Katika maisha, nimejifunza kuwa mwanamke sio mtu wa kumuamini kabisa

Muachage viherehere hapo ukute kuna ndugu yako alikulilia shida lakini hukumsaidia ukamuona demu ni wa muhimu sana.

Halafu ishu kama izo ungezifanya kwa mkeo siyo kwa demu usingekuja hapa kulialia ndo ukome.
 
Umeacha kumsaidia wazazi wako umehonga demu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sema mkuu
 
Hivi hebu tujiulieze kwani wao wanatuamini.???manake kila siku sisi hatuwaamini
 
Ulimpa full box...? Kama box unalo nenda polisi kawaambie umepoteza simu umpe kesi ya wizi maumivu mpate wote tu.

Haya sio mawazo mkuu..kwani unadhani demu atakuwa hana text zao wakichati mapenzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapo ni kumwachia tuu kwani si alimsaidia!???jamaa ndo kakosea huwezi nunulia demu simu ya laki tatu usawa huu kisa unamtaka!!
 

Una uhakika hakukuacha na ngoma???ila ulitisha sana mkiu[emoji1487][emoji1487][emoji1487]sema next time ndomu muhimu wanangu
 

Nakazia
 
Ebu nipe mbinu ya kurudisha laki tatu nilizomkopesha mrembo mmoja niliekuwa nawinda kumhegegda lakini kanizidi akili mpaka sasa

We nawe ulishafeli mkuu dah[emoji23]mi demu nikifukuzia akintajia hela tu ndo bye bye hiyo!!
 
We nawe ulishafeli mkuu dah[emoji23]mi demu nikifukuzia akintajia hela tu ndo bye bye hiyo!!
Mzeya kuna wakati napo unazidiwa maujanja ndio hivyo sasa nafanyaje kupata hela yangu
 
kwisha unaenda kwao meaning ni mtoto wa Mama , ukiona mtu anadai kuwa nawengi pita hivi . Ukitaka honga mwanamke au mwanaume unawazazi wahonge mpaka wakuoe baraka mfululizo, sikia maisha nikujipa raha . Mie ni mwanamke nimemnunulia mwanaume simu nikamlipia ada nikamlipia geto la 60 kwa mwezi ila hilo geto wengine wanaliwa hadi tigo nikajua nikasepa nikamwacha . Na bado nikaja jf full vilio wanaume hakuna handsome kuna waomba vocha , haya niambie maisha haya utakufa au utalia maana katika harakati za maisha jaribu hadi uwin. Maisha nikuwin maisha sio kuloose mtafute mwanamke anayejituma anayekupenda na anayekujali basi .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…