Katika maisha, nimejifunza kuwa mwanamke sio mtu wa kumuamini kabisa

Hahahahahah haya ndio yale yale nayosemea. Unakuwa na mpenzi wako ilihali nae ana mpenzi wake kwahio ngoma inogile. Unahudumia raia asiyejulikana kwa mgongo wa mchumba wako.
hela yangu mwenyewe ikampa mchongo wa kazi mwanaume mwenzangu[emoji17][emoji17]
 
Mkuu hebu malizia story kwa heshima yangu kwako
 

Chukuaa cm chapu, utakufa kwamawaoz usipo chukua hyo cm 🀣
 
Nimekumbuka ile nyimbo
'Kanunua simu kampa demu walivyoachaaaa kampokonya' πŸ˜‚
Eeh hata unapoacha kazi kampuni A kwenda B unafanya handover ya vitendea kazi vyote ikiwemo simu, laptop na hata gari kama ulikabidhiwa.

Ni utaratibu ulio wazi kabisa.
 
Tatizo linakuja unapomdanganya mwanaume ukapewa vitu vya thamani kumbe huna mpango naye.
Huu ni wizi na inaumiza sana.
Kama hunitaki usitake na vitu vyangu
Anataka akutapeli halafu ikitokea umemstukia eti umuachie tu ndio utaonekana JentomenπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ila ukisema uchukue zaga zako unaonekana mshamba πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Anataka akutapeli halafu ikitokea umemstukia eti umuachie tu ndio utaonekana JentomenπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ila ukisema uchukue zaga zako unaonekana mshamba πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Aisee Mimi cm na chukua ata gorokaa nabebaa
 
Ebu nipe mbinu ya kurudisha laki tatu nilizomkopesha mrembo mmoja niliekuwa nawinda kumhegegda lakini kanizidi akili mpaka sasa
Veteran ushaliwa mzee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kama ni wale wenye nyota mabegani andika maumivu tuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Majina haya mengine mnajiita yanawaletea mkosi, hebu fikiria unajiita kwishaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ si ndo umekwisha sasa. Anyway chukua simu sepa japo haimalizi maumivu
 
Tuwapende sana mademu ila tusiwape simu πŸ˜‚!!!
Simu ni silaha ambayo ukimkabidhi malaya asiye na akili inaweza kutumika kukuumiza kama lilivyo sime au panga.
 
Dah......wanaume wanazidi kupungua duniani........Kama umemtafuna achana naye tafuta hela....... Hata hivyo unatoaje zawadi kabla ya kwich kwich? Wenzio wanatuma nauli tu....tena nusu 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…