Katika maisha yangu haya ya ujana, sijakutana na mwanamke bikira kimwili

my dada nisaidie tu maana nimekuwa poziless.....halafu nimekumisso

yaani nikiona jina lako tu nasisimka na hizi bandiko zako moyo wangu walipuka kwa kelele za shangwe nionee huruma mwenzio nateseka kwa ajili yako nipe nafasi naahid sitaichezea katu i love you my number one CC: Madame B
 
Last edited by a moderator:
Wazungu walishachimba dhahabu kitambo wakaondoka nazo wakatuachia mashio, ndo maana kila mgodi utaoenda hutapata chochote
 

Be careful for AIDS is for real
 
Sitaki kutembea na mwanafunzi aliye chini ya umri wa miaka 18, wala sitaki kulawiti vitoto vidogo. Ila ninaumia moyoni kwa kuchekwa na marafiki lol!

Huwezi kuchekwa kisa hujawahi kukutana na bikra, huyo anayekucheka ana mawazo tasa, watu wanaangalia maendeleo na si kuchekana kwa upuuzi.
 
kaka bora hawa used tu... hao virgin unaowataka ni wasumbufu kichizi... mpaka itoke atakua kesha kusababishia fustrations sana....

Amini nakwambia mwanamke mtamu ni used... hautofurahia lolote ktk kumbikiri mwanamke.. zaidi zaidi unaweza hata usipige bao... mwenzio nishabikiri3 nikiwa chuo... so achana na hizo virgin kabisa.... endelea na haya haya mangara ngara tu...
 
sinza zipo kibao......... nenda kanunueee tena full sealed utachana mwenyewe kwenye karatasi
 

Ishi maisha yako, usiwe kama TV kuendeshwa na remote control. Pili acha ngono aisee. Imagine hao uliotembea nao ingekuwa ni dada zako, wadogo zako, wamefanyiwa hivyo.
 
kwani we bkra? kama ni NO(which z obvious) we bkra unamtaka ili iweje! Try 2b fair jombaa...
 
Hv kuna mwanaume bikra?
 
yaani nikiona jina lako tu nasisimka na hizi bandiko zako moyo wangu walipuka kwa kelele za shangwe nionee huruma mwenzio nateseka kwa ajili yako nipe nafasi naahid sitaichezea katu i love you my number one CC: Madame B

Heaven on earth, anakudanganya huyo.
Ana mkewe kijijini...
Sitaki uingie cha kiume shoga.
Shem mwungwana...napeleka taarifa kwa wifi na kaka.
 
Last edited by a moderator:
Utapata siku moja usihofu mkuu endelea kutafuta...,lakini jiandae kujisikia vibaya pia pale marafikizako watakavyokutenga utakapopata HIV lol!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…