Katika maisha, nimejifunza kuwa mwanamke sio mtu wa kumuamini kabisa

Nakubali[emoji1787]
 
But i said utamu doesnt count maana ata yeye kakupa utamu.
Therefore usiseme kuwa wanaume washamba kutaka vitu vyao baada ya breakup maana mpaka pale utakapo mpa handsome boy kitu kikubwa alafu akakubwaga ndio utaelewa uchungu tunaoupata
Usitoe kitu ikiwa huezi afford kukipoteza kama ndio hivyo. Kumpa mtu zawadi na mambo mengine kama hayo haikupi uhakika wa kupendwa milele. Ukiachwa achika chapa lapa kimya kimya.
 
Siku nyingine nunua kwa jina lako na risiti baki nayo wewe, akikuzingua karipoti polisi simu yako imeibwa na aliyeiba anaitumia. Anakamatwa kilaini na mali yako inarudi.
 
Ila ulipiga hata kamoja?
Kuliko kununua simu bora hiyo hela ungempelekea mamako kijijini akarabati kibanda anachoishi ungebarikiwa
 
Ili kumfanya aumie vizuri stop mahusiano mwachie sim maana utatafuta nyingine anza maisha mapya alafu piga kimya yani atakufa kwa presha. Imeisha hiyo...
 
Bora ata angekuwa anasema naishia kuona status tuu anajirusha sehemu za starehe mara anakula pizza mara yupo anaogelea sasa sijui nikodi watu wakamfumue marinda🤔🤔🤔🤔
akifumuliwa marinda utanufaika nini ndugu yangu. Au nipe namba yake tuu! Ipo namna flani hiv ya vijiti saba hapa atarudi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…