuta.. Binadamu ndio walivyo. Njoo PM nikupe ushauri wa kisaikolojia
 
Back
Top Bottom