Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Ebu nipe mbinu ya kurudisha laki tatu nilizomkopesha mrembo mmoja niliekuwa nawinda kumhegegda lakini kanizidi akili mpaka sasamkuu pole mimi ilinitokea miezi miwili nyuma nilimnunulia demu simu sumsung A11 nikampa ili mawasiliano yaimarike niendelee kufaidi mbususu kwa uhakika zaidi..
Sasa bhna baada ya kupokea simu kama wiki hivi nikaanza kuona mabadiliko kitu cha kwanza nilianza kuona ni siwezi kuona status zake WhatsApp nikajua hapa lazima namba imefutwa au privacy inatumika juu yangu ili nisione nini na nani anawekwa status.
Siku moja nikiwa nimetoka kazini mida ya saa kumi12 nikampigia mtoto nikamwambia nataka tuonane akanambia naomba iwe saa moja namalizia kupika nikamwambia sawa ilipo fika saa moja nikajisogeza maeneo ya kukutana nikawa nameza moto polepole muda unasonga .
Nilipo mpigia nikamwambia nakusubiri maeneo hapa uje akagutuka heee! umeshakujaa?? nikamwambia ndio akaanza sasa mbona umekuja na sijakwambia uje nikamjibu tulikubaliana ni saa moja.
Akasema mi bado nina kazi siwezi kutoka nikamwambia utamamaliza saa ngapi akajibu sijui..nikaona isiwe tabu nikakata simu nikamalizia kinywaji nikasepa lakini kichwani nawaza hizi dharau.
Nikaanza mpango wa kutaka kachukua simu yangu ili mpango uende vizuri nikasema sitakiwi kuwa na hasira niwe mpolee basii baada ya siku moja kupita nikamwambia nakuja huko nikuletee zawadi gani,? akasema amua wewe basi chap nikaingia online nikadownlod caver za simu yake za kike nzuri nikamtumia picha nikamwambia chagua caver mbili nipo dukani hapa nikununulie akasema nataka hii na hiii...
Basii nikajua hapa kila kitu kitakuwa sawa nikamwambia basi usiache simu maana zingine huwa zinapwaya hivyo vizuri tujaribishe ili kama itakuwa kuna kasoro nirudi nazo..
Mishale ya saa moja hivi tukakutana tukapiga story fresh nikamwambia nipe simu yako basi akanipa screen lock amebadilisha ila kabla sijampa ile simu mwanzo nilikuwa nimeweka finger print yangu hivyo ilikuwa rahisi kutoa lock chap nikatoa nikaangalia namba yangu kweli haijaseviwa.
Nikamuuliza mbona namba umefuta hana cha kusema nikamwambia naondoka na simu yangu akajibu sawa nikatoa ufungo mfukoni nikachomoa line zake nikamwambia shika akagoma nikaziweka chini hapo mara ghafla akanishika akasema ivi kweli ndo umeamua hivyo nikamwambia ndio nasepa..
Akaanza kilio amenikamata lakini haikusaidia baada ya vutana ya muda nikasepa zangu..Sasa bhana baada ya kufika home na kuikagua ile simu asee niliishiwa nguvu yani aseee acha nisiseme tu...[emoji1602][emoji1602][emoji1602][emoji1602][emoji1602][emoji1602]
duuh kwa cash inakuwaga ngumu ila fanya kukazia uzi umgegede usepe zakoEbu nipe mbinu ya kurudisha laki tatu nilizomkopesha mrembo mmoja niliekuwa nawinda kumhegegda lakini kanizidi akili mpaka sasa
miezi mitatu imepitaSo hili nitukio la juzi juzi tu !?? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji119]
Vijana mnaoteswa sana
Dah yaani huyu mrembo akiingia kwenye 18 zangu naona nitamfumua marinda maana kanifanya boya sanaduuh kwa cash inakuwaga ngumu ila fanya kukazia uzi umgegede usepe zako
Kwaiyo ukimdai yeye anakupa majibu gani?Ebu nipe mbinu ya kurudisha laki tatu nilizomkopesha mrembo mmoja niliekuwa nawinda kumhegegda lakini kanizidi akili mpaka sasa
unabomoa kotekote unatwanga na kusaga aseee jiwe tatu inauma ila ndo ukubwa kuvumiliaDah yaani huyu mrembo akiingia kwenye 18 zangu naona nitamfumua marinda maana kanifanya boya sana
Wee sii unajua wadaiwa majibu yao...nitakulipa mara asipokee simu au kujibu sms.Kwaiyo ukimdai yeye anakupa majibu gani?
Mbinu ya kimedania🤣🤣🤣🤣Mkuu, kwanza pole sana. Fanya kama umepoteza hela au umetoa sadaka. Lakini kama unaweza kumtega akaja ukaonana nae mazingira ambayo mko wawili mpokonye, andaa mtego ikiwezekana muahidi zawadi kubwa usioneshe kukasirika ili aje.
Upo sahihi🤣Unaonekana hata uzi hujasoma
🤣🤣🤣🤣🤣Vijana wana tabu saana, sasa yeye alidhani simu ya laki 3 ndio atamkamata, watu wanahonga mpaka range bado wanatafuniwa,
Ukiwa mwanaume inabidi ujue wapi nawekeza wapi natupa, yupi anastahili zawadi yako, yupi unampa tu kama kumsaidia.
Sisi hatuwezi kuwakamata wanawake kwa visenti vyetu, ukiona mwanamke umemnunulia simu ya laki 2 na katulia nawe hata mapepe hana ujue kakupenda(ANAKUSTIRI😂) na si hicho kisimu chako............................. Maelezo mengi mzee mwenzangu utanichosha bure, ndio maana nikaishia kucheka tu, halafu anaonekana mgeni kwenye haya mambo, alipaswa awe level hata ya professional, huyu ni beginner kaabisa.
Hapo chukua chako pita hv. Kiufupi yaanNdugu zangu mimi mwenzenu kwa mara hii nahisi nimepigwa na radi kabisa sio tena kitu kizito. Kuna demu nilimtongoza kwa bahati nzuri demu huyo alinikubalia.
Sasa ikawa ngumu kwetu kuongea kwa maana alikuwa hana simu mimi na mapenzi yangu ya kijinga nikajifanya kiherehere cha kumnunulia simu kubwa ya laki 3 nikampa demu. Cha ajabu simu niliyo nunua sasa hivi ndo inanitesa.
Huyo demu sasa hivi hapokehi simu zangu wala kujibu sms zangu na kila nikienda kwao namkuta anaongea na wanaume wengine pale kwao. Tena kwenye simu niliyonunua. Yaani kwa kifupi demu hana mpango na mimi tena.
Je, ni halali mimi kuchukua simu yangu kwake au ni mpotezee?
[emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji119]Ebu nipe mbinu ya kurudisha laki tatu nilizomkopesha mrembo mmoja niliekuwa nawinda kumhegegda lakini kanizidi akili mpaka sasa
Haki ya nani, siwezi kukupa pole. [emoji28][emoji28]Ndugu zangu mimi mwenzenu kwa mara hii nahisi nimepigwa na radi kabisa sio tena kitu kizito. Kuna demu nilimtongoza kwa bahati nzuri demu huyo alinikubalia.
Sasa ikawa ngumu kwetu kuongea kwa maana alikuwa hana simu mimi na mapenzi yangu ya kijinga nikajifanya kiherehere cha kumnunulia simu kubwa ya laki 3 nikampa demu. Cha ajabu simu niliyo nunua sasa hivi ndo inanitesa.
Huyo demu sasa hivi hapokehi simu zangu wala kujibu sms zangu na kila nikienda kwao namkuta anaongea na wanaume wengine pale kwao. Tena kwenye simu niliyonunua. Yaani kwa kifupi demu hana mpango na mimi tena.
Je, ni halali mimi kuchukua simu yangu kwake au ni mpotezee?
Wezi wa kutumia silaha hatari ya AK-MBUSUSU 😂Ninakoelekea ninaanza kukosa imani na hii jinsia ya kike, wamegeuka majambazi sana