Katika maisha, nimejifunza kuwa mwanamke sio mtu wa kumuamini kabisa

Nami muhanga mwenzako kuna kidemu Nilikikopesha laki" hakitaki kunilipa, kina niambia baba yake anaumwa.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Bwana nakumbuka ule ushauri wa jamaa hapa jf usimuonee huruma mwanamke. Hawa ni nipe nikuoe ata alie mtoto wake anakufa wacha afe tuu ila usimuonee huruma kabisa
 
Pole Sana,

Ulimfanyaje??
 
Bwana nakumbuka ule ushauri wa jamaa hapa jf usimuonee huruma mwanamke. Hawa ni nipe nikuoe ata alie mtoto wake anakufa wacha afe tuu ila usimuonee huruma kabisa
Nilijua utatutetea 😂
 
Ndo mana juzi kunademu nimempa lift kesho yake nikala mzigo akijua mi ni bonge la bwana nilimsugua usiku kucha kwa fuja nika mpakia boda asubuhi na 5k mkononi ndo alipie boda hapo hapo yaan kanilaani laana zote mamaeee... Si wachekeagi kwenye hela
Nyie[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahaha unyama unyamani, malizia mkuu
 
Balaa duh wanawake hawana huruma aisee. Pole sana
 
Akienda bila simu je
 
Asisahau kutoa lock kabla hajachukua
 
Kuna ushaidi wowote unaothibitisha simu ni ya kwako? Kama haupo, achana naye; atakuharibia mambo yako mengine.
 
Wahuni sio watu, unamnunulia mpenzi wako simu halafu simu hio hio anaitumia kumpigia mpenzi wake. Maisha hayajawahi kuwa faire.

Halafu kuna kenge itasema mwanamke mpe
pesa au vitu anatulia vizuri.
Diamond alimnunulia zari hadi jumba la kifahari huko south Africa, mwisho pacha wa p-square akala tunda[emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…